Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini.
Elimu zao hazisaidii nchi...
Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa.
Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
Kumekuwepo na sera ya ufundishaji wa wanafunzi kwa kujuimuisha wenye mahitaji maalum na wale wa kawaida katika shule/ darasa moja.
Wanafunzi hawa katika baadhi ya shule wanafundishwa na walimu waliosomea ualimu wa kawaida. Tatizo linakuwa ni namna ya kuwasiliana na wanafunzi hao hasa wenye...
Kuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo
1. Hakukuwa na Google
2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili
Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya kuyaweka majina yao bila ya kuongea na management zao.
Habari wanajukwaa,
Mimi nimekuwa mhanga kwelikweli wa elimu yetu hii ya tanzania hasa huku chini.
Juzi TAMISEMI wametoa mwongozo mpya ambao unatakiwa kutumia kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpakakidato cha 6, ambapo kila mwalimu anatakiwa kuandaa kalenda la kufundisha na kwamba wanatak...
Hawa ni waliofeli English Language Testing System (IELTS)
=======
Kenyan nurses who failed English language tests required for immigration to the UK will be supported by the British government to learn ‘Medical English’, an envoy has said.
“We are ready to assist Kenyan nurses learn medical...
Jamani, niko na mdogo wangu wa kiume anasoma Olimpio hapa Upanga yuko darasa la 4 kuna kibarua nilikuwa najishikiza sas mkataba umeisha na anatakiwa aende shule na kule imekuwa mbali kwaiyo nikilipa ada lazima nilipe na pesa ya usafiri naishi mbagara sas nahitaj kumuhamisha swali ni shule gani...
Habari zetu wanajamii Forum
Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna uwezekano wa kumkaririsha mtoto darasa yaan kama alikuwa darasa la tatu mwaka jana basi aendelee kusoma...
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa moja lilichukua kati ya wanafunzi 70 hadi 80.
Shauri amemshukuru sana Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa...
Watanzania tumerogwa; yaani tunafurahia matokeo feki huku elimu yetu ikizidi kushuka kila mwaka. Aliyeturoga kafa. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya matokeo ya darasa la nne (SFNA), kidato cha pili (FTNA) na kidato cha nne (CSEE) kutolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) hivi karibuni na...
Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako.
Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!!
Kazi Iendelee 🇹🇿
Hii kesi ina ya Ugaidi ya makomandoo wa jeshi na kiongozi wa upinzani inayoendelea ina maajabu yake mpaka sasa, mimi nitataja machache, mengine ongezeeni.
1. Ni darasa huru la kuwafundisha polisi namna ya kufanya kazi zao kimaridadi sana, kama ule wimbo wa sigara mkononi, lakini hawana fedha...
Ni Darasa zuri sana ambalo Kitaaluma litawafanya Watoto ( Wanafunzi ) Wetu wawe na Akili Kubwa za kuweza kuwafanya Wajenge nchi ili huko mbeleni tusiwe Wakopaji tena.
Hongera mno kwa Mpiga Picha hiyo Shaaban Njia ( wa Gazeti la Nipashe ) kwa Picha hiyo nzuri wa Darasa la Wanafunzi kwani Value...
Siyo kila mtu anayesema ana mamlaka ya kufanya jambo anayo mamlaka hayo.
Kile kipindi cha phone-in. Watu walikuwa wanapiga kutoa maoni yao kuhusu kile kipindi. TCRA iliwasikiliza watu wale? Wale watu walikuwa na shukrani sana kwa Polepole.
Polepole alikuwa anaongea maneno kama vile ," Mwajibishe...
Leo natoa somo kwa jamii ya watu wanapatwa na changamoto ya kutumia websites zilizofungwa, hususan kundi lile la watu wanaosafiri nje ya nchi na kukumbana na tatizo la kushindwa kufunguawebsites muhimu zilizofungwa na nchi hio......
- Download Opera browser
- Ingia kwenye menu
- Ingia...
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.
Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu...
Habari zenu wanajukwaa!
Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani.
Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
Wakuu habari,
Kuna binamu yangu alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu 2021, na akafaulu kwa wastani wa B, naona wamepangiwa shule, ila yeye sijaona kapangiwa shule gani! Au huwa wanatoa kwa awamu majina
Watoto wapatao 25 wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto
Wengine kadhaa walijeruiwa wakati wa ajali hiyo ya moto ambayo ilitokea Jumatatu asubuhi wakati watoto wakiwa darasani wakisoma katika shule iliyopo eneo la Maradi.
Chanzo cha moto huo bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.