Hivi kama tume ya ajira/Chuo cha Ardhi mnakosea matokeo ya watu 8 tu, inakuwaje kwa watu 100-800?
Ni kweli watu wanawekewa matokeo yao kwa usahihi? Mtu wa quality assurance anafanya nini mpaka matokeo haya yanarushwa kwenye tovuti ya PSRS? Watu 8 tu?
Wakuu poleni na majukumu. Tafadhali sio mimi mpangaji mwenzangu. Alikuwa anafanya kazi kariakoo kwenye duka la nguo ila kwa sasa biashara haiendi vizuri bosi imebidi asimamishe biashara huyu dada sasa yupo nyumbani hali ni ngumu.
Tafadhali kama una nafasi iwe kwenye mgahawa au dakani msaidie...
KAMWE MWANAUME HUPASWI KUJIKOMBA KOMBA KAMA LOFA!
Anaandika, Robert Heriel
Vijana nisikieni! Nisikilizeni Kwa makini. Msisikie kelele za wapuuzi wanaotaka kuwapora hadhi zenu. Najua wengi wenu Kwa sasa labda mnalelewa upande wa kiukeni. Lakini kamwe hiyo isiwe sababu ya ninyi kuwa kama...
Huyu ni mmoja wa wanasiasa aliyeongoza kwa kubadilishiwa Wizara karibu tatu katika miaka mitano ya Hayati Magufuli.
Mara ya mwisho kumuona ni kabla ya uchaguzi wa 2020.
Ningependa kujuza alipo kwa sasa anafanya nini?
Pia soma: Nini kinamsibu Waziri Angela Kairuki? Miaka 3 Wizara 3!
Kumbukumbu zikinijia nakumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kwa familia kwa pamoja. Siku ambayo dada yangu aliolewa, kila mwana familia na ndugu tulikuwa kwenye furaha isiyokifani, tulisherehekea kana kwamba hakukuwahi kutokea wala hapatatokea tena harusi kwenye ukoo wetu...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii.
Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilionesha watumiaji wa intaneti wameongezeka hadi kufikia milioni 27.1 mwezi Juni...
Mwezi wa 12 nitahamia kwa dada yangu, ni baada ya kukaribishwa na Shemeji kwa ajili ya kufanya shughuli ndogo ndogo za kujipatia riziki.
Sasa kabla ya kuondoka nataka nifahamu changamoto kadhaa za kuishi na hawa watu na namna ya kukabiliana nazo.
Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la mapenzi ya jinsia moja.
Kama uliipita vyema balehe yako, basi na tumshukuru Mungu. Balehe nd’o ujana...
Kweli kifo cha nyani miti yote huteleza, huyu mwamba ndiyo basi tena kwenye ndoto zake za kuwania Urais japo hatujui ya Mungu mengi.
Nchini Kenya mahakama ya juu haifati mkumbo wala power of the power inafata sheria na miongozo siyo sisi bongo. Mungu ibariki Kenya ila Tanzania lolote litupate...
Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya.
Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa.
Ngoja ni wambie kitu...
Hizi issues mkianika nje sisi wengine tunapatwa na hisia kinyama....yaani tena nikiona sehemu ambapo papuchi inakaa nadata kabisa ...
Msianike nje please. Nyumba moja nlipanga dada mmoja akawa anaanika nje vifuniko vyake....siku moja nlimfuata na kumsihi sana asiendelee kufanya hivyo akaniambia...
Binti mwenye umri wa miaka 14, Silvan Tumaini Isdori Mkazi wa Mtaa wa Majengo ya zamani Babati Mjini Mkoani Manyara amejiua kwa kujinyonga na chandarua chumbani kwake mara baada ya kugombana na dada yake aliyekuwa anaishia naye.
Chanzo cha Ugomvi kimeelezwa kuwa ni baada ya dada wa Marehemu...
Habari wakuu,
Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani.
Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong.
Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la.
Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
Moja kwa Moja kwenye maada.
Kabla ya yote nadeclare interest, mimi Nangu Nyau mteja mzuri sana wa madada wauza papuchi aka wauza K aka makahaba.
Pamoja na heshima yangu kwenye mambo nyeti hili ni la kwangu linalonipa burudani wazungu wanasema "my personal affair"
OBSERVATION: Kuna katabia ka...
Assalaam alaykum.
Wakuu hiki kitendo kimeniuma sana, kuna huyu dada alipost huko fb anatafuta kazi za mgahawani, kuuza duka, saluni na ishu za pesa, alikuwa ameweka namba za simu, dhehebu lake na mahali alipo ambako sio mbali na mimi. Nikascrinishoti nikapita kushoto. Nilifanya hivi, kuna dada...
Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee
Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja.
Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya...
Aiseeeee habar wakuu
leo naona sabasaba pamejaa wakenya wengine hata kiswahili tutashuka nao ngeli mpaka kieleweke leo lazima washike ukuta
So wadau leo lazima kieleweke nipo na Zero IQ apa hatoki mtu tutaweka picha baadae
Eaat africa community
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.