Kuna kila dalili Tanzania ndiyo ikawa nchi ya kwanza jeshi la wananchi kuingia vita na wananchi badala ya kuwatetea

Kuna kila dalili Tanzania ndiyo ikawa nchi ya kwanza jeshi la wananchi kuingia vita na wananchi badala ya kuwatetea

Ma mbwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
1,407
Reaction score
3,521
Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi
  1. Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji.
  2. Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la polisi na wao kufuata mkumbo.
  3. Watu wanaandamano kudai haki yako mkuu wa jeshi CDF anajitokeza kwenye vyombo vya habari na kudai waandamanaji ni magaidi na vibaka.
Kuna 9D mbele yetu lakini sasa hivi wameanza kusambaa mtaani kuwatisha wananchi. Maana naona kwenye majiji na miji wameanza kusambaa mtaani.

Kwa taarifa tu ni kwamba hakuna jeshi duniani limewahi kushinda wananchi. Ukiona wameshinda ujue wananchi hawajaamua tu
 
Hivi hamna mtaalam wa kulipua, akaonyesha mfano kwenye moja tu,,, arrggghhhhh nakasirika mimi
 
Back
Top Bottom