dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. Abuu Nuwas

    Dalili za mwanamke anaekupenda

    Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi? Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
  2. GENTAMYCINE

    Ni dalili zipi za Awali ukienda Kumtembelea Mwanaume Kwake akiwa na Bintiye 'Aliyeumbika Mashaallah' utahisi kuwa Anambandua / Wanabanduana tu?

    Kuna Familia nimetoka Kuitembelea leo kwa nilichokiona nikiambiwa yule Baba hamlali ( hambandui ) Mwanae ( Bintiye ) basi GENTAMYCINE nitaukweka ( nitapuu ) kuanzia hapa Mkoani Dar es Salaam hadi Kwetu Mkoani Mara nikiyapanga tu Barabarani kwa Kutoamini. Natamani sana nikiweke hicho...
  3. Pang Fung Mi

    Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  4. A

    DOKEZO Soko la Karume (Dar) kuna dalili za rushwa, TAKUKURU ije ikague mapato na matumizi ya makusanyo

    Kero yangu kubwa ambayo naomba jamii itambue ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kwamba Soko la Karume tunachanga michango mingi kama pesa ya usafi na ulinzi lakini hutujawahi ona mapato na matumizi ya pesa zetu zinaendaje. Naomba kufikisha ujumbe huu kwa Serikali Kuu kupitia...
  5. P

    Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  6. Atalanta

    Usije uka google dalili za Ukimwi kama unajihisi unao "Utakufa kwa presha"

    Habari zenu wakuu Hope mko powa kabisa. Kwanza naomba ifahamike kabisa kwamba kuwa na UKIMWI sio mwisho wa maisha kwakua wapo watu wengi wanaoishi na ugonjwa huu lakini bado wanaendelea kuishi vizuri kwa kufuata ushauri wa madaktari. Pia uzi huu haupo kwaajiri ya kuwanyanyapaa watu waishio na...
  7. Spinal Health

    Hizi ni Dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo:

    Hizi ni dalili za ugonjwa wa uti wa mgongo: 1 Maumivu mkali ya mgongo 2 Maumivu makali sehemu ya kiuno (Nyongo) 3 Maumivu ya kichwa yasiyoacha 4 Maumivu ya shingo na mabega 5 Vichomi sehemu ya kiuno Kama una dalili yoyote kati ya hizo, basi kuna uwezekano mkubwa kuwa una shida kwenye uti wa...
  8. kmbwembwe

    Kila dalili zinaonesha Bwawa la Nyerere kuhujumiwa na wapigaji ili kupata kile wangekosa chini ya Hayati Magufuli

    Kuchelewa kufunguliwa mradi wa bwawa la Nyerere kwa hali yoyote ni njama ya wale ambao mradi kama huo ungewaingizia binafsi mabilioni kwa upigaji au wataathirika upigaji wao kwa mradi mkubwa wa hydro kuzalisha umeme megawati 2000 na zaidi. Kuna maajenti wa mabeberu wa kigeni wako tayari kwa...
  9. ephen_

    Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

    Habari wanaJf! Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili...
  10. Pang Fung Mi

    Naona dalili za anguko la kiuchumi la Watanzania na sidhani kama Serikali yao imejiandaa kulikabili

    Ni maoni yangu, ni hisia zangu, reference point ni consumption patterns, consumer markets, business markets, expenditure patterns, currency consumption value, income generation sources vs expenditures. Turbulence on economic engines, Government interventions don't exist Sijui itakuwaje naiona...
  11. D

    CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

    Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea. Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje...
  12. M

    Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

    Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
  13. L

    Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

    Ndugu zangu Watanzania, Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini. Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa...
  14. K

    Kuna kila dalili watu wakaomba ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya ruzuku ya CHADEMA au pengine kutaka isitishwe kutolewa

    Naona kuna kila dalili huko mbeleni watu wakadai ufanyike ukaguzi maalumu wa matumizi ya Ruzuku wanayopata CHADEMA. Na dalili kuu ninazoziona mpaka watu kufikia hatua hiyo: Mosi, watu hawataelewa kabisa matumizi makubwa ya CHADEMA kwa mambo ambayo mengi yao hawaoni umuhimu wake. Pili, watu...
  15. Nyendo

    Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

    Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la...
  16. Pascal Ndege

    Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

    Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi. 1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama) 2.Udukuzi wa...
  17. BARD AI

    CHADEMA: 'Tulipiga Kura za Wazi kwasababu Kulikuwa na dalili za Rushwa'

    Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Ruth Mollel amesema katika mkutano wa baraza kuu uliofanyika Mei 11 mwaka jana, walilazimika kupiga kura za wazi kwa kuwa kulikuwa na dalili za rushwa. Mollel alieleza hayo jana wakati akihojiwa maswali ya dodoso na Wakili Ipilinga Panya katika kesi ya...
  18. Mr Dudumizi

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Habari zenu wana jf wenzangu. Wakuu baada ya kufuatilia kwa kina kile kinachoendelea katika swala hili la bandari, hususani hapa JF, nimegundua kwamba kuna uwezekano mkubwa wa siku kadhaa zijazo tukashuhudia vifo mbali mbali ndani ya makundi kadhaa nitakayoyaorodhesha hapo chini. 1. Kundi la...
  19. GENTAMYCINE

    Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

    Tunaojitambua na tusiopenda Mialiko ya kishamba na isiyo na Utaratibu hao Pre Season Ulaya ya Mbali Uturuki huko. Kudadadeki.
  20. R

    Ninachokiona watawala wanafanya makusudi kutosimamia mradi wa Mwendokasi ili wapate sababu za kuendeshwa na wageni

    Kama kawaida ya watawala wetu wanawaza kuuza na kukodisha kwa kigezo watu weusi watanzania wameshindwa kuendesha. Hali ya mradi huu kwa sasa ni mbaya hakuna usimamizi. Kwa hali ilivyo sasa ambapo tumekopa kujenga miundombinu na kununua magari ya mwendo kasi tulitegemea wazawa wangeachwa...
Back
Top Bottom