Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Mimi nilimkaribisha ADORA hotel, bahati nzuri alikuja na pesa yangu yote ila kifuatacho kiliendelea
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Ongea na mumewe

Na pia uache ufala wa kukopesha wake za watu
 
Mungu akuepushe na pepo la ushoga.
nauchukia ushoga kuliko hata ninavyomchukia shetani mwenyewe,ila kitendo cha mleta mada kumkopesha mke wa mtu bila mwenye mke kujua adhabu yake ni zaidi ya nilivyomwambia ajiandae.
Uhuni huwa sitaki.
 
Tunasubiri uje kumalizia
Mida ya saa kumi, manzi huyu hapa kaja kajiandaa kabisa kama vile ana mtoko maalumu.
Mavazi aliyovaa sasa daah huko nje kila mwanaune anamuangalia mpaka mamanzi wenzake wanageuka mara mbili mbili.

Akazama hadi ofisini but sikumfungulia mlango awamu hii akaniambia nimekubali.
Nikamuuliza umekubali kuchukua 70k kwa 100k?
Akasema "Sasa ntafanyaje kama wenye pesa zenu mshaamua hivyo?"
Nikamwambia hiyo ni hatua ya kwanza.

Hatua ya pili kuna kitu inatakiwa kiwepo kwaajili ya kuilinda pesa iliyoondoka kwangu.
Akauliza unamaanisha? Kidogo naona kama anataka kupoteza matumaini.
Nikamwambia usiwaze sana chukua pesa niachie hiyo simu nibaki nayo mpaka utakaponiletea 100k yangu.

Akalalama, "Sasa simu yangu ndio oficce hapa mjini nakuachiaje? Kiukweli hapana"
Nikamuuliza kwani nimekwambia kuwa unaniuzia?
Si unaenda kwenye mambo yako baadae ukija tunakabidhiana?
Akasema hilo haliwezekani.
Nikamuuliza ana kitu gani ambacho anaweza kukiweka rehani ili nimpatie hiyo pesa?
Akasema tofauti na pesa labda ajiweke yeye bond tu.

Nikamwambia kama una tv nyumbani ama asset yoyote inayofikia laki tatu kailete.
Akaondoka akarudi akaniambia kuwa ana tv 32" nikamwambia aende aibebe aipeleke office X ambapo hiyo office mimi ndie boss so nikampa taarifa kijana kuwa kuna mtu anakuja na kitu fulani kitest kabisa kama kinafanya kazi.

Manzi akafanya kama nilivyomuelekeza
Kisha akaijia pesa na tabasamu la ahsante jwa kunisaidia juu tukaandikishana pale kikaratasi akasaini na mimi nikasaini kisha nikabaki nacho.

Huo sasa ukawa mwanzo wa sisi kufahamiana nikapafahamu hadi ofisini kwake ambapo nae hakuwa haba maana alikuwa amechukua bonge la space kama fremu tatu hivi kubwa kubwa amezivunja na kuifanya kuwa moja kaweka nguo na viatu vya Makahaba wa mjini.

Pia kama meeting point ya michongo yake.
Akawa ananiita Bro,
Baadae akaanza kulalamika kuwa ninamla sana yaani namfaidi kinoma, nikamuuliza lini mimi niliwahi kumla?
Akasema zile faida anazonipatia.
Nikamwambia hiyo ni biashara tunafanya kama anaona simtendei fair atafute mtu mwingine wafanye biashara in a fair way anayoiona.

Moment nina kama mimalaya ya mjini sita hivi naitafuna faida kwa kwenda mbele sina huruma.

Na walinipenda maana tulikuwa tunafanya biashara ya siri ambapo hata waume zao hawajui.

Since hawa wanawake walipenda ukimya wangu basi walifanya biashara muda mrefu na mimi maana hawakutaka ifahamike wanakotoa pesa za kujaza maduka yao.

Walizidi kuwatambia wenzao hapa mjini huku mimi nikiwatunzia siri na wao kuendelea kunitii..

Ilifika point wakawa wananipa heshima kubwa pengine kuliko waume zao maana nilikuwa Cash money
Na uhakika ulikuwepo maana hawakuwa na wasiwasi wowote hapa mjini.
Ukitaka milioni unapata muda huo huo kikubwatufanye makubaliano.
Na rate zangu ndio zilikuwa balaa ukichukua laki nne mchana jioni unaniletea laki tano sitaki mazoea na pesa zangu.
Milioni ilikuwa unaweka laki tatu juu kama utakaa nayo siku au wiki.

Nilipofilisiwa na wao walifilisiwa kwa namna moja pia maana wengi wao walifunga biashara zao wakasepa mjini..

Nimekuwa nikikutana nao sehemu tofauti tofauti wanajiuliza nilipatwa na nini Boss kubwa halafu mtoto mdogo.
Nawajibu tu ni sehemu ya maisha.
Wanasema nikirudi hewani nisiwaache maana wamenimiss sana..
Na wao hawana mchongo mambo hayaendi tena.

Huyu manzi yeye kuna tukio lilikuja kama hili la mleta mada,
Alichukua Milioni moja na nusu kisha akaweka bond ofisi yake na vyote vilivyomo, tukakabidhiana kimaandishi na funguo zote nikawa nazo mimi.

Sasa katika harakati za kupiganisha hapa mjini si akapata mimba mtu wangu, Aisee hakuna adui wa malaya wa mjini kama mimba nakuapia kwa hili.
Classic bitches huwa hawapendi wapate mimba kabisa.

Nilipomuuliza ilikuwaje hadi akabung'aa wakamjaza mimba akajibu kuwa mumewe ndie kamfosi wazae ili waendelee na ratiba zingine nikajua hapa hata pesa zangu kulipwa itakuwa ni story tu.
Kabla ya kupata mimba alikuwa amepunguza kiasi kama cha milioni na laki nne zimebaki laki tano maana kwenye pesa aliyokopa bado laki moja jumlisha na riba ya laki nne.

Hapo ndipo ikawa kamzozo, hapo mimi nimeshikilia ofisi. Ndani kuna assete kibao hadi picha yake na mshikaji vimo humo.
Nikazidisha kasi ya kudai maana time frame ilishapita tayari ninavumilia tu.
Manzi akaniblock kabisa
Nikawa namtafuta kwa namba tofauti tofauti,
Akipokea akisikia ni mimi ananiplease sana nivumilie antaniletea tu pesa zangu.
Mwisho nikaacha kumtafuta kabisa hewani.
Nikaanza upelelezi ambapo nilimtumia askari mmoja wa kike akaniletea info zote kuanzia manzi anapoishi kwa muda huo
Kazi ya mumewe aina ya maisha ya mumewe mpaka uwezo kiuchumi.

Baada ya hizo info nikamtafuta weekend moja tena nilienda physically mpaka mtaani kwao pale nikama kijana mmoja zile funguo nikamuelekeza aende geti lile agonge amuulizie Sham...si ahakikishe amempa hizo funguo.
Bahati nzuri jamaa akasema anamfahamu vizuri huyo manzi huku akiniuliza kama mimi ni ndugu yake au rafiki yake?
Nikamwambia akifika ampe tu yeye atajua zilikotoka. Maana mimi ni ndugu yake.
Manzi baada ya kupokea funguo sikujua kilichoendelea kabisa lakini nilikata mawasiliano ya kumdai kabisa.
Nikawa nimesamehe lakini sisahau.
Basi ikapita miezi na miezi kama mitano au sita hivi.

Siku moja natoka nyumban mchana kupata lunch maana mara chache nilikuwa naenda home hasa weekend kujumuika na familia chakula cha pamoja.
Hapo nitakula kisha nitalala kama lisaa nikiamka naipiga sana halafu naoga narudi ofisini.

Ile nafika ofisini nakuta alphard moja imepaki kuna msela kashusha kioo ananiita,
Sikumjali wala nini nikapitiliza mpaka ofisini kwangu nikafungua nikakaa.
Jamaa akawa anapiga honi nyingi huku ananichungulia mle ofisini mimi nimeinamisha uso chini kwenye simu lakini namuona anachofanya nikaamua nimpe uso akaninyooshea mkono ishara ya kuniita, nikawaza kidogo huku nikimuangalia kisha na mimi nikampa ishara hiyo hiyo.
Akakunja ndita kisha akateremka kwenye gari na kuja ofisini akiwa anagomba.
Braza nakupigia honi tangu hujaingia hata ofisini kwako lakini haunijali shida nini? Mbona una dharau sana Bro hapo anapiga piga kwenye kaunta ya kuegemea wateja.
Samahani Bro huwa sina utaratibu wa kutoka wala kumsikiliza mtu aliekaa kwenye gari ndio maana nimekuja kukusubiri ofisini so shida zote sharti mtu aje ofisini ningekuwa sitaki kukusikiliza nisingeingia hata ofisini ningepitiliza hata nikaenda popote pale pengine. Ndio nilichomjibu.
Namkumbuka huyu bro ni mume wa Sham..si.
Akaniuliza unamfahamu Sham..si?
Nikamjibu kiasi chake namfahamu.
Akaniuliza unamfahamu vipi?
Nikamjibu kuwa amekuwa mteja wangu wa kudumu hususani katika masuala ya fedha kwa muda sasa.
Je kuna biashara yoyote mlifanya hapo kabla? Maana Sham..si ni mke wangu.
Nikamwambia hebu tufupishe hii story maana wateja wataanza kujaa hapa.
Iko hivi namdai mkeo shilingi laki tano na amekaa nayo muda mrefu nadhani nikiamua kuizalishia haiwezi kuwa laki tano tena.
Jamaa akaniambia maneno ambayo yalinitia baridi moyoni na simanzi nzito sana sitawahi sahau yale maneno. Kamwe. Someni kwanza kisha mnitag nilete Kipande cha mwisho kabisa cha huu mkasa.
 
Tunasubiri
 
Back
Top Bottom