Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

Kama vipi we mle tu huyo mwanamke mumalizane kama unaona hatoweza kukulipa hela yako
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Mwanamke hakopeshwi!

Hapo uliwekeza!
Amua wewe muda na saa ya kuvuna
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Wewe hauji kwenye vikao.
Mwanamke:
1) Hakopeshwi
2)Hasomeshwi

Kama wewe sio baba yake au kaka yake au ndugu yake
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Umemkopesha mwanamke .... USIRUDIE TENA WAKO HIVYO HAWALIPAGI MADENI
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Kama mumewe hajui hiyo umehonga na mumewe akijua mnapeana hela kinyemela tegemea lolote. Unaweza hata kuvunja hiyo ndoa kuwa makini dogo.
 
Acha kuchekacheka na wake za watu,kufikia mpaka kumkopesha pesa inaonyesha huna hofu ya hatari iliyopo mbele yako.."KENGE kusikia ni mpaka damu imtoke masikioni"
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Mim nilikuwa huo mchezo wa kuwakopesha hawa Malaya wenye waume zao hapa mjini
Halafu navuna pakubwa maana walikuwa wananiamini kuwa muda wowote wanapotaka pesa nawapa.
Wakawa wanasontesheana kimya kimya wanakuja
Sasa mimi nilikuwa nawaomba wanipe kitu ambacho ni mara nne zaidi ya hiyo pesa,
Wakawa wanaleta.
Sasa kuna mmoja huyo alikuwa mkali sana yaani likisu haswa limejibrand ile kisawa sawa.
Likaja ofisini kwa issue na huduma tofauti na kukopa nikalihudumia nikawa nimelielewa nikajaribu kurusha voko likarusha mita mia sijakaa sawa kumbe kwa phone linaongea na mume wake..
Kufumba na kufumbua chuma moja forester subaru ikapaki ofisini akashuka mkushi mmoja nae sio mnyonge sana.
Akanipa hai pale akabeba zigo lake akateleza akaniachia michirizi ya matairi tu.

Siku nenda siku rudi kabla Yesu hajarudi, Nikashangaa manzi anakuja ofisini kwangu anaanza kuniomba nifungue mlango aingie chemba kwangu maana kuna partition ya wateja na ya Staff ambapo mara nyingi nakuwepo mimi au kijana wangu niliekuwa nimemuajiri wakati huo.
Kwanza nikawaza haraka haraka mbona ghafla halafu anataka akae na mm chemba je akitokea mke wangu hapa itakuwa ugomvi wa aina gani huu,,
Yaani bora ufumaniwe kiukweli ukute huwa unaikula sana kuliko hii unafumaniwa halafu ni empty set inauma.

Nikamgadi tu "We simama au kaa tu huko huko tuongee maana humu hamna mtu wa tatu " Akagoma kuwa ni maongezi nyeti so mme wake anaweza kumkuta pale ikawa noma.
Nikasema haiwezi kuwa noma maana hatupo uchi. Wewe ni mteja kama mteja yeyote yule. Akafyum akasepa nikabaki nasubiri wateja walete maokoto.

Hakukaa hata lisaa akarudi hapo ndio pakawa patamu sasa.
Ngoja niishie hapa msome kwanza halafu mkimaliza mtanitag nije niendelee na kipande cha mwisho
 
Moja ya kazi ngumu ni kudai pesa,bora umwambie mtu SIN,hapo ukisema umwambie mumewe inaeeza ikakuletea shida.Pole sana.
 
Wakati unamkopesha ulihakikisha kapewa ruhusa na mumewe kukopa kwako!!?

Too young to die!!
 
Back
Top Bottom