Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
kamwambie mume wake atakulipa..
 
Duniani kuna mambo,ongea na Watu WA karibu usiweke Sana akili ya mambo ya hovyo....Alikiba aliimba mke WA Mtu sumu
 
Back
Top Bottom