darasa

  1. J

    Mbeya haimo kwenye 10 bora matokeo Darasa la Saba. RC Chalamila (Mwalimu), unafeli wapi?

    Nimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya Darasa la Saba. Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani. Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa. Maendeleo hayana vyama!
  2. PAZIA 3

    NECTA Yatangaza matokeo ya darasa la Saba. Shule 38 zafutiwa matokeo kwa udanganyifu

    MATOKEO YA DARASA LA 7 YATANGAZWA. SHULE 38 ZAFUTIWA MATOKEO KWA UDANGANYIFU Baraza la Mitihani nchini #Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu Elimu ya Msingi ambapo limezifutia matokeo Shule 38 za Msingi kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa Mitihani hiyo ya Taifa Shule hizo...
  3. Infantry Soldier

    Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza "directly" na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya darasa la saba na sio kusubiri mpaka afike kidato cha pili? Yale masomo saba ya...
  4. T

    RC Kunenge ni darasa kwetu vijana, is down to earth

    Ndugu zangu kiukweli mimi siyo Muislam Ila Walah RC Kunenge amenigusa sana yaani kama kuna RC nimetokea kumpenda basi ni huyu RC mpya wa DSM. Ni kama aliandaliwa, ni kama alikuwa amewekwa mahali kwa kazi maalum. Kwanza hii sio nafasi yake ya kwanza kuwa kiongozi Ila huwezi jua wala huwezi amini...
  5. Miss Zomboko

    Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 ajinyonga baada ya kukatazwa na Mama yake asirudi nyumbani usiku

    Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha Ngayaki wilayani Gairo, Rahel Yohana (14), amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kanga huku chanzo kikitajwa ni ugomvi kati yake na mama yake mzazi aliyekuwa akimkataza kurudi nyumbani usiku...
  6. FrankLutazamba

    Namshauri Rais Magufuli wanafunzi kuanzia darasa la tatu mpaka la saba wawe wanalipwa tsh.1000/kila siku tasilimu, wapo kama milioni moja

    Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye nia mbaya. (wajomba bandia) Tatu kuwaepusha na vipigo na kuchomwa moto toka kwa walezi wenye roho...
  7. B

    Ni sahihi kwa OCD kusindikiza mitihani ya darasa la 7?

    Leo nimeshuhudia OCD wa WIlaya ya Hai akisindikiza Mitihani kuelekea Moshi na kingora, Wapo wa chini yake kama OCS, OCCID ha hawa wasaidizi wake wote wana wasaidizi wao wenye nyota 1 hadi 2 pia, sasa inakuwaje. huyu ndio yule aliye mkarpia Mbowe na kumwambia hata shinda hata iweje. Huyu na hiki...
  8. Miss Zomboko

    Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

    WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo kukamilisha masomo ya muhula wa pili wa mwaka huu, yatakayoendelea kwa wiki 11. Kwenye taarifa iliyotuma kwenye vyombo vya habari Jumanne, wizara hiyo ilifafanua kuwa ilifikia...
  9. D

    Serikali upande wa elimu irasimishe vituo vya watoto chekechea kufundisha hadi darasa la 3 ndipo wajiunge na shule za msingi kuendelea darasa la 4

    Serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi; Naomba ifikilie kurasimisha vituo vya watoto chekechea viwe (basic schools). Ambapo Watoto watafundishwa kwa miaka mitatu katika vituo hivyo vya chekechea kwa maana ya baby class mwaka mmoja, middle class mwaka wa pili na top class mwaka...
  10. Infantry Soldier

    Utapeli Kariakoo: Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la saba (7) tu kwa sababu ya umasikini

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuwa na akili nyingi. Kuna watu waliishia darasa la (7) tu kwa sababu ya umasikini wa nyumbani kwao wakashindwa kuendelea na masomo. Kuna watu hawajasoma sana (unakuta mtu...
  11. Mwanamayu

    Mzee atoa darasa la kisheria juu ya kutokuwa na umuhimu kwa under 18 kuhudhuria mikutano ya kampeni ya Uchaguzi Mkuu

    Huyu mzee amejitahidi kutoa somo kwa CCM juu ya kuwatumia wanafunzi kuongeza vichwa kwenye mikutano ya kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa kama wale wenye ma-PhD wanashindwa kuelewa hiyo sheria anayonukuu, kweli watatuletea maendelea wakati zaidi ya miaka 50 tunasuasua?
  12. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

    Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais. Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting. Lissu badala...
  13. Analogia Malenga

    Kigoma: Mtoto wa Darasa la Pili afariki dunia baada ya kulipukiwa na bomu

    Mtoto mwenye mwenye umri wa miaka 9 katika kijiji cha Kasumo Kata ya Kajana wilayani Buhigwe mkoani Kigoma amepoteza maisha baada ya kulipukiwa na bomu Agosti 28, 2020. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kigoma Kamishna msaidizi wa jeshi la Polisi James...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Darasa la Tano C Wazee wa kuengua

    DARASA LA TANO C: WAZEE WA KUENGUA Na, Robert Heriel Leo nitasimulia kwa mtindo wa Filamu. Hii ni filamu ya maandishi. Karibu sana Mpenzi Msomaji. Picha letu linaanzia katika maeneo ya shule ya Msingi CHIMBAUNYE huko katika kijiji cha SIWATUBORA. Huko ndipo simulizi hii inaanzia, nami Taikon...
  15. M

    Kwa Tanzania/Dunia ya leo Katiba kuruhusu Darasa la Saba kuwa Mbunge ni aibu kwa Taifa

    Sina nia ya kuwadharau wale wenye elimu ya Darasa la Saba ila ninaandika haya kwa kuzingatia nafasi ya uwakilishi wa Jimbo na unyeti wa nafasi hii. Dunia/Tanzania ya leo siyo ile ya miaka ya 60s. Tunahitaji mabadiliko makubwa katika nyanja zote ikiwemo katika nafasi za ubunge. Mbunge ni mtu...
  16. B

    CCM kuweni makini na mtumie intelijensia yaliyotokea Jimbo la Sengerema

    Kuna mtia nia mmoja ni Darasa la Saba ,ana tamaa sana ya madaraka na hatosheki. Alikuwa CHADEMA baadaye akawasaliti na kurudi CCM ili agombee tena ubunge. Anautafuta ubunge muda mrefu sana na hata hatujui ajenda yake hasa ni ipi. Amewekeza pesa nyingi sababu yeye ni tajiri kwa kutoa vizawadi...
  17. Naanto Mushi

    Darasa la uongozi: Sababu ya Wagombea wengi kushindwa ni matokeo ya kukosa mipango na mikakati ya ‘kuwekeza kwenye uongozi’

    Watu wanapenda matokeo ya haraka, ila ni wavivu kuyatafuta. Wahenga walivyosema ‘Mtaka cha uvunguni, sharti ainame’, walikuwa na maana ya kwamba, unavyokuwa na ndoto za kupata kitu chochote kwenye maisha, ni lazima uweke mipango na mikakati ya kufanikisha azma yako. Mtu unataka kuwa kiongozi...
  18. Meneja Wa Makampuni

    Niliingizwa kwenye Kampeni za kisiasa tangu nilipokuwa darasa la Tano

    Habari za leo ndugu wana jamii forum, Kiukweli nilianza harakati za siasa nikiwa kijana mdogo sana. Nakumbuka Mwaka 2005 nikiwa na umri wa miaka 13, kipindi hicho nipo darasa la tano ndipo nilipoingizwa rasmi katika harakati za kisiasa. Mambo yalikuwa hivi, kaka yangu ambaye sito mtaja jina...
  19. SN.BARRY

    Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
Back
Top Bottom