matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
“Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.”
Waebrania 10:28
👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo.
Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita.
Anataka au zinataka watu wa imani.
Imani ni kuchukua HATUA kivitendo ukiamkini jambo hilo litakuwa tu, na hata lisipokuwa unaamini hilo basi hakukuwa lako liko Bora zaidi ya hilo linakuja.
Namaanisha katika Muamala yako ya kimaisha ondoa Hali ya kusitasita maana unajitenga na support ya kiungo ambayo imo kwenye kula KANUNi zinazoendesha dunia.
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi