Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

Mim nilikuwa huo mchezo wa kuwakopesha hawa Malaya wenye waume zao hapa mjini
Halafu navuna pakubwa maana walikuwa wananiamini kuwa muda wowote wanapotaka pesa nawapa.
Wakawa wanasontesheana kimya kimya wanakuja
Sasa mimi nilikuwa nawaomba wanipe kitu ambacho ni mara nne zaidi ya hiyo pesa,
Wakawa wanaleta.
Sasa kuna mmoja huyo alikuwa mkali sana yaani likisu haswa limejibrand ile kisawa sawa.
Likaja ofisini kwa issue na huduma tofauti na kukopa nikalihudumia nikawa nimelielewa nikajaribu kurusha voko likarusha mita mia sijakaa sawa kumbe kwa phone linaongea na mume wake..
Kufumba na kufumbua chuma moja forester subaru ikapaki ofisini akashuka mkushi mmoja nae sio mnyonge sana.
Akanipa hai pale akabeba zigo lake akateleza akaniachia michirizi ya matairi tu.

Siku nenda siku rudi kabla Yesu hajarudi, Nikashangaa manzi anakuja ofisini kwangu anaanza kuniomba nifungue mlango aingie chemba kwangu maana kuna partition ya wateja na ya Staff ambapo mara nyingi nakuwepo mimi au kijana wangu niliekuwa nimemuajiri wakati huo.
Kwanza nikawaza haraka haraka mbona ghafla halafu anataka akae na mm chemba je akitokea mke wangu hapa itakuwa ugomvi wa aina gani huu,,
Yaani bora ufumaniwe kiukweli ukute huwa unaikula sana kuliko hii unafumaniwa halafu ni empty set inauma.

Nikamgadi tu "We simama au kaa tu huko huko tuongee maana humu hamna mtu wa tatu " Akagoma kuwa ni maongezi nyeti so mme wake anaweza kumkuta pale ikawa noma.
Nikasema haiwezi kuwa noma maana hatupo uchi. Wewe ni mteja kama mteja yeyote yule. Akafyum akasepa nikabaki nasubiri wateja walete maokoto.

Hakukaa hata lisaa akarudi hapo ndio pakawa patamu sasa.
Ngoja niishie hapa msome kwanza halafu mkimaliza mtanitag nije niendelee na kipande cha mwisho
endelea mkuu
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Sasa unalalamika nini, kwani wakati unamkopa alikuambiaje? Huyo mshangazi ni dhahiri alikutega tu na ndiyo maana anakuzungusha kuona kama utaomba utamu toka kwake. Usikute hata hakuwa na shida nazo hizo hela zako ila alitaka tu umlale sema tatizo nyie wanaume wa Dar ni wagumu sana kujitambua ama kusoma alama za nyakati. Ebu msikilize huyu msichana anavyowalalamikia👇🏽👇🏽👇🏽

View: https://www.facebook.com/share/v/15icAkce1E/?mibextid=wwXIfr
 
endelea mkuu
Baada ya muda mfupi nashangaa huyu hapa tena,
Ananisistiza sana fungua niingie humo tuongee ndio nitakuwa huru.
Nikamuangalia kwa makini kama kuna kitu kabeba labda? Mkononi ana Iphone tu na leso.
Nikafungua mlango, Manzi kanyooka sana yaani figa lipo haswa,,

Alipoingia tu akaanza porojo mara kumbe ukiwa humu unakuwa unatuchora sisi tunaopita huko nje?

Sasa mimi nikikumbuka kuwa nilimtaka mwanzoni akaninyali ndio napata kihasira fulani hivi lakini kilichochanganyikana na sitaki nataka.

Nafsini nawaza kuwa pengine chance ya kumla ndio imekuja laivu ama..
Kufupisha mambo ikabidi nimuulize kulikoni? Na jamaa yake anamuijia saa ngapi?
Akaniambia hayo tuyaache nimsikilize kwanza.
Nikapoa nikaweka pozi na sura ya kumsikiliza sio kumtamani tena.
Hakika alikuwa kadhamiria la kwake maana kila nilipokuwa nikimuangalia machoni tamaa tu ya kumgonga ndio ilikuwa inanitawala,,
Na hivi sisi watu wenye vidude vidogo tunavyokuwaga na hamu za karibu sasa.

Manzi akaanza "Rafiki yangu mimi nimekuja kwako nina shida nataka unisaidie"
Nikamuuliza shida gani?
Akajibu ana shida ya shilingi elfu sabini.
Nimpatie muda huo ilikuwa kati ya saa sita au saa saba hivi japo sikumbuki kiuhakika lakini ilikuwa katika hizo nyakati tu.
Nikamjibu simpo tu kuwa kwa sasa sina hicho kiasi sina.
Akakaa kimya kwanza halafu akajichekesha, ni kama alijua kuwa kila tendo lake kwangu ni pigo.
Kitendo cha kuliangalia tabasamu lake nikawa nawaza kiubwege ubwege nilidhani umekuja uniambie ule mchongo unaotaka mi niko tayari kumbe umekuja kuniazima pesa.

Akazidi kunisisitiza sana nimpatie maana hailali jioni anairudisha hivyo nisiwe na wasi wasi.
Nikampa tu ushauri kuwa u aponitongoza ili nikupe pesa zangu inabidi upangilie hoja zako sio tu unaniambia eti nichukue 70k nikupatie halafu nianze tena kuisubiri hiyo hiyo 70k kwa baadae na wakati nilikuwa nayo tayari ila nikaamua tu kuipeleka mbali ili nifanye kazi tena ya kuisubiri hiyo hiyo haina maana.

Akawaza kidogo kisha akacheka sana akasema nimemwambia hoja ambayo hakuiona.
Nikamwambia ngoja nikusaidie hivi Nakupa 70k ila wewe jioni utaleta laki sawa?
Akaanza kulalamika kuwa riba ni kubwa mno, nikamwambia mimi ndio mwenye hiyo pesa kwa sasa kama kuna sehemu unaweza kwenda kuipata bure na kuirudisha ilivyo nenda ila mi ya kwangu utaratibu ni huo.

Akabaki njia panda. Roho nyingine inaniambia mpe tu iwe kama chambo ili umle akishindwa kuilipa.
Roho nyingine inaniambia tengeneza faida upite hivi hawa sio wa kuwasaidia
Hata akikupa uchi wake kwa malipo ya pesa wewe ndio unakuwa umepoteza.
Yeye uchi wake bado anao na ataendelea kuutumia kuvuna kwa mwingine kama atakavyokuwa amevuna kwako so usikubali kutumika kama yeye kaleta uchi kwani wewe huna uchi?
Ukimpa pesa hakikisha unaisimamia ilete pesa kutoka kwake.
Nikajikuta niko business oriented zaidi.
Nikamkazia akaona riba ni kubwa akaomba nimfungulie mlango atoke.

Akaondoka zake huku nyuma nikawa nawaza akichukua tu hiyo pesa naagiza ugali na kuku hapo hapo wa 7000.
Maana kwenye faida nitakuwa nimebakiza 23k.

Awamu hii hakurudi tena mpaka ilipofika jioni nikamuona huyo anakuja na tabasamu pana usoni mwake,, Sikujua mkakati aliokuwa nao kichwani lakini nikuahidi kuwa Manzi alikuwa smart sana kiasi ni haki awe malaya wa mjini.
Nitarudi na kipande cha tatu someni kwanza hiki cha pili kisha mnitag.
Kumbukeni majukumu yangu huwa yananifanya muda mwingi nakuwa macho so usishangae ukinitag mida mibovu nikaja.
 
Mtumie meseji "shemeji ni lini utanilipa milioni 10 zangu? Ataropoka na kutaja kiasi halisi na hapo ni ushahidi umepata kuwa unamdai
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Msamehe 7x70
 
Hao huwa hawajui kulipa hasa kama hamna mdhamana wa maana.

Bora usamehe na asikudanganye ukamlala. Hapo utatoa hela zaidi.

Lakini kama una ujasiri mwambie mumewe.
 
Tunasubiri uje kumalizia
 
Hao huwa hawajui kulipa hasa kama hamna mdhamana wa maana.

Bora usamehe na asikudanganye ukamlala. Hapo utatoa hela zaidi.

Lakini kama una ujasiri mwambie mumewe.
Bora asamehe tu deni, akimwambia mume wa huyo mwanamke atavuruga ndoa ya watu na huenda msela mwanamke asimwelewe kabisa kwa sababu wakati wanakopeshana hawakumshirikisha alafu kwenye kulipa ndo ahusike?! Hapo itakua kesi ngumu sana..

Mke wa mtu hakopeshwi pesa aisee!!
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Mlianzaje kwanza kukopeshana?!.

Kama unamaelezo yaliyonyooka na yanayojitosheleza, kamdai mumewe
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Hiyo hadhi ya "mke wa mtu" inaingiaje hapo? wewe simamia kwenye makubaliano yenu acha kujiingiza kwenye fikra zinginw za kijinga.mkumbushe tuu kwamba muda wa kurejeaha deni lako umepita.mshirikishe na mkeo kwamba unamdai mama flani sh.kadhaa
 
Back
Top Bottom