Dalili za kukatiliwa kuwa wewe sio kiongozi zimenikumbusha syria

Dalili za kukatiliwa kuwa wewe sio kiongozi zimenikumbusha syria

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mabavu yana mwisho ila kuna mda mabavu yako na utawala wako unaweza kuona wewe farao.

kipindi cha raisi wa syria kabla ya kupinduliwa ilifikia hatua haya tunayopitia tanzania kwake yalikuwa ni kama mazoea kila siku.

siku moja watoto wadogo walichoka wakaandika kuwa awamtaki raisi kwenye ukuta.
walikamatwa wakiwa na umri mdogo na waliteswa sana na wengine kufa.
baada ya wananchi kudai watoto wao wengine wamekufa ilileta hisia nyingi watu kukusanyika kwenda kuzika watoto wao.

cha kushangaza mtawala alituma jeshi la kivita kuwashambulia hapo hapo makaburini.

Ndipo syria mpya ilipoibuka kwa kila roho za kuona huyu ni lucas mwashamba,mwijaku,sheikh ubwabwa,Tec,CCM chawa,gwajimanazation,mzanzinari,ukabira na n.k

Naona Tanzania,Uganda na kenya zinaweza kuwa software mpya ya vita ambavyo watawala ndio chanzo.
 
Back
Top Bottom