GE2025 Kuna kila dalili naziona kuwa mageuzi ya hili Taifa yataanzia kwa mwanamke

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Amini hivi, Maandamano yataanza kidogo tu kimzaha ila katika waandamanaji hao kuna wanawake watapigwa vibaya/Kiudhalilishwaji na polisi, clips zitasambaa kwa kasi mno watu watapandwa na hasira hasa wanawake na hapo ndipo moto utawaka nchi nzima!
 
Hakika. Naye kwa kujua hilo anapita humoumo kufanikisha mambo yake
Binafsi mimi ninaumizwa sana na kuona watanganyika walivyokosa uzalendo kwa taifa lao, kwa makusudi wameamua kutumia udhaifu wa Samia kulifisadi taifa pasipokujali kesho ya taifa hili...

Na samia naye kwa vile alishagundua watanganyika hawana uzalendo hata chembe, kwa hiyo ameamua kuwaruhusu wale kadri ya uwezo wao, huku yeye na mwanaye wakiitafuna nchi watakavyo.

Ukishaona tu raisi wa yuko kwenye kampeni halafu anakuwa mzito kutamka neno ufisadi, jua kabisa hapo mnaongozwa na fisadi ambaye yeye mwenyewe anasumbuliwa na guilty coscience
 
Amini hivi, Maandamano yaanza kidogo tu kimzaha ila katika waandamanaji hao kuna wanawake watapigwa vibaya/Kiudhalilishwaji na polisi, clips zitasambaa kwa kasi mno watu watapandwa na hasira hasa wanawake na hapo ndipo moto utawaka nchi nzima!
Kila kitu kina mwanzo. Tena ukute polisi wenyewe wana hasira kwa nini watu wamekuwa maboya hivi. Inatakiwa namba ya kutosha ili pilika ziweze kuanza
 
Binafsi mimi ninaumizwa sana na kuona watanganyika walivyokosa uzalendo kwa taifa lao, kwa makusudi wameamua kutumia udhaifu wa Samia kulifisadi taifa pasipokujali kesho ya taifa hili...

Na samia naye kwa vile alishagundua watanganyika hawana uzalendo hata chembe, kwa hiyo ameamua kuwaruhusu wale kadri ya uwezo wao, huku yeye na mwanaye wakiitafuna nchi watakavyo.

Ukishaona tu raisi wa yuko kwenye kampeni halafu anakuwa mzito kutamka neno ufisadi, jua kabisa hapo mnaongozwa na fisadi ambaye yeye mwenyewe anasumbuliwa na guilty coscience
Ni changamoto sana. Nina imani kuwa na yeye ni mzazi pia hivyo aamue sasa kuwa alichochota kimemtisha afanye maendeleo kwa kipindi kilichosalia
 
Hayo maendeleo kwani hafanyi? Mbona maendeleo samia anafanya tu kama ilivyo kwa maraisi wengine waliopita... ila sasa hayo maendeleo anayowapa yako chini ya matarijio ya yale aliopaswa kutupatia.

Chukulia anaenda kukopa 2trillion kwa ajili yakuendeleza miradi ya kimkakati, halafu zinatumika 800b hizo tu, haya hiyo 1.2trilion iliyobaki inaishia kwenye mifuko ya wahuni.

Kwa hiyo unakuta mradi ambao ulipaswa kuisha ndani ya miaka miwili tu unatumia miaka minne na tena kwa kiwango cha chini sana.

Hivyo ndivyo jinsi samia anavyotekeleza kuwaletea maendeleo wabongo..
 
Tatizo lipo hapo. Wachache wanakulaje 1.2tri halafu raia milioni kadhaa wanakula 800bil? Kula ipo sana tatizo dharau zimezidi
 
Sijui msimamo wako kuhusu epsodes za Pole pole ukoje...

Ila nafikiri ulimskia siku aliposema kwamba kipindi cha corona ilikuja grant ya $600m kama COVID relief baada ya Samia kukubali kusambaza chanjo hapa nchini, kwenye hilo fungu pesa ambayo ilitumika ni 500b tu basi, ambazo ndio hivi vyoo tunavyoona kwenye shule za serikali.

Sasa just imagine yaani grant ya $600m ambayo ni sawa na 1.4trillion ila pesa ambayo angalau ilienda kusaidia jamii ni 500b tu basi na iliyobaki yoyote ilieanda ilienda kwenye mifuko ya wahuni.

Ukienda kwenye ofisi za Almashauri unakuta watumishi wa umma karibu kila mtu ana magari matatu matatu ya kutembelea na hapo unakuta mishaara yao inachezea laki 7 hadi 1.5m hapo, ila maisha yao binafsi wanayoishi utafikiri wanalipwa milioni 40 kila mmoja.

Kuna sababu kubwa kwanin watumishi walio wengi wanampenda sana Samia na wanatamani atawale hata miaka 20.
 
Polepole namwelewa sana. Anatufumbua macho na akili kuhusu upigaji unaoendelea. Na kuhusu hao watumishi ni lazima wamkubali kwa kuwa wananeemeka nae. Nakumbuka kaui ya urefu wa kamba. Tupo kwenye hali tete sana
 
Samia kama watawala dhalimu wengi waliovyowahi kufanya hapa duniani...

...ametumia njia ya divide and rule hili kupata urahisi wa kututawala atakavyo.

Sasa hivi watanganyika tu wenyewe kuna baadhi yetu wanamlinda sana samia asitoke madarakani sababu ya kunufaika na udhaifu wa serikali yake na watangayika wenyewe ndio hao watumishi wa serikali.... Na samia mwenyewe ameshagundua hilo kwamba watu pekee wanaomsapoti ni watumishi ndio maana kamwe huwezi kuskia amewatumbua au kukemea ubadhirifu wanaufanya.

Kwa hiyo hata kwenye vugu vugu la kuikomboa hii nchi kikwazo cha kwanza ni hao machawa.
 
Tujue pia kuwa sio wote wanamlinda kwa kupenda. Aidha A o B. Nao wanaofaidi hayo sio watumishi wote maana tuko nao mitaani pia Hivyo ni kakundi fulani kadogo kasikofikia hata milioni 2
 
Yes hili nayo kweli, mfano jeshini huko ukiachana na CDF Mkunda pamoja na maafisa wenzake wa ranks za juu, hakuna wengine wanaofaidika na utawala mbovu wa samia... hawa wanajeshi wa chini huku ni njaa tupu
 
Ngoja tuone ili video polisi wanapiga mtu ni mwanamke ndio alienda kumvuta katikati ya Mapolisi.
Mwanamke ni special group, ana victim status. Angekua mwanaume yule nae angeunganishiwa kipigo.

Hata yule dogo alieiba parachichi angekua mtoto wa kike asingepigwa vile.
 
Back
Top Bottom