darasa

  1. J

    Wabunge tuondoleeni Darasa la Saba na Kidato cha Nne Bungeni

    Kwa tathimini ya haraka Ubunge umekuwa jambo jepesi sana,niwaombe wabunge watakaopita hasa Ma prof na ma Dr wakakomae bungeni ili wabadilishe vifungu katika katiba kuhusu eneo la uwakilishi iwe kama ifuatavyo: 1. Elimu nikuanzia kidato cha 6 na kuendelea 2. Ubunge uwe na kikomo vipindi vinne...
  2. Nyendo

    Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic

    Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam. Hii inatokea muda mchache baada ya Shule ya Kinondoni Muslim kuwaka moto jana Julai, 2020. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  3. Ronee

    TBC na kipindi chenu cha Darasa Online, mnamfundisha nani?

    Kipindi hiki kilibuniwa ili kuwasaidia wanafunzi ktk likizo yao ya muda mrefu iliyosababishwa na mlipuko wa janga la virusi vya corona. Janga ni kama limeisha, wanafunzi washarejea mashuleni. huko mashuleni wanafunzi wako bize na waalimu wao kutekeleza ratiba za kila siku, na sidhani kama kuna...
  4. Influenza

    Darasa la 7 kuanza mitihani ya Taifa Oktoba 7, 2020 huku Kidato cha 4 wakianza Novemba 23, 2020

    "Darasa la 7 wataanza Mitihani Oktoba 7-8, Kidato cha 2 wataanza Nov 9 -20, wanaomaliza Kidato cha 4 na wa kujitegemea, wataanza Nov 23 hadi Disemba 11, na Darasa la Nne wataanza Novemba 25 - 26, 2020 " -Waziri wa Elimu, Prof Joyce Ndalichako. "Kidato cha 5 wataanza kufanya mitihani Julai 24...
  5. E

    Mbunge wa Busega, Dkt. Chegeni ataka Waziri Mkuu asiwe anajibu maswali ya papo kwa hapo Bungeni

    Leo mbunge wa jimbo la Busega anayemaliza muda wake mh. Rafael Chegeni waombe radhi wapiga kura wako, Maana baada ya wewe kutaka Waziri Mkuu asijibu maswali ya papo kwa papo bungeni, ilibidi Spika akushangae kwanza na baadae kumtaka Mwakyembe atoe darasa kwako mbele ya bunge. Baadaye Naibu...
  6. srinavas

    MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
  7. Private investigator

    Msaada sites ambazo naweza kudownload material ya kufundishia darasa la 1 mpaka la nne

    Naomba website za kibongo kwa material ya shule za msingi ambazo ni free na hazina complicated log in
  8. ommytk

    Tunaopiga picha darajani Manzese

    Wadau kuna jambo mimi linanishangaza pale tunapoenda kupiga picha pale darajani Manzese tunaonekana washamba na watu kutucheka mbona mkienda nje mnapiga picha kama hizi
  9. Nkoboiboi

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Tafadhali wana JF wenzangu, Anayeweza kunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina soko kubwa. WADAU WENGINE WENYE KUHITAJI KUFAHAMU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU MBALIMBALI
  10. Nsumba ntale tz

    Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania...
  11. Analogia Malenga

    Mwanafunzi darasa la pili apotea siku sita, mwili wake wakutwa pagalani

    Mwanafunzi aliyekuwa anasoma darasa la pili Shule ya Msingi Jitegemee Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani nchini Tanzania (jina linahifadhiwa kwa sasa) amekutwa amekufa ndani ya nyumbani ambayo ujenzi wake bado haujakamilika. Mwanafunzi huyo ambaye inadaiwa alipotea tangu Januari 14...
  12. Analogia Malenga

    Darasa la saba Dar kufanya mitihani 16 Jan 2020, Necta watoa ufafanuzi

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu mitihani itakayofanyika kesho Alhamisi Januari 16, 2020 jijini Dar es Salaam kwa wanafunzi wa darasa la saba. Mtihani huo utahusisha shule zote za umma na binafsi na utafanyika kwa siku moja ya kesho. Limesema mitihani...
  13. YEHODAYA

    Shule za English medium kufanya vizuri somo la kiswahili kwenye mitihani ya darasa la saba kuliko shule za swahili medium nini maana yake?

    Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote Hii inamaananisha nini? ==== Pia raia wa China Congcong Wang aliongoza somo la Kiswahili ambalo...
  14. J

    DC Mtatiro: Marufuku kufanya Sherehe za darasa la saba, fedha za Sherehe wazitumie kuwasomesha wasiwe mzigo kwa Taifa

    Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake. Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu...
  15. Mukulu wa Bakulu

    Ni fani kagi ya VETA inamfaa kijana alieishia darasa la saba?

    Naomba msaada wa kujua fani nzuri veta ambayo inaweza kumfaa kijana ambae ameishia darasa la saba. Kuna kijana wa dada yangu hakuendelea na masomo ya sekondari, sasa naona nimsaidie kwa kumlipia asomee fani VETA angalau imsaidie kukabiliana na changamoto. Naomba msaada wa kujua ni fani gani...
  16. beth

    Ambaka mtoto wa darasa la sita hadi kumuua, ajisalimisha Polisi

    Mponjoli Lisa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka binti wa darasa la sita Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni hadi kumuua. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Zuberi Chembela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wanne wanashikiliwa na polisi...
  17. Chief Kabikula

    Wahitimu 173636 Wa Darasa La Saba Kukosa Nafasi Nini Maana Yake

    Hii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
  18. beth

    Mabinti darasa la 4 wauza pombe za kienyeji

    SHEHE wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa na wazazi wao kuuza pombe za kienyeji hivyo kuhatarisha usalama wao. Aidha amesema hali hiyo inawaweka watoto hao katika hatari ya kutumika katika ngono wakiwa...
  19. Suley2019

    Ruvuma: Mwanafunzi wa Darasa la 6 afariki katika harakati za kutoa mimba

    Mwanafunzi Monica Ponera wa darasa la 6 Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo, Ruvuma, amefariki baada ya kufanyika kwa jaribio la kutoa mimba ya Mapacha wawili kwa njia ya kienyeji, inadaiwa Mwanafunzi huyo alipelekwa kwa Mganga wa Jadi na Wazazi wake ili kutoa mimba. (Picha...
  20. southern boy

    Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

    Habari humu!! Hi post pia nitaiweka na kule kwenye jukwaa la elimu sababu pia inahusu masula ya elimu. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na shughuli...
Back
Top Bottom