Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi, amewataka wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba inayoanza kesho Oktoba 5, kulinda haki ya watahiniwa wenye mahitaji maalum kwa kuwapatia mitihani yenye maandishi ya nukta nundu kwa wenye uono hafifu.
Na kwamba watahiniwa...
Hii imetokea kwangu na kwa wengine wajuzi wa mambo kwanini mitihani hii tangu enzi na enzi hufanyika siku ya J5?
Mwisho miwatakie kila la kheri wanafunzi wanaofanya mitihani yao. Ameen
Wanabodi,
Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali.
Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
Milima haikutani ila binaadamu hukutana. Leo katika mishe zangu za hapa na pale nikabahatika kukutana na kiranja wangu wa darasa ametoka kufanya interview katika moja ya ofisi humu town.
Katika salamu za hapa na pale ikabidi nimkumbushe namna alivyokuwa kiherehere shule, kila siku kuniandika...
Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na umri mdogo. Kwa hiyo wengi wao wanakuwa hawajatambua ni njia gani watumie katika kusoma ili kufanya...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka H. Shaka (MNEC) ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kwa usimamizi mzuri wa Fedha za Miradi ya Maendeleo na kuiita ni "Shamba Darasa la Miradi ya Maendeleo".
Ndg. Shaka (MNEC) ameyasema hayo akiwa kwenye Kituo cha Afya...
Wandugu tufahamishane na kushauri hapa kwa manufaa ya watoto wetu. Nimepita ktk shule za msingi mkoani Ruvuma ktk kata moja ya Mshangano. Kwenye shule ya s/m Mshangano kati inawanafunzi 842 na ina madarasa 7, wastani kila darasa wanafunzi 120.
Ina matundu ya vyoo 10, wastani kila tundu watoto...
Tuseme Mtoto wako anapenda hesabu Ile balaa na anataka msaada wa baba/ mama.
Je, wewe kama mzazi unaweza kumpigia namba mpaka darasa la ngapi bila kudesa?
DARASA LA MAISHA
Nikiwa kijana mdogo, kila wakati niliambiwa niote ndoto kubwa. Hata hivyo, haikuwa hadi nilipoanza kwenda chuo ndipo nilipogundua kuwa ulimwengu halisi ni mgumu zaidi kuliko kile nilichokuwa nimekifikiria. Somo la kwanza nililojifunza ni kwamba si kila mtu atakupenda. Watu...
Mada hapo juu yahusika.
Ni binti mwenye miaka 12 tu lakini hii kasi ya ukuaji wake inanistua mno.
Nilizungumza na mama yake ili amchunguze kama ameshaanza haya mambo, mama yake amemchunguza vya kutosha tu na amejiridhisha pasipo na shaka kuwa hata hajaanza.
Sikumuamini mama yake, nikamtuma kwa...
Sakata la Ngorongoro/Loliondo ni darasa maalum kwa tasnia mtambuka. Waweza kuchagua mkondo gani wa darasa uingie kujifunza.
1. Habari/Media.
Tulizoea tasnia hii ikirukia kuandika habari hata ikiwa na robo ya ukweli. Kwa kawaida, hawa jamaa kwa kukimbizana na ushindani, huwa wanapakua chakula...
Wakuu kwema!
Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka.
Juzi...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa anayejua lilipo darasa la lugha ya Kichina Arusha na mawasiliano ya simu ikiwezekana. Nataka nimpeleke mdogo wangu kwa miezi michache wakati anasubiri matokeo ya kidato cha sita.
Natanguliza shukrani.
MSHUME KIYATE KATIKA KURASA DARASA TBC1
Katika mahojiano yangu na mtangazaji Maureen Minanago wa TBC1 mtayarishaji wa kipindi Kurasa Darasa tukizungumza kuhusu utunzaji wa kumbukumbu nilimwonyesha picha ya Mzee Mshume Kiyate na Julius Nyerere iliyopigwa mwaka wa 1964 baada ya maasi ya...
Leo niliitwa shuleni kwenda kwenye kikao cha mjukuu wangu yupo darasa la Saba anatarajia kufanya mtihani mwaka huu. Nikachukua baskeli yangu na kwenda kwenye kikao shuleni. Nimefika nimechelewa sana ila kuna kitu nikawa najiuliza baada kufika pale nje, mbona hakuna hata gari moja ya mzazi na...
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe.
Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi, sio kufokafoka mabarabarani, mifumo inaziba upigaji, na ni endelevu, mifumo inafoka yenyewe
akili
asilimia
awamu
bado
cag
darasa
enzi
hii
hoja
humphrey polepole
jiwe
jpm
kitu
kubwa
kuhojiwa
kuhusu
madarakani
magufuli
mahakamani
mmoja
muda
mwaka
ndogo
ripoti
sababu
uchumi
ufisadi
uhalali
uhujumu
uhujumu uchumi
uongozi
upigaji
utawala
wakuu
Mkulima Mjasiriamali wa Kilimo cha Parachichi Katika Kijiji Cha Igoda Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa Aidan Kiwale amewataka vijana kutoka mazingira magumu ambao wapo kwenye mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) kuchangamkia fursa ya Kilimo cha Parachichi kwa kuwa kinalipa.
Mkulima mdogo wa...
Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo bado lipo na halijafikia tamati.
Makonda analalamika kuwa amedhulumiwa eneo na mjengo wake eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.