damascus

Damascus ( də-MASK-əs, UK also də-MAH-skəs; Arabic: دِمَشق, romanized: Dimašq) is the capital and largest city of Syria, the oldest current capital in the world and, according to some, the fourth holiest city in Islam. Known colloquially in Syria as aš-Šām (الشَّام) and dubbed, poetically, the "City of Jasmine" (مَدِيْنَةُ الْيَاسْمِينِ Madīnat al-Yāsmīn), Damascus is a major cultural center of the Levant and the Arab world.
Situated in southwestern Syria, Damascus is the center of a large metropolitan area. Nestled among the eastern foothills of the Anti-Lebanon mountain range 80 kilometres (50 mi) inland from the eastern shore of the Mediterranean on a plateau 680 metres (2,230 ft) above sea level, Damascus experiences an arid climate because of the rain shadow effect. The Barada River flows through Damascus.
Damascus is one of the oldest continuously inhabited cities in the world. First settled in the 3rd millennium BC, it was chosen as the capital of the Umayyad Caliphate from 661 to 750. After the victory of the Abbasid dynasty, the seat of Islamic power was moved to Baghdad. Damascus saw its importance decline throughout the Abbasid era, only to regain significant importance in the Ayyubid and Mamluk periods. Today, it is the seat of the central government of Syria. As of September 2019, eight years into the Syrian civil war, Damascus was named the least livable city out of 140 global cities in the Global Liveability Ranking. As of June 2023, it was the least livable out of 173 global cities in the same Global Liveability Ranking.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muujiza wa kurejeshwa mkono uliokatwa wa Mtakatifu Yahana wa Damascus

    Mtakatifu Yohane wa Damascus (c. 675–749) alikatwa mkono wake wa kulia na Khalifa huko Damascus baada ya barua ya kughushi kutoka kwa Leo III kumshutumu kwa uongo kuwa msaliti. Mt Yohana aliomba mbele ya sanamu ya Bikira Maria na mkono wake ukaunganishwa tena kimiujiza, jambo lililosababisha...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Mtangazaji asitisha matangazo akiwa hewani baada ya Israel kushambulia Damascus

    Mtangazaji wa kituo cha televisheni ya taifa nchini Syria alilazimika kusitisha matangazo ya moja kwa moja baada ya mlipuko mkubwa kusikika karibu na jengo la studio, kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika jiji la Damascus. Tukio hilo lilitokea wakati taarifa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Ajabu wa Samir na Mohammed: Hadithi ya Upendo, Msaada na Maumivu kutoka Damascus ya Kale

    Taswira ya kweli ya wanaume wawili waliopigwa picha kutoka Damascus mwaka 1889: Mkristo Samir alikuwa mlemavu wa kupooza na pia alikuwa mfupi. Na Mohammed, Mwislamu kipofu aliyekuwa akimbeba Samir mgongoni. Samir aliyekuwa mlemavu wa kupooza alimtegemea Mohammed katika safari zake mitaani...
  4. JamiiForums Tanzania Our Man in Damascus, Tunajiuliza kwanini viongozi wetu sio wazalendo?

    Wakuu, Moja ya true story ni juu Kipenyo Eli aliejipenyeza from Israel hadi kufika kwenye mamlaka za juu kabisa nchini Syria. Kipindi cha miaka ya 60s, Syria iliisumbua sana Israel sambamba na kuua raia wake. Mossad wakaingia mzigoni na kumuandaa kijana E. Cohen as Kamel Thabeet na kumpa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Shambulizi la anga la Israel lasababisha tetemeko la aridhi nchini Syria

    Leo,Israel imefanya shambulizi la anga kwenye kambi ya jeshi la Urusi katika mji wa TARTUS imesababisha mtikisiko mkubwa wa Ardhi ambao umesikika umbali wa Kilometa 800. Wataalamu wa kijeshi wanasema,huenda mlipuko huo umesababishwa na Vilipuzi vilivyokuwa vimehifadhiwa mahali hapo. Jeshi la...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!! Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje? Yaani, familia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Urusi imeanza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Syria kwa msaada wa Uturuki

    Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria. Video kadhaa zimeonesha msafara wa magari ya kijeshi ikiwemo mifumo ya ulinzi wa anga aina ya S-300/400, Vifaru aina ya T-64 na Magari...
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

    Wanaukumbi. Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus. Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Syria wavamia ubalozi wa Iran, Damascus na kuharibu mali

    Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama zamani au watakuwa maadui wakudumu. Source: Aljazeera
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Inasemakana ndege aliyokuwa amepanda Bashal Al Assad tokeka Damascus imedunguliwa

    Dakika chache baada ya ndege hiyo kupotea katika rada, hichi ndicho walichoposti jeshi Israel katika ukurasa wao wa X.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

    Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!! Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left. It is the end of a dark era and the beginning of a new one, HTS says on Telegram. People who were displaced or were imprisoned by the Assad regime's...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Damascus: Waasi wa HTS wauzingira mji wa Homa nchini Syria

    Habari za hivi punde zinadai,Wapiganaji wa HTS ambao wanasadikika kuungwa mkono na nchi ya Uturuki, wameuzingira mji wa nne kwa ukubwa nchini Syria wa HAMA kusini Magharibi mwa nchi hiyo. Mji huo upo umbali wa Kilometa 210 kutoka mji mkuu wa Syria wa Damascus. Ikumbukwe kuwa, Wiki iliyopita...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ndege za jeshi la Israel lashambulia jirani na ubalozi wa Iran Damascus Syria, naibu kamanda kikosi cha Jeshi Quds la iran auawa

    Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…