An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).
Faith Athanas
Elimu inasababu ya kutoa ujinga na kuingiza uelewa na maarifa kwa binadamu. Lakini je elimu hiii je inatoa ujinga kama inavyotakiwa katika taifa letu?
Binti huyu wa miaka 24 alipenda sana kusoma alisoma na akasoma inavyotakiwa ,lakini kumbe alisoma kitu ambacho alilazimishwa na...
Natumai muwazima wa afya wana JF.
Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii...
Habari!
Waswahili wanasema kama huwezi kuwapiga basi ungana nao ili nawe uanze kuwapiga maadui ambao awali mlikuwa marafiki.
Uza hata mashamba, achana na kufanya vitu visivyoleta tija.
Ukiingia serikalini umeula, yaani ni mwendo wa kula asali tu.
Box la peni serikalini linauzwa mpaka elfu 50...
UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL
Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu..
Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise...
Naombeni msaada wenu wakuu.
Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa.
Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
copy paste ila mawazo ya mdau nimeyakubali na nimeona niweke awareness yake humu
Hivi karibuni baadhi ya vyuo vimeanza kukaza viwango vya ufaulu ili kuwachuja zaidi wanafunzi wanaotoka form 6 kuingia degree, katika moja ya vigezo walivyokaza ni kuhitaji aufaulu katika masomo ya hesabu ya form 6...
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya.
Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya...
Habari za muda huu wanajamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu.
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL.
Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii.
Ahsanteni.
Sio kwamba nimesimuliwa hapana.
Huyu jamaa yangu alihitimu bcom in accounting kutoka pale udbs miaka kadhaa iliyopita.
Basi majuzi kati tuko nae ghetto tunapiga mvinyo tukaona tangazo kutoka kwenye kampuni kubwa mafuta lenye makao makuu yake huko Uingereza wakihitaji mhasibu kigezo ni uwe na...
Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana.
Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali.
Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni...
Wakuu kwema!
Huyu Rafiki wa zamani tulipotezana miaka mingi kidogo, enzi za chuo chuo miaka ile mwamba akisomea moja ya fani ya Engineering pale DIT. Miaka hiyo tukiongelea future jamaa alikuwa akijiweka katika nafasi kama tisa hivi za juu za nchi vile akiamini uinjinia utakapo mweka.
Juzi...
Naomba kupata outline za course za masomo yanayohusu Field ya geographia Mimi nikijana niliemaliza kidatu Cha sita 2022 combination ya CBG Nina penda Sana geography nanina ndoto za kusoma degree yenye kuhusu field yake chuo kikuu
Habari za siku ya leo,
Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science.
Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni mafanikio yoyote.
Pia kama kuna anayejua baadhi ya website zinazotoa course kama hizi pia naomba...
Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.