Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale walio bora hadi wale ambao wanaonekana mchango wao umepungua mno na wanaigharimu timu. Imefika...
Nawasalimu ndugu zangu. Natumai ni wazima.
Ningependa kuuliza jambo kwani najua humu hawakosekani wajuzi wa mambo. Hivi Uchungu kwa mke anayekaribia kujifungua unaweza kumhusisha na mume?
Yaani dalili ambazo anapata mume zipo kwenye kuashiria kwamba na mkewe anakaribia kujifungua?
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa.
Nikaona kabisa huu ni UKIMWI, kuchukua simu nikaingia gugo nikaandika dalili za ukimwi. Nimesoma naona zote ninazo mpaka kijipu upande wa...
Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake.
Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
Anatafuta Kupewa Umakini Kila Wakati:
Mtoto huyu anakuwa ni mwenye kutaka sifa au kutambulika kwenye kila kitu hata vitu vidogo
Kuwa na Hasira za Haraka:
Mtoto anatumia hisia za Hasira katika kuonesha vile anavyojisikia ili tu apewe umakini kwenye mambo yake
Anakuwa Sio Mtulivu:
Mtoto...
Mimi si muumini wa mambo ya mila, hasa kuhusu wafu, lakini kwenye hili la Nyerere naanza kujitafakari sanamu la Kigwangwala na kundi lake na lile la Ethiopia, hayafanani na Nyerere hata wa kulumangia!
Watengeneza Sanamu ya Nyerere wote waliojaribu wameshindwa kabisa kututengenezea sura yenye...
Wakuu mpo Salama!
Kuna Watu hawajui kuwa namna uzee unavyoingia. Sio ajabu wameshaingia uzee lakini hajui au hawana uhakika.
Sasa hizi ni moja ya dalili kuu zinazoashiria kuwa unaingia katika uzee.
1. Kufananisha Watu au Mahali au matukio
Kuna ile ukimuona mtu unafikiri ulimuona wapi hata...
Najaribu kutafakari mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, kisiasa na tume ya uchaguzi dhidi ya uchaguzi huru na haki, Najaribu kuoanisha na nguvu kubwa ya umma iliyo nyuma ya CHADEMA, Nazingatia pia usaliti mkubwa uliofichwa kwenye miyoyo ya wana ccm, Nasema hakuna namna tutakuwa na uchaguzi huru...
Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini.
Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili mbalimbali kama mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, matatizo ya kihisia na ya kimwili ambayo hawajawahi...
Paul Makonda ni zaidi Katibu Mwenezi wa chama Tawala. Tumewahi kuwa nao wengi na wapo wengi wa vyama vingine. Hakuna kama Makonda uzuri na kwa ubaya. Kwa nini?
1. Kama Makonda ni tatizo basi halina suluhisho. Kwa sababu ndani ya chama tawala huyu ndiye ameonekana. Na kama huyu ndiye bora zaidi...
Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo.
Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi...
1.kubadi ratia yake ya Kila siku ghafla.mafano kama alikuwa anarudi home saa kumi na ukaona anarudi mara saa tatu ya usiku ,mara saa nne.
2.kujibu majibu ya kejeli au matusi Kwa mwanamume wake mfano ;kati ya wanaume na wewe ni mwanamume.
3.Matumizi kuongezeka ghafla,kuwa na income ambayo source...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini.
Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni...
Tujiandae kisaikolojia,hali sio nzuri kwa upande wetu..dalili zimeshaanza kujionesha toka mwaka jana mwishoni.
Mimi sio mtaalam wa mambo ya hali ya hewa..lakini unaweza kuzingatia nilalosema au ukapuuza..
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema.
Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo.
https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi.
Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake.
DALILI...
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
Happy Sunday wana JF.
2 Timotheo 3:1-7 SUV
[1] Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.
[2] Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani...
Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii.
Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.