Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo.
Kujaza huku kwa uwanja...
Karibu kwenye kilele cha Wiki ya Simba.
Karibu kwenye Simba Day, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hii ni siku muhimu kwa Klabu ya Simba na wapenda michezo wote nchini Tanzania.
Tunakushukuru na tanakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kifani. Kwa kipekee kabisa, tunakushukuru sana...
GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC na Michuano Miwili ya Kimataifa.....
1. Waitwe Wazee Wetu wa Kikwajuni Zanzibar na Wazee...
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.
Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi...
Yaani Timu iliyobeba Ubingwa na kufika Fainali ya CAFCC katika Siku yao ya Wananchi pamoja na baadae Kuruhusu Fungulia Ng'ang'a ( Mbwa ) Uwanja wa Mkapa haukujaa na hata kule Shamba la Bibi ( Uhuru Stadium ) haukujaa.
Halafu leo anatokea Pimbi Mmoja ( tena ametumika sana Kutuumiza Simba SC )...
Nimechukizwa sana. Yaani mtaani hakuna amsha amsha hakuna lolote kwenye mitandano ni Simba na Kibegi. Huu ni ujinga sana.
Sisi Yanga tumejikuta tunacheza ngoma ya Simba. Mwananchi Day haijulikani itakuwa lini. Kote wanajadili jersey za Simba tu. Huu ni ukanjanja wa waandishi wa habari...
Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions.
Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa wamelala, hii ilimaanisha ya kuwa Yuan ilipata strength dhidi ya Euro, ambayo sarafu yake inatokana...
Wakuu,
Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na...
Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023
Tanga mnatumika
Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
=========
Today, we are commemorating the World Telecommunication and Information Society Day (WTISD) on 17th May 2023. This occasion provides us with a valuable opportunity to contemplate the pivotal role of information and communication technologies (ICTs) in driving social and economic...
Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi.
Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike.
ITAENDELEA!!
Mwenendo wa Simba sio mzuri kwa hii miaka miwili sasa kutokana na Viongozi kutosimama imara. Pia Viongozi wa Simba kuruhusu Jeneza kuingia Uwanjani Siku ya Simba Day ilikuwa sio nzuri kwa mustakabali wa kiimani za watu.
Simba kutoka hapa tulipo wafanya yafuatayo Msimu Ujao
Kuondoa wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.