Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Ladies and Gentlemen. Brothers and sisters. Our case is different.
Kama kichwa kisemavyo, naona kabisa vuguvugu hili likianzia kwa kinamama na kinadada wa Taifa hili. Sio kwamba wanaume wameshindwa, bali wanawindwa kwa hamasa kubwa hadi kupelekea woga mwingi.
Habari njema ni kuwa wao watachukua na kuendeleza pale ambapo kinamama wameishia. Hivyo nitawapa jina hili; Generation W (tamka Wii). W for Women.
Naishia hapo