Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi.
Mbunge huyo...
Huyu Bwana alikuwa anatukimbiza vibaya mno darasani, form 4 alipiga division 1 ya 11 ya enzi hizo kabla ya 2010, (zilikuwa adimu mno), shule ilikuwa haijawahi kupata mtu aliefaulu kwa ufaulu huu, shule ilikuwa ya kawaida sana
Siffa za huyu mtu
1. Alikuwa mtoro sana
2. Form 2 alianza kuvuta...
JamiiForums ni darasa huru ambalo kama mtu anatamani kuwa mwandishi bora kabisa wa masuala mbalimbali anaweza kujiona na kufikia viwango vya juu sana. Nashauri waandishi wa habari najaribu kuitumia fursa hii ili kuepusha uandishi holela na kurupushi.
Nakiri kujifunza mengi sana yanayohusiana...
Habari zenu wakuu na poleni na majukumu, Leo ningependa tujue umuhimu wa I RESCUE BAG Kwa Fundi Computer Na Simu, Vitu Hivi Ni Muhimu Sana Kwa Fundi Yoyote Anayetaka Kutoa Huduma Express, Delivery Na Outreach.
IT RESCUE BAG
Ni Mfuko Au Kitu Chochote Kinachoweza Kuhifadhi Vitu Muhimu Ambavyo...
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums
Kwanini Bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) isianzishe campaign ya kuhamasisha wazazi kuanza kuwalipia watoto wao pesa kidogokidogo katika accounts maalum ya bodi wangali wakiwa bado wanasoma elimu ya msingi (Darasa la Kwanza)?
Jenga picha mtoto...
Katika tukio la kushangaza, mzee mwenye umri wa miaka 52 anadaiwa kumuoa mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Bugire iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Rorya mkoani Mara.
Vyanzo vyetu vya uhakika kutoka Rorya vimeeleza hivi karibuni kuwa msichana huyo mwenye umri wa miaka 15...
Wana JF
Makuzi ya binadamu wa mtanzania yanapitia magumu mengi, hivyo pia akili huchelewa kukomaa kupata uelewa wa kujifunza kitu Kwa umakini. Natoa sababu Kwa nini umri miaka 10 ndio unafaa mtoto kuanza la kwanza.
1. Umri ukiwa miaka kumi mtoto anakuwa amekomaa, huondoa woga na anaweza kuhoji...
Serikali mkoani Morogoro imeagiza mtoto Charles Mathias mwenye umri wa miaka 6 arushwe darasa kutoka Chekechea hadi darasa la kwanza baada ya kuonyesha kipaji kikubwa kwenye somo la Hisabati.
Afisa tawala wa mkoa bwana Kobehelo amesema agizo hilo lianze kutekelezwa mara moja.
Naye mbunge wa...
Daa aise,
Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba.
Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza.
Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China.
Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini.
Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
Mwanafunzi (13) wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maguja, Wilaya ya Ruangwa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzake wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Likangara.
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Foka Dinya alisema mtuhumiwa anadaiwa kufanya kitendo...
Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM.
Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo...
Hamisi Hababi: Assalaam Alaikum, jana nilikuwa na Mzee Kissinger na nikamsimulia andiko lako mtandaoni kuhusiana yeye na Hafidh Kido, na akafurahi sana nilimpomwambia yeye ni Mwalim na wewe ni mwanafunzi, akaishia kusema "Mohamed mtundu sana" mimi sina digrii yeye ana madgrii.
Waleikum Salaam...
Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo linalopatikana katika Shule ya Msingi Bushekya iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba kata ya...
Wakuu na mamlaka husika (Wizara Elimu na TAMISEMI)
Uzi wenye sura ya swali umeletwa jukwaani hapa baada ya kufanya jitihada za kutosha kutafuta mwongozo wa kuaminiwa kutoka serikalini , lakini imeshindikana kupata.
Taratibu za sasa katika utafutaji ajira na kujiendeleza kielimu unahitaji uwe...
VS
Wana jamvi Wasalaam
Mwaka 2020 umekuwa mwaka wa ushindani mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki hasa bongo fleva hapa nchini nah ii imetokana na kuwa mwaka wenye kazi bora sana za muziki wa bongo fleva .
Miaka iliyopita kulikuwa na kilio cha wasanii na wadau kuhusu wasanii kutoa album...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
Najaribu kujiuliza kwa uchungu mkubwa eti kuna watoto wamefutiwa matokeo ya darasa la saba(7) mwaka huu kwa makosa ya ulaghai yaliyofanywa na wamiliki wa shule zao bila kuwahusisha watoto kwa malengo ya kupata ufauru bora (wa ulaghai) huku upande mwingine wa siasa kuna sarakasi zinafanyika...
Walimu waliotajwa kuhusika na udanganyifu katika mitihani ya darasa la saba katika jiji la Arusha na Wilaya ya Kiteto, mashauri yao wamepelekwa Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru).
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde akitangaza matokeo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.