Achana na kile kituko cha jana kwenye utambulisho wa mkandarasi wa kichina kupitia kampuni iitwayo CCC.. KItuko chenyewe ni kitu kipya nilichokisikia kwa mara ya kwanza pochi la mama/ pochi la mama limefunguka
Tafsiri yake ilikuwa ni rahisi sana.. Kwamba hiyo ni pesa ya mtu binafsi toka kwenye...
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi itatekelezwa kwa miezi 24.
Mkataba huo umesainiwa leo Oktoba 22, 2024...
SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya Fire - Ubungo kwa gharama ya Shilingi Bilioni 97.1 ambapo kazi ya ujenzi...
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi.
Baada ya kuhitimu kila mmoja aliendelea na maisha yake, yeye aliolewa na bwana x, aliyekuwa...
RAIS SAMIA AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI, WAFIKIA ASILIMIA 93
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye urefu wa kilometa 3 na barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66...
Walidai ni megastructures zisizo na faida.
====
Tanzania has completed the construction of the Magufuli Bridge on L. Victoria, Mwanza.The 3.2 Km bridge becomes the longest in East Africa costing $300 million.The bridge has reduced travel time to 4 minutes from 2 hours.
Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar.
Timu kama
Mashujaa Fc
Pamba
Prison
Jkt
Singida black stars
Fountain gate
Tabora Fc
Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) ipo katika hatua ya kumtafuta Mkandarasi kwa ajili ya kuanza utekelezaji wa ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni Daraja la Mkili lenye urefu wa mita 20 pamoja na Daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 ambalo litaunganisha Wilaya ya Nyasa...
MHE. KATIMBA: DARAJA LA JANGWANI SULUHISHO LA MAFURIKO DAR ES SALAAM
Naibu Waziri OR-TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba ametembelea eneo la Bonde la mto Msimbazi ambalo hivi karibuni Ofisi ya Rais TAMISEMi kwa kushirikiana na wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS wanatarajia kusaini mkataba na...
Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024.
Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI - DAR KUSAINIWA MWEZI SEPTEMBA, 2024
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba unatarajiwa kuwa umesainiwa mwezi...
Daraja la Kigongo-Busisi, maarufu kama "Magufuli Bridge," ni mradi mkubwa wa miundombinu uliojengwa kuvuka Ziwa Victoria, unaunganisha Wilaya ya Kigongo na Wilaya ya Busisi katika Mkoa wa Geita. Hapa kuna baadhi ya faida kuu za daraja hili:
1. Kuboresha Usafiri na Usafirishaji:
- Upungufu wa...
Wananchi katika Kijiji cha Kigogwe, Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wameandamana kupinga mradi wa ujenzi wa daraja la kubembea, unaojengwa katika Mto Rwiche kijijini hapo, wakidai waliomba kujengewa daraja la kudumu.
Kwa sasa wananchi hao wanavuka Mto Rwiche kupitia vivuko...
Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi.
Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na mji wa Glushkovo imekata sehemu ya wilaya ya eneo hilo. Daraja hilo lilitumiwa na Kremlin kusambaza...
Tuanze kuigusa SIMBA SPORTS CLUB ambayo ilipitia historia mbaya iliandikwa mwaka 1987, na mwaka 1988 pia mwaka 1989 kwani katika miaka hii mitatu Simba iliponea chupuchupu kuteremka Daraja kutoka Ligi daraja la kwanza ( kwasasa ni Ligi Kuu) kwenda daraja la pili.
Tuanzie mwaka 1987
Ambapo...
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Paschal Ambrose amemshukuru Waziri Innocent Bashungwa kwa kuendelea kutoa msukumo ili kazi mbalimbali zinazoendelea za ujenzi katika daraja hilo ziweze kukamilika na kumueleza kuwa hadi kufika mwisho wa mwezi Agosti wananchi wataruhusiwa kupita juu ya...
Habari wakuu.
Mimi cheti changu cha diploma kimekosewa, nimekirudisha kirekebishwe ila nimeomba kazi kupitia ajira portal je nikiitwa kwenye interview natakiwa niende na document gani mbadala wa hiko cheti nilichokirejesha kwa ajili ya marekebisho. Maana chuoni wananizungusha kwamba cheti bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.