Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno.
Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Misemo na kauli za kilaghai imekuwa ikitumiwa kujenga jamii ya kinafiki katika jamii na Ulimwengu huu. Moja wapo ya misemo au kauli za Uongo au kilaghai ni pamoja na kauli isemayo, Damu ni nzito kuliko Maji.
Hiyo dhana au kauli hiyo haina ukweli wowote...
Wasalaam...
Ni muda sasa nafanya utafiti (siyo rasmi) kuhusu muingiliano wa kimahusiano kati ya Wachina 🤔🤔 na watu wa mataifa mengine,
Hapa nazungumzia wa - Europe (Wazungu), wamarekani (Americans) na Waafrika pale wanapoanzisha uhusiano na kufanikiwa kupata mtoto basi huyo mtoto 98% atakuwa...
Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo
Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu?
Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa?
Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo
Najuta sitarudia tena!
Wakuu,
Nimani ulishawahi kusikia au kuambiwa kama una upungufu wa damu kunywa anjali, au kunywa chemicola inaoza damu fasta, au kuambiwa usinywe sana juice hizo kwani damu itakuwa nyingi sana.
Hii ni kweli?
Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe.
Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
Habari Wakuu,
Hata hivyo kumekuwa na dhana kuwa mtu anayejichora tattoo hawezi kumchagia mtu damu na sababu za kutokufanya hivyo hazijawekwa bayana zikaeleweka
Je, ni kweli kwamba mtu aliyechora tattoo hawezi kuchangia damu? Na kama ni kweli zipo ni sababu za kisayansi ya kushindwa kufanya hivyo?
Wasalaam JF,
Nikiwa nakula vibe la amapiano kali nitoe ujumbe na rai ya kutambua urafiki wa damu kati ya Mo energy na Hanson choice.
Ni ujio pekee wa Yesu ndio unaweza kuamua vinginevyo.
Nawasilisha kwa mengineyo
Shukrani 🙏 🙏🙏
Wadiz sina ufungamano na kuuzwa kwa Bandari zetu
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama
Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya...
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu
1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo)
2. Saikolojia ya mtu
3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi ufanyaji kazi wa moyo katika kusafirisha damu ya kutosha kwenye maungo ya mfumo qa...
Wakuu mko vyede?
Kuna kipindi fulani hili suala lilizuka sana kuwa wanaoishi na HIV hasa matajiri walikuwa wanaenda South Afrika kubadilisha damu ili kupunguza makali ya ugonjwa huo.
Hii ilikuwa kweli? Maana mpaka leo naamini walikuwa wanafanya hivyo, ila swali likaja wanabadilishaje...
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amesema mikopo ya kausha damu pamoja na urahisi wake wake wa kupatikana ina gharama kubwa. Akitolea mfano, amesema mtu akikopa 50,000 anakatwa 5,000 ya fomu, 5,000 nauli ya mkaguzi kuja kukagua mali zako na marejesho ya jumla ya 75,000 hivyo jumla...
Rais wa Klabu ya Soka ya Yanga Mhandisi Hersi Said amesema klabu hiyo katika kuelekea wiki ya wiki ya mwananchi imeamua kuwahamasisha mashabiki na wanachama wake kujitokeza kuchangia damu katika vituo vilivyoanishwa nchi nzima ikiwa ni sehemu ya mchango wa klabu hiyo kwa jamii.
Mhandisi Hersi...
Tangu zamani nasikia stori za mwanamke akifanya mapenzi kwa mara ya kwanza (kutolewa bikra kama wanavyoita) lazima atoke damu. Japo kumekuwa na baadhi ya wanawake wanasema hawakuwahi kutokwa damu, hii imekaaje?
Je, ni kweli mwanamke akitolewa bikra lazima atoke damu? Na kama ndiyo hao wanaodai...
Hello,
Mtu mzima umri miaka 50+ anasumbuliwa na kutoka damu puani inatokea mara mbili hata zaidi kila wiki.
Nini kifanyike kutoweka kwa hari hii, msaada tafadhali!
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo.
Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba.
Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia
Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Ajax ambapo Van der Sar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.