Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo.
1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
Friends and Enemies,
Ngoma ambayo mwenyekiti wa kudumu wa chadema Freeman Mbowe aliianzisha wiki kadhaa zilizopita ndiyo kiini hasa Cha taharuki ya tunachokiona kinaendelea Kwa sasa.
Either nichukue nafas yangu kumpongeza Waziri Mkuu Majaliwa kwa kufanya clarifications za kina kuwa hakuna...
Ladies and Gentlemens,
Mawaziri wa Ulinzi Jumuiya ya kujihami NATO Jana wameshindwa kuafikiana na kua na msimamo wa pamoja juu ya hatua muafaka za kijeshi zinazokusidiwa kuchukuliwa dhidi Rassia yenye nguvu Zaidi. Je, kuna wanachama ndani ya Jumuiya ya NATO ni waoga au ni Marafiki wa Russia...
Mi kama mtumiaji mzuri wa sukari wa siku nyingi kuna Kila dalili Sukari ya
Siku hizi imepunguziwa ladha.
Matokeo Yake ili ikolee unahitaji kutumia sukari nyingi kitu kinachopelekea gharama za matumizi ya Sukari kuongezeka.
Sukari inayopatikana Kwa wingi ni kilombero, huu unaweza ni mkakati...
Hizi hapa Dalili za kwamba DP world na mengine ni madili haramu
1. Hakuna ufafanuzi wowote unaojibu hoja kwanini Magufuli aliikataa DP world baada ya kifo chake sasa inapokelewa
2. Enzi za Magufuli aliwahi kusema, wazee wastaafu waache viherehere vya kuishauri ikulu je waliacha?
3. DP world...
1. Anapenda kujishika nywele, kidevu, mikono, shingo na mashavu kila wakati
2. Anapenda kulamba au kung'ata lips mara kwa mara
3. Anapenda kupost picha au video zenye msisimko wa kingono mara kwa mara
4. Anapenda kupiga stori na kucheka cheka na akikaa sehemu anapenda kubana miguu
5. Ngozi yake...
Huwezi kuona kwa macho vidudu vingi tu kama vya malaria, typhoid, amoeba, nk mpaka vipimo! lakini dalili za malaria na typhoid zipo na unaweza kuzigundua tu na kisha ukajiridhisha kwa vipimo na kuanza tiba.
Mikosi na nuksi dalili zake ni:
-Kuchukiwa na watu wengi bila sababu
-Kupanga kazi na...
Dalili 4 zinazoonesha Mtoto anakabiliwa na Matatizo
Kuchukia Shule au kufanya vibaya Darasani
Kujitenga na Familia/Wenzake
Kuwa na Tabia zisizo Njema ghafla
Kupenda Ugomvi na kuonea wenzake
Malezi ya Mtoto yanahitaji umakini mkubwa na ukaribu ili kuweza kubaini mabadiliko yoyote yasiyo ya...
Asalam ndugu wanajamii. Hapa ni kijijini, tuongee kama wanakijiji kahawani tusije Angamia.
Wakati wa hizi taarifa mbali mbali za kubanwa vifua kwa maradhi ambayo taarifa rasmi ya serikali imeyaweka katika tahadhari ya chini na yasiyo hatari kwa afya ya jamii, huku uraiani hali si njema...
Je, unaufahamu Ugonjwa wa Lupus, Dalili na jinsi ya kushughulikia nao? Je, unafahamu 90% ya Wagonjwa wa Lupus Duniani ni Wanawake?
Kumekuwa na Uzushi kuwa watu wenye Ugonjwa wa Lupus hawawezi kuishi muda mrefu. Mtu mwenye Ugonjwa wa Lupus anaweza kuishi umri mrefu kama watu wengine iwapo...
🚨🧵 Siyo kwa Ubaya wala Dharau kwa mashabiki wa Eneo fulani, point ya msingi hapa ni kuwa ,kuna Ukubwa fulani msanii akifikia
(VENUE/ mahala anapo fanyia show) kuwa na standards fulani)
Kama Ambavyo Msanii huwa Anachagua Aina ya wasanii wa kufanya nao COLLABO why not 👇
VENUE (mazingira...
Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana.
Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu.
Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu.
GB 80...
Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni.
Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu.
Ni kweli kuwa...
Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake.
Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu.
Kabla sijaendelea mbali naomba nisema kwamba mimi ni fundi simu, kazi hii imefanya nijifunze mambo mengi kupitia changamoto za...
Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo.
Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa.
Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani.
Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.