Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
Wakuu habari za wakati huu
Heri nyote humu.
Moja kwa moja kwenye mada. Hiki ni kisa cha kweli wakati nimemaliza chuo nilianza mapambano ya maisha nilihama home mapema sana maana tayari nilikuwa na vitu vya kuanzia.
Niliamua kuanza kulangua kuku tanga muheza naleta dar nauzia wafugaji yaani...
Haya makampuni ya kigeni huhitaji akili kubwa kwenye uongozi, hutumia vigezo vingi sana wakati wanamtunuku mtu yeyote ukurungenzi au uongozi wowote, na sio ajabu wakakosa wa kumuajiri kwenye nchi yenu yote hata kama mpo milioni mia huko.
Huyu dada, Watanzania walimkataa kisa eti haiwezekani kwa...
Nilishangaa kijiweni kizee cha miaka 70+ kinasema mama sijui kafanyaje,nikasema huyu mzee ana bahati kuwa na mama umri huu kumbe alimaanisha Rais Samia.
Pia Siku ile Sugu anatimiza miaka 30 ya muziki nikasikia Rais anasema we Sugu ni mwanangu, kiukweli Rais hawezi kumzaa Sugu. Sugu ana miaka...
Ilitokea huku kwetu Kwatogole, dada wa kazi kwenye familia ya mume mke na mtoto wa kike wa miaka miwili. Siku ya kwanza mtoto alikua analia baada ya kula, mama alitoa ki tub kidogo cha ice cream alimpa dada alimshe mtoto. Dada alionja kidogo aliipenda na kuwaza kuchwani hawa watu wanakula...
Hi
Hii ni kwa wadada, wengi wanapenda kitonga, yaani kusaidiwa na wanaume kisha kutoa mzigo hawatoi mpaka utumie nguvu au mbinu za kumvizia.
Dunia Iko kasi, watu hatuna muda wa kubebembeza kitu ambacho hakina maajabu. Tunashobokea kabla hatujakipata tu, tukipata tunaanza kujijutia hasa...
UTANGULIZI
Wengi na vijana hasa wa kike kwa ujumla wanamtazama vanessa mdee kama role model wa maisha yao kutokana na umaarufu wake mkubwa alioupata kupitia muziki na maisha yake kwa ujumla kwa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii hasa katika upande wa tabia iliyojengwa kwa kiasi kikubwa kwa...
Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya Tsh. Milioni 10, Ramadhan Musa Chewa (34), Mkazi wa Pawaga, Iringa kwa kosa la kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa dada yake mwenye umri wa miaka 12.
Hakimu Mkazi Mkuu, Ally Said Mkasiwa amemesema mtuhumiwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi.
“Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina...
Rachael alipata kazi katika shirika la kimataifa, akiwa pale alikutana na James kijana kutoka Cameroon, wakaka wa Cameroon wako very romantic, Rachael alijikuta ameingia mazima. Walipata mtoto na baada ya hapo James alipata uhamisho kwenda Angola. Kama aliomba uhamisho ule ni siri yake lakini...
Asalam wana jamii! poleni na majukumu ya hapa na pale!
.
Niende moja kwa moja kwenye hoja!
.
.
Ukisoma nyuzi nyingi za hapa jamii forum zinawaongelea vibaya sana wanawake ambao wameajiriwa na kuwa wake za watu!
.
Ushauri wangu ni kutaka kupata kutoka kwenu mnaongeleaje hili swala, je ni sahihi...
Na huyo Demu wake wa hapo ndiyo aliyepandikizwa Kummaliza na Klabu moja waliyocheza nayo na akakabwa vilivyo na Mkongo Mwenzake.
Halafu Yanga SC hakikisheni yule Dogo ( Mganga wenu ) ambaye huwa anaingia na Njiwa Mweupe kila mliposhinda Mechi zenu mnamlipa Pesa zake kwani Password ya Ushindi...
Ni kama anafanya kusudi Yaani Usiku kucha Shemeji anamfanya dada tendo la ndoa kwa kelele. Si mara moja si mara mbili. Dada analalamika kuchoka Shem anataka tu. Sidhani kama ni sahihi. Wananiamsha kwa kelele zao. Nakosa Usingizi kabisa.
Najiuliza hili jambo anashindwa kugundua kuwa sauti...
Habari wakuu,
Nimekuja kwenu kutaka ushauri kuna dada hapa mtaani kwetu aliamia ni kama miezi miwili ilipta ni mzuri kiukweli na sikuwahi kumuona dume linakuja kwake hivyo hisia zikanambia atakuwa hajaolewa na ikibidi yupo single na ni mwajiriwa huyo binti, nikaanzisha mazoea nae kimtindo...
Yupo dada wa kazi hapa home,
Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa
Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo)
Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.