RIP sis Angel,
Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta.
Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha...
Habari wapendwa!
Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu.
Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa.
Eneo: Dar es salaam.
Mshahara: Maelewano.
Mawasiliano: +255 676 797 679
Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa.
Huyu dada siku nimekaa Kwa Hilo duka Kuna ka pub jirani take,na yeye ni mtu asiyetumia kilaji kabisa na amenyooka katika Imani...
Aliyekuwa katibu mkuu wizara ya fedha awamu ya tano Kulwa James 'mtoto wa dada' yupogo wapi siku hizi?
Haya maisha acheni kabisa sponsor akifa.
johnthebaptist
Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri.
Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
Imenitokea usiku wa leo wadau, hapa nimebaki nimeshangaa tu tangu asubuhi mpaka muda huu.
Wanasema si vema kusimulia ndoto lakini kwa hili limenishinda; kikubwa nilichoweza kufanya ni kutosimulia hapa mtaani na badala yake nimekuja humu.
Fadhaa zaidi inanikuta kwenye aina ya mapenzi niliyoota...
Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani kipindi kirefu kidogo. Nimekaa home takribani wiki mbili.
Nimefurahi kuwaona ndugu ambao ni watoto wa...
Si kwamba mume wa dada yangu kapotea ndio namtafuta, hapana. Ni kwamba dada yangu hana mume na natafuta atakayekuwa tayari na atakayefaa kumuoa.
Dada yangu amewahi kuolewa na ana mtoto mdogo. Ni mzuri wa umbo na mcheshi sana. Tangu alipoachika amejishughulisha kutafuta riziki zake za halali...
Moja kwa moja kwenye mada, Ni ndugu yangu mmoja ameshakamata 40 years mpaka Sasa Ana kazi Ni afisa kilimo na mifugo.
Jamaa Ni hataki kusikia habari ya kuoa, Ni baada ya kupigwa tukio na alokua manzi yake miaka mitano ilopita.
Alishangaa tu anaambiwa manzi yake kaolewa na yeye Hana taarifa...
Unashangaa? Wenye akili walikuwa wanazikataa.... Akina Nyerere waliamua waitwe Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na kushimiwa sana.
Nyerere alikuwa akiona unajipendekeza sana kwake anakutolea mbavuni. Hakutaka kuitwa Dr..
Idd Amin alipewa Degree ya heshima ya Sheria na Chuo Kikuu Cha...
Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana.
Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo?
Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila...
Maliyamungu na Goebbels walikuwa ni majinamizi kwenye nchi zao. Walikuwa ni majini yaliyoshindwa kutosheka na damu. Walikuwa majitu makatili sana, yakasababisha nchi zao ziharibike kabisa.
Bila shaka baada ya wao kufa, walibaki wengine, na hata sisi tunaye, anajijua
Yaani hii kitu nimeshindwa kuielewa kabisa kwa dada zangu na hapa Haina mwajiriwa Wala mdangaji, na naona kwa Sasa ni kwa Rika zote!
Inakuwaje utongozwe na ndani ya siku mbili Kila shida iliyopo duniani umwambie aliyekutongoza, hivi atawaza mapenzi nawe au shida ulizokuwa Nazo na hapo hapo...
Kadri siku zinavyoenda taratibu taratibu wakawake wa kiafrika wanaanza kuelewa thamani ya rangi ya ngozi zao.
Siku hizi ile kasi ya wanawake ku-bleach ama wanaita kukrimu rangi ya ngozi zao waonekane weupe inapungua ama inaelekea kuisha kabisa. Sasa wanawake wanajikubali kwamba ngozi yao nyeusi...
Anahitajika dada wa kazi,awe na vigezo vifuatavyo.
A)Umri kuanzia miaka 18-25
B)Awe na uzoefu wa kazi za ndani, pamoja na kupika.asiwe mtu wa kuanza kufundishwa kazi.
C) Awe anatokea Singida, Manyara ama Mwanza.
D) Awe na mdhamini anaye tambulika in case of anything.
E) Awe muaminifu na mwenye...
Ukiona unaitwa mume wa dada fahamu kuwa wanakuchukulia poa yaani huna hela.
Masikini wanaongoza kwa dharau tangu Dunia kuumbwa kwake na wanaongoza kuita watu majina ya Ajabu mara tolu mara n.k
Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana.
Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu.
===
Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni
Kutunza uke na...
Idi Amin Dada Oumee alikuwa afisa wa kijeshi wa Uganda, bondia, na mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa rais wa tatu wa Uganda kuanzia 1971 hadi 1979. Amin alizaliwa Koboko kwa baba Kakwa na mama Lugbara, mwaka wa 1925 kaskazini-magharibi mwa Uganda.
Wazazi wake walitengana muda mfupi baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.