Unapokopa unawekeza katika miradi inayozalisha zaidi kuliko ile gharama ya kukopa(cost of borrowing), miradi mikubwa tuliyoiona ni ile iliyoanzishwa na Hayati Rais John Pombe Magufuli, miradi wa SGR, Bwawa la Umeme la Julius Nyerere, mradi wa mabasi ya mwendokasi, mradi wa barabara njia nane...