darasa

  1. Display Name

    Mwanafunzi wa Darasa la Saba aliyefanya mtihani akiwa Mahabusu afaulu kwa kupata Daraja B

    Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B. Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
  2. K

    Mwanafunzi aliyefeli darasa la Saba anaweza kurudia darasa katika shule ya Serikali nyingine?

    Wakuu habari ya November Nina dogo yuko Dodoma ndani ndani Kijiji kimoja kinaitwa Ibedya amemaliza darasa la Saba amepata wasatani wa 'D'/amefeli naomba nifahamu inawzekana akaja Dar akarudia darasa kwenye shule ya Serikali? Kama inawzekana process zake ziko vipi? Natanguluza shukrani!
  3. Ferruccio Lamborghini

    Natafuta Mwalimu wa kumfundisha Mwanangu anayetarajia kuingia darasa la tano mwakani

    Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta mwalimu mzuri aliyebobea katika ufundishaji kwaajili ya kumfundisha mwanangu ambaye mwakani anatarajia kuendelea darada la tano maana amemaliza kufanya Necta juzi tu hapa. Kwa sasa dogo yupo tu...
  4. orturoo

    Naomba kueleweshwa kuhusu matokeo ya darasa la saba yaliyozuiliwa (withhold)

    Habari za leo wadau wa jf ,bila shaka weekend imekaa poa. Naomba mwenye uelewa kuhusu kushikiliwa (withhold) kwa matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule ,je ni nini hatma ya wanafunzi na vituo vilivyofungiwa? Naomba mwenye uelewa wa mambo hayo.
  5. tang'ana

    Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021. Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30...
  6. chiembe

    Mambo usiyoyajua kuhusu kesi ya Mbowe: Jaji Luvanda, Siyani, Tiganga, wamesoma darasa moja UDSM, pia wamesoma pamoja na Deputy DPP!

    Je wajua? Jaji Luvanda, aliyekataliwa na Mbowe, Jaji Siyani aliyejitoa, na Jaji Tiganga, anayeendesha shauri sasa, wote walianza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2000, na kumaliza 2004. Na pia walisoma na Naibu Mwendesha Mashtaka wa Nchi ya Tanzania JP Tunajua wajua lakini tutaendelea kukujuza
  7. K

    Gharama ya kujenga darasa kutokana na fedha za COVID-19

    TAMISEMI imetoa maelekezo kuwa gharama ya kujenga darasa moja kwa fedha za msaada wa Covid-19 ni Tshs.20,000,000. Kama majengo haya yatajengwa na Wakandarasi waliosajiliwa naona haya hayakutiliwa maanani:- (1) Mkandarasi aliyesajiliwa anapolipwa lazima akatwe withholding tax ambayo ni 10% ya...
  8. Teleskopu

    Karibu kwenye elimu nje ya darasa

    Kusema kweli kabisa, yapo mengi SANA ya kujifunza baada ya kuwa tumemaliza elimu ya kufanyia mitihani na kupatia vyeti. Hata kama utasoma ukurasa mmoja kwa wiki, Hakuna tatizo. Lakini iko faida kubwa kuliko kutosoma kabisa. Kwa miaka karibia 40 sasa, tumeambiwa: Ukimwi unasababishwa na HIV...
  9. Teleskopu

    Elimu nje ya darasa mbali na walimu

    Ni jambo jema sana kujisomea. Kipengele muhimu sana cha elimu Ni kujisomea baada ya kumaliza shule Nje ya darasa Mbali na walimu Bila kutarajia cheti Bali kwa 'interest' tu Sawasawa na apendavyo mtu. Kuna wanaopenda hadithi Kuna wanaopenda biashara Kuna wanaopenda teknolijia Kuna wanaopenda...
  10. K

    SoC01 Kukosea ni Darasa la Kuvuna Faida

    Ukweli ni kwamba, mwanadamu ana mipaka ya uwezo katika utendaji wake; yani mwanadamu ana mapungufu katika namna moja ama nyingine, hivyo kushindwa kufanya mambo fulani kwa ukamilifu- hivyo hukosea (au kufanya makosa). Na hili ni dhahiri katika nyanja zote tu zinazohusu maisha ya mwanadamu...
  11. Miss Zomboko

    Darasa la saba waanza Mitihani

    JUMLA ya wanafunzi 1,132,143 wa darasa la saba waliosajiliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), leo na kesho watafanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mitihani hiyo Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles...
  12. T

    RC Homera anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la 7-Mbeya

    "Niwatakie kila la kheri Wanafunzi wote wa darasa la saba mkoani Mbeya katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi." Mhe Juma Zuberi Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
  13. M

    Naishauri Serikali ije na Programu Maalum kwa Wanafunzi wanaomaliza Darasa la Saba Kipindi kirefu wakisubiria Matokeo yao

    Wanafunzi kumaliza Mitihani yao ya Darasa la Saba Mwezi Septemba na Kuwaacha tu wanarandaranda Mitaani hadi Mwezi Disemba majibu yao yakitoka ni Hatari mno Kwao. Nitoe Kongole kwa baadhi ya Shule ambazo zilishaiona hii Hatari na kwamba Wanafunzi wao wakimaliza tu Darasa la Saba kuna Program...
  14. B

    CCM inawatakia kila la heri kwenye mitihani yao wanafunzi wote wa darasa la 7

    CCM inawatakia heri wanafunzi wote wa darasa la 7 wanaoanza mitihani yao leo
  15. Miss Zomboko

    Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

    Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kanami, Kijiji cha Isangijo wilayani Magu Mkoani Mwanza Robert Mfungo anatuhumiwa kumbaka shemeji yake ambae ni mwanafunzi wa darasa la sita mwenye umri wa miaka kumi na mbili. Inaelezwa Mke ambaye ni Dada wa Mtoto huyo pamoja na majirani waligundua Unyama huo na...
  16. M

    Darasa la biashara

    Karibuni kujifunza biashara. Ni muda mrefu sana toka niwe humu na kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha, sikuweza kutumia kabisa social platforms yoyote. My name is Maedson Mahonge (Mtanzania). Na mtaalamu wa biashara ndogo ndogo kwa kutumia social networks ikiwemo jamiifolum, Websites and...
  17. D

    Mwanangu wa darasa la pili hili swali kakosaje? Au mwalimu ndiye hajielewi?

    Shule za msingi zinafungwa Leo, Niko hapa napitia mitihani na ripoti za wanangu! Kuna swali hili; Mwamuzi wa mchezo wa mpira wa miguu anaitwa nani? Mwanangu kajibu MWAMUZI kakosa, eti mwalimu kawaambia jibu sahihi ni REFARII. Je, jibu sahihi ni lipi hapo? Kosa ni la mtoto au mwalimu ndo hajielewi?
  18. MovingForward

    Iringa mlimpiga makofi Queen Sendiga, sasa ndiyo mkuu wenu wa Mkoa

    Maisha ni darasa, Ahsante mama Samia Suluhu Hassan kwa funzo hili kwa Watanzania.
  19. T

    Mwalimu mkuu apewe mamlaka kuruhusu wanafunzi kukariri darasa

    NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao ni wa chini. Katika muda ambao baadhi ya wilaya katika mikoa mbalimbali imekuwa na sera ya...
  20. Protector

    Darasa la Saba na Ubunge

    Habari wanajukwaa, Nimekuwa nikijiuliza Maswali mengi sana juu ya utumishi wa wabunge ambao ni darasa la saba. Muongozo wa ajira Serikalini ni kwamba wanaajiri kuanzia kidato cha nne na kuendelea, kama huna cheti cha form four huna sifa ya kuwa mtumishi wa umma. Ninavyoelewa mimi inawezekana...
Back
Top Bottom