dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. Ugonjwa wa EBOLA: Asili, Dalili, Usambaaji na Kinga dhidi yake

    UGONJWA WA EBOLA ULIANZA VIPI NA WAPI? Ebola Virus Disease - EVD (Ugonjwa wa Virusi vya #Ebola) awali ulijulikana kama Ebola haemorrhagic Fever. Ni ugonjwa wenye madhara makubwa kwa Binadamu ikiwamo kusababisha kifo ikiwa haujatibiwa Ebola kwa mara ya kwanza ilionekana mwaka 1976 katika...
  2. M

    Kupendwa au kudangiwa ebu tujadili kasumba ya kubeepiwa kama dalili ya kudangwa

    Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara. Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi, kujifanyisha kibwengo kinyago. Sijui mi nakosea nawachana fasta nawaambia ujinga sitaki kama...
  3. Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

    Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL. Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
  4. Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

    Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
  5. Hizi hapa ni dalili za Umasikini Watanzania wenzangu

    Wakuu poleni na majukumu, Moja kwa moja kwenye mada,kuna hizo indicator of poverty tulizosoma huko shule kama vile lack of capital,lack of education, poor infrastructure nk. Hizo mimi hazinihusu Naomba tuziangalie hizi dalili halisi za Umasikini kwa watanzania kama ifuatavyo👇 1: Unaamini sana...
  6. Kuna kila dalili kuwa Putin kaanza kukata tamaa!

    Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita. Kuna dalili fulani ambazo zinazoonyesha kama vile Putin pumzi inaelekea kukata. Hizi hapa chini ni baadhi ya sababu muhimu zenye...
  7. Ujue Ugonjwa wa Ebola, dalili, unavyoambukizwa, madhara...

    Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vujulikanavyo kitaalam kama (Ebola Virus). Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za virusi zinazosababisha kutoka damu sehemu za wazi za mwili mfano puani , masikioni , na machoni. Ugonjwa huu unaathiri binadamu na...
  8. Ruto anaonyesha kila dalili za kuja kuwa Kama Magufuli

    Kenya wanatakiwa kuwa makini Sana na huyu jamaa Urais wake unaweza kuwa Kama wa Magufuli alivyofanya Tanzania Naweka huu uzi ambao utakuwa kumbukumbu miaka 3 mpaka 4 ijayo Mara tu atakaposimika watu wake kwenye system zote za nchi. Ruto sio kiongozi kwa mtazamo wangu bali ni mtawala...
  9. Ni zipi dalili za mtu aliyelewa madaraka?

    Habari wakuu. Naomba kufahamishwa dalili/sifa za mtu aliyelewa madaraka. Natanguliza shukrani.
  10. Tetemeko la ardhi laua watu 46 China

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa na kawaida ya kutokea tetemeko hasa maeneo ya Magharibi ambapo kuna milima. --- Earthquake in...
  11. M

    Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

    Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
  12. Naomba kufahamu dalili za mtu mwenye Upungufu wa Akili Kichwani

    Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani. Uzi tayari!
  13. Kwa Wanawake: Zijue dalili za Mwenza anayeweza kukuua katika Mahusiano, tafakari mahusiano yako na Uchukue Hatua

    Kwa mujibu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu, takriban wanawake na wasichana 47,000 duniani kote waliuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine mwaka 2020. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, mwanamke au msichana huuawa na mtu katika familia yake...
  14. N

    Wadau mnazijua Dalili za mwanamke ambaye hakupendi?

    Katika MAHUSIANO tunayoanzisha yapo yakweli na yauongo baina ya pande zote mbili Yani MAPENZI yanakuwa na maslahi ya upande mmoja Yani kwa ufupi tunaweza kusema ni utapeli wa MAPENZI. Baadhi ya wataalamu wa Mambo wameainisha Dalili za mwanamke asiyekupenda Kama hizi 1. Nivigumu kukutambulisha...
  15. Dalili gani utaziona kwa msichana ambaye hajavutiwa kuwa nawe kimahusiano ( kiurafiki + kimapenzi ) pale unapoanzisha mitongozo?

    Kujua kutasababisha kuokoa mda utakaosaidia katika kulijenga taifa. Utakuta umewekeza zaidi ya miezi miwili kwa mtoto wa mtu, mwisho wa siku ni kutokujibiwa text, kublokiwa, na kadhalika. Unakuwa umepoteza mda wako bure. Utajuaje hapa napoteza mda na huyu msichana ajavutiwa nami. Ukute men ni...
  16. M

    KWELI Posho za wasimamizi wa mtihani wa Kidato cha nne hutofautiana kulingana na idadi ya siku walizosimamia

    Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa. Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
  17. Nyie Utopolo mbwembwe nyingiii ila mtaanzia hatua za mwanzo huko

    Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ... Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
  18. B

    Kuna dalili Simba mwakani pakavu

    Kwa hali ilivyo Simba possibly mwakani pakavu tena. Not sure kama BARBARA atatuvusha mwanamama huyu. Akpan is OK, Je kuendelea kumtegemea MKUDE ni ngumu sisi kutoboa. Tatizo la MKUDE ni mvivu sana imagine Mkude acheze ktkt mnacheza na wydad au Mamelod. Kama SImba wanataka kubalance timu vizuri...
  19. Hii hali ni dalili ya nini wakuu??

    Inanitokea mara kadhaa nikiwa nimelala hata mchana huwa ninahisi mwili kunesanesa kwa kasi, nashindwa kufumbua mdomo na macho na kuhema wakati huo, ni wakati ambao huwa ninaomba sana kimoyomoyo kwani huwa ninaona ndio tumaini pekee lililobaki ni kama nahisi kufakufa hivi na sitamani kabisa...
  20. Kukutana na mama mkwe mtarajiwa ni dalili ya hatua nyingine kwenye mahusiano yenu

    Madada ndiyo walengwa wa uzi huu lakini makaka msiache kusoma na pia kutoa mawazo yenu. Mama wakwe ni wanawake na wao pia walikua vijana wakati fulani hivyo kukutana na mama kusikufanye uwe roho juu juu. Mpaka mwenza anaamua kukufahamisha kwa mama yake, inamaana kuna vitu ameviona kwako na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…