daraja

Daraja Academy is a secondary school for Kenyan girls located outside of Nanyuki, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri Ulega ambana Mkandarasi Daraja la Lukuledi, ampa miezi mitatu likamilike

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi. Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika...
  2. Stephano Mgendanyi

    Ulega Ambana Mkandarasi Daraja la Lukuledi - Ampa Miezi Mitatu Likamilike

    ULEGA AMBANA MKANDARASI DARAJA LA LUKULEDI-AMPA MIEZI MITATU LIKAMILIKE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi...
  3. A

    KERO Barabara ya Mtengu (kupitia Kilongoni Sheli ya TSN kuelekea Njia Nne kabla ya Daraja la Mtikatika) haijarekebishwa

    Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena vya mvua vinaanza sijui hali itakuwaje! Tunaomba Serikali itusaidie kutatua changamoto hiyo...
  4. kichongeochuma

    Mfumo wa Jeshi la Polisi ubadilishwe, Unakandamiza na kunyanyasa Wananchi hasa wa daraja la chini

    Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni. Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Ulega Amkabidhi Mkandarasi Ujenzi wa Daraja la Tanganyeti Lililoathiriwa na El-Nino

    ULEGA AMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA DARAJA LA TANGANYETI LILILOATHIRIWA NA EL- NINO Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemkabidhi Mkandarasi Jiangx Geo Engineering kazi ya ujenzi wa daraja la Tanganyeti wilayani Longido lenye urefu wa mita 40 katika barabara ya Arusha-Namanga ambapo zaidi ya...
  6. Nyendo

    KERO Tujengewe kivuko imara, hili daraja Mtaa wa Kanga, Kinyerezi Mwisho mvua ikinyesha inakuwa hatari kwa wavukaji

    Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi. Kuna daraja liko Kinyerezi Mwisho ukiwa unaelekea kwa Komba ambalo hasa linatumiwa na Watembea kwa miguu, tunapata shida...
  7. Stephano Mgendanyi

    Ulega Atoa Saa 72 Mawasiliano Daraja la Gonja Mpirani Yarejee

    ULEGA ATOA SAA 72 MAWASILIANO DARAJA LA GONJA MPIRANI YAREJEE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa saa 72 kwa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) mkoa wa Kilimanjaro kurejesha mawasiliano katika daraja la Gonja Mpirani. Hatua hiyo inafuatia kuvunjika kwa daraja hilo hivi karibuni kufuatia...
  8. Mtoa Taarifa

    Wanafunzi 210,578 wa Darasa la 4 wamepata Daraja E kwenye Mtihani wa Upimaji, 116,251 wamefeli Kidato cha Pili

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo...
  9. BLACK MOVEMENT

    Wenzetu huko Mbele huwa wanahamasisha mashabiki waende uwanjani au mashabiki wana mapenzi na timu zao hata zikishuka Daraja?

    Bongo uswahili ni mwingi sana, na bado sana hata kwenye ushabiki wa Mpira, tuna ushabiki mwingi wa mdomoni wa kubishana kwenye vijiwe vya kahawa na mitandao ya kijamii kama humu. Emegine kwamba mashabaki wenye timu yao lazima wahamasishwe, gari izunguke mtaani watu wakikata mauno kwenye gari...
  10. Shooter Again

    Msimu huu Manchester united inaenda kushuka daraja

    Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa...
  11. Mdakuzi

    Man United kupigania kutoshuka daraja

    Man United: Kipigo, Matumaini Yanayoyeyuka, na Mvumo wa Mashaka Usiku wa Desemba 30, 2024, Old Trafford, uwanja uliojaa kumbukumbu za ushindi wa kihistoria ukageuka kuwa kaburi la matumaini ya mashabiki wa Manchester United. Sauti za shangwe zilizokuwa zinaashiria imani ya mashabiki...
  12. A

    Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
  13. I

    Daraja la Langai, Simanjiro: Mkandarasi amesimama ujenzi, Wakazi Walia hatari ya maisha

    Wakazi wa Langai wapo katika hali ya wasiwasi kutokana na kusimama kwa ujenzi wa daraja ambalo lilitarajiwa kuwa kiunganishi muhimu cha usafiri na usalama wa wakazi wa eneo hilo. Mwananchi mmoja ameibua hofu kubwa baada ya mtu kusombwa na maji kwenye daraja hilo, ambalo ujenzi wake...
  14. M

    KERO Maisha ya Wakazi wa Njelela na Ngaranga (Njombe) yapo hatarini wanapotaka kuvuka kwenda upande wa pili, hatuna daraja

    Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
  15. JanguKamaJangu

    Pep Guardiola: Jose Mourinho anatamani Man City ishushwe daraja

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema anaamini Jose Mourinho ambaye kwa sasa ni Kocha wa Fenerbahçe anaitakia mbaya City na ikiwezekana ishushwe daraja Awali, Guardiola alinukuliwa akisema yeye alibeba mataji sita ya Premier League tofauti na Mourinho aliyebeba matatu, kauli ambayo...
  16. Etugrul Bey

    Usilivunje daraja ambalo unaweza kujikuta unalivuka mara kwa mara

    Hakika Maisha yana mambo mengi ya kushangaza na kustaajabisha sana,kuna mambo ambayo huenda hukuyategemea ukakuta yanatokea katika namna ambayo hukutarajia kabisa Unapovuka daraja na kwenda upande wa pili basi usilivunje hilo daraja kwakuwa tu umevuka upande wa pili,huenda kuna siku ukahitaji...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  18. M

    Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  19. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge yawataka Watumiaji wa Daraja la Nyerere, Kigamboni Kulipia Bando

    *Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu *Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere...
  20. Roving Journalist

    NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
Back
Top Bottom