dar

  1. Kasri Homes Tz

    House4Sale Magomeni: Semi Detached House with Frames For Sale - Dar

    • Direction: Mwembechai, Kagera Street near Istiqama Hospital • Facilities: 6 bedrooms, 5 washrooms, 3 frames • Plot Area: 380 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 275 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ Inafanyiwa matengenezo ✓ iko mtaa wa lami ✓ ina pande 2. Kila pande ni self ya...
  2. Pdidy

    KIpa wa Simba Camara apokea hela kutoka kwa mfanyabiashara maarufu wa Nguruwe

    Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi kumpatia hela kadhaa Hakuishia hapoo akasema kwa wasiomjua yeye ni mfanyabiashara mkubwa wa Nguruwe...
  3. Kiranja Mkuu

    Niko Mbeya nataka niwahi Dar leo, nahitaji usafiri, nitachangia mafuta

    Natanguliza shukrani zangu za dhati
  4. Mindyou

    SI KWELI Leo Septemba 23, 2024 Mbowe yuko Arusha

    Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
  5. N

    Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  6. Kasri Homes Tz

    Plot4Sale Kinondoni: House/Plot For Sale - Dar

    • Direction: Kinondoni Mahakamani • Facilities: 3 bdrm, 2 washrooms, servant quarter • Plot Area: 240 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 70 million (fixed) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inajitosheleza vyumba master 1 na kawaida 2 ✓ nyumba ina mpangaji analipa TSH 500,000 kwa mwezi . •...
  7. F

    CHADEMA akili kubwa: Maandamano waliyofanyishwa Polisi tangu juzi kuanzia Arusha, Moshi, Tanga, Pwani kuja mpaka Dar ni makubwa na ujumbe umefika

    Kuna mbinu nyingi tu za kuandamana hasa katika nchi ambazo demokrasia ya kuandamana ni ndogo; 1. Maandamano ya wananchi mtandaoni and kwenye vyombo vya habari 2. Maandamano ya wananchi mtaani 3. Kuwafanya viongozi wa serikali wahahe huku na huko 4. Kufanya vyombo vya dola viandamane bila...
  8. Kasri Homes Tz

    Plot4Rent Pugu Industrial: 460 Sqm Warehouse For Rent - Dar

    • Direction: Tazara near Mfugale • Warehouse Area: 460 sqm • Rent: USD 2,300/month (payment in TSH is accepted) • Terms: 12 months • Brokerage fee applies • Viewing charge: TZS 30,000 . ✓ iko eneo la viwanda ✓ kuna ofisi ✓ kuna uzio na parking ✓ maji na umeme wa kiwandani vipo ✓ panafaa kwa...
  9. T

    Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  10. P

    Je, tutatarajia maandamano kufanywa na wanaume wa Dar na Pwani?

    Kesho itakuwa tarehe 23 Sept 2024. Siku ambayo chadema wamepanga kufanya maandamano ya amani kuishinikiza serikali kuwarudisha makada wote wa chadema waliotekwa na wasiojulikana lakini pia kuomba haki itendeke kwa waliouawa. Serikali kupitia jeshi la polisi imepiga marufuku maandamano haya kwa...
  11. Kasri Homes Tz

    House4Rent Bahari Beach: Standalone 4 Bdrm Ensuite House For Rent - Dar

    • Direction: Bahari Beach • Facilities: 4 bedrooms, 5 washrooms, swimming pool • Rent: TZS 1.5 million/month • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ inapangishwa bila samani (unfurnished) ✓ vyumba vinne self, sebule, jiko, dinning, public washroom, stoo ✓ madirisha vioo, viyoyozi, malumalu sakafuni...
  12. M

    Uchafu wa bahari eneo la ferry Kivukoni Dar es salaam

    Hamna hata salamu, Hili eneo ni chafu. Lipo karibu na ikulu na maofisi makubwa. Idara inayohusika na usafi wa mazingira ya bahari na nchi kavu huwa wakienda ofisini kazi yao ni ipi? Na sisi wananchi, hivi ni mpaka kampeninya usafi ifanywe ndio tujue umuhimu wa usafi? Hebu tubadilike. Watu...
  13. emmarki

    Kutoa ndizi mbivu kutoka dar kupeleka kisiwa cha Mafia

    Habari wana jamvi. Kisiwa cha Mafia ni mojawapo ya wilaya zinazounda mkoa wa Pwani. Kutokana na aina ya wakazi wa kisiwa hiki kuegemea sana kwenye shughuli kuu ya uvuvi na kilimo cha nazi, imesababisha mazao jamii ya matunda na mbogamboga kuagizwa kutoka dar. Nimeona biashara ya kununua...
  14. Kasri Homes Tz

    House4Rent Mbezi Beach: 2 Storeys Standalone House For Rent - Dar

    • Direction: Sea Side • Facilities: 4 bedrooms, 5 washrooms, swimming pool • Rent: USD 3,500/month (payment in TSH accepted) • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba ya ghorofa 1 ✓ inapangishwa na samani zake ✓ Vyumba vinne self, sebule, jiko, dinning, public washroom, Stoo ✓ madirisha vioo...
  15. ESCORT 1

    Nimepishana na msafara mkubwa wa magari ya polisi hapa Kibaha, uelekeo wao ni Dar Es Salaam

    Magari takribani 12 mpaka 14 aina ya Land Cruiser yakiea na shehena ya askari nimepishana nayo hapa kibaha yakielekea Dar. Jumatatu kutachangamka sana huko Mjini, mliopo Mbezi mnaweza mkosogea karibu na barabara mjionee🤣
  16. B

    Polisi wa Kuzuia Fujo wasambazwa jijini Dar: Ni kutangaza hali ya hatari?

    21 September 2024 Ulinzi umeimarishwa jijini Dar es Salaam huku magari ya polisi yakionekana yakizunguka kuweka ukuta wa kufikirika https://m.youtube.com/watch?v=IJgCHuVI4dA Tanzania ni nchi ya kipekee kwa kutoonekana askari polisi kuzagaa ambapo nchi zingine kama Ethiopia, Kenya n.k ni...
  17. Msanii

    Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
  18. U

    Wito kampuni ya kimataifa ya Uuzaji wa Pizza isogeze huduma Kwa kufunguka migahawa yake maeneo ya Temeke na Mbagala Dar es Salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Niombe kampuni kubwa ya kimataifa ya Pizza Hut isogeze huduma maeneo ya temeke na mbagala jijini dar es salaam. Naambiwa kampuni hii ina migahawa maeneo mikocheni, masaki, msasani na oysterbay hivyo tunaomba wafungue pia matawi na kuanzisha huduma za "delivery"...
  19. Beira Boy

    Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

    Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana FFU wakiwa wanalinda...
Back
Top Bottom