darasa

  1. mama D

    Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha akitoa darasa kwa mabinti na wanawake. Wanaume mnasemaje kuhusu hili!?

    Mimi nimekutana na malalamiko mengi na magomvi mengi ya mahusiano yanayotokana na hili. Hapa ndio pale mwenyezi Mungu aliwaambia wanaume waishi wanawake kwa akili. Usipotumia akili unaweza kuachwa sababu ya kukosa kazi na unaweza kuachwa sababu una kazi😁😁😁 Sisi ndio wanawake 😅😅 Cc...
  2. K

    Ushauri: Tufundishe Kiswahili na English kuanzia darasa la kwanza kwa manufaa ya taifa

    Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu wana aminisha kwamba hakuna umuhimu wa kujua kufundisha English kwa elimu ya msingi wakati watoto...
  3. Cvez

    Kufuatilia Story za JF ni zaidi ya darasa la Uvumilivu

    Long story short wanaanza vizuri tu episodes 5 za mwanzo mpaka mwenyewe utapenda. Akishapata kijiji sasa ndio dharula zinaanza, mara mbuzi wangu wameingia kwenye shamba la watu, mara mtoto anaharisha, au baiskeli yangu imeibiwa spokes kila mtu atakuja na dharula yake. Hii tabia ni kama kirusi...
  4. A

    DOKEZO Mwanafunzi wa darasa la 6 adaiwa kubakwa na watu watatu; abeba mimba. Polisi wadaiwa kuhaha kuficha ukweli

    Nianze kwa kukupa ‘intro’ ya stori kabla sijakushushia mkeka kamili, ipo hivi hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa kike wa Shule ya Msingi Barracks, Dar es Salaam, amefanyiwa ukatili kwa kubakwa na watu watatu katika nyakati tatu tofauti. Hapa ninavyoandika mistari hii huyo binti haendi shule tena...
  5. M

    Mfumo wa utiaji na usahihishaji Mtihani wa darasa la Saba ubadilishwe

    Mfumo wa utoaji na usahihishaji Mtihani wa darasa la Saba ubadirishwe Ndugu Wanabodi, nimeangalia na kusikia kuhusu kiongozi alietangaza kusitishwa masomo Ili kupisha KKK. Mwalimu ameshaandaa mpango kazi, scheme of work, lesson notes n.k anaambiwa asitishe. Mimi mwalimu wa sekondari nahusikaje...
  6. BARD AI

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris awataja Harmonize, JUX, Darasa, Zuchu, Alikiba, Mbosso, Jay Melody, Marioo na Platform kwenye Playlist yake

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametoa Spotify playlits yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali ambayo ameipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanzania na Zambia”, kama sehemu ya kukuza muziki na kuwapa hamasa zaidi Wasanii wa Afrika wakati huu ambapo anafanya ziara...
  7. Mohammed wa 5

    Watanzania wengi hatupendi kujifunza. Mitandao, na hasa YouTube ni darasa Tosha

    Nambie YouTube ilikusaidia Nini na ukalitatua tatizo lako kupitia YouTube? Chuo walikuwa wananiita Mr IT sababu nilikuwa vizuri Sana kwenye kuchezea cm,pc nk maujanja yote niliyapata YouTube na nishapata Sana hela kwa ajiri ya kusolve matatizo ya cm,pc nk. Watanzania baadhi ya wengi tuko nyuma...
  8. The Supreme Conqueror

    Darasa huru

    Wakuu nimeamua kufungua huu uzi kwa lengo la kujifunza Mambo mbalimbali fikirishi na makubwa kwa lengo la kuongeza na kupanua uelewa wetu juu ya masuala mbalimbali ya Kisiasa,kiuchumi,kijamii,kiusalama,kiutamaduni yanayobeba dhima Nzima ya Utaifa ili kujenga Taifa Bora na Imara kwa kizazi Cha...
  9. sky soldier

    Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  10. Aliko Musa

    Njia 10 za kuongeza thamani ya ardhi yako

    Utangulizi. Thamani ya ardhi yako inapoongezeka huathiri bei ya ardhi husika. Mara nyingi thamani 6a ya ardhi na bei yake huenda pamoja lakini sio lazima. Thamani inaweza kupanda na bei isiongezeke. Vilevile bei inaweza kuongezeka bila hata thamani ya ardhi kuongezeka. Thamani ya ardhi hupanda...
  11. D

    Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  12. Hemedy Jr Junior

    Wananchi wa darasa la saba ndo wanaonekana wako na akili kuzidi hawa wenye degree, nini tatizo?

    Naomba kufahamu au ndio kauli ya Kishimba (Wasomi wengi wanajua kusoma na kuandika ila hawako na Maarifa) Mwananchi wa darasa la saba yupo kijijini analima mpunga, mahindi na kufuga ng"ombe na maisha yanaenda. Huyu mwenye degree yupo anaishi Masaki kila siku anapiga simu home bado natafuta...
  13. Carlos The Jackal

    Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

    Et Baba wa nyumba... Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home. Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu...
  14. Donnie Charlie

    Binti darasa la nne adaiwa kujinyonga

    JESHI la Polisi linachunguza kifo cha mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi Kambarage wilayani Kibaha mkoani Pwani, Tatu John ambaye alikutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya chandarua kwenye chumba cha kulala nyumbani kwao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alithibitisha...
  15. McCollum

    Wazazi/ Walezi pambaneni na wahitimu wa darasa la saba, kwa bahati mbaya wengi wanauelewa usioridhisha

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako kidato cha kwanza. Sitawazungumzia hao waliopita kwakuwa sina uzoefu nao, ila nataka kuwazungumzia hawa...
  16. mdukuzi

    Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

    Huu ni muujiza naweza kusema hivyo Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26 Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
  17. JanguKamaJangu

    Mara: Mkuu wa Mkoa ashangaa Wanafunzi wa Darasa la 7 kutowafahamu Waziri Mkuu na Rais wa Zanzibar

    Kiongozi huyo wa Mkoa, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee ameyaeleza hayo wakati akizungumza na Walimu wa shule tofauti Mkoani hapo. Amesema amewauliza wanafunzi wengi na wameonekana hawana ufahamu juu ya Sikukuu ya Mapinduzi, kutomfahamu Waziri Mkuu wa Tanzania wala Rais wa Zanzibar. Amesema...
  18. BARD AI

    NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 4, 2023 limetangaza matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne mwaka 2022. Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Darasa la 4 >>> https://matokeo.necta.go.tz/sfna2022/sfna.htm Bonyeza Link hapa kuangalia Matokeo ya Kidato cha Pili >>>...
  19. BARD AI

    Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  20. Etugrul Bey

    Hivi humu ni Home of great thinkers au...?

    Tahadhar: Huu Uzi Una Sauti kubwa mno kama upo very sensitive pita Kulia! Naona baadhi yetu huenda tumejikuta humu Kwa bahati mbaya Sana,hatuendani na hii platform ambayo imejipambanua kama sehemu yenye watu wenye akili kubwa au maono makubwa Kwa taafsiri isiyo rasmi. Ukimuona mtu anachangia...
Back
Top Bottom