deni la taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Mwigulu Nchemba: Tsh. Trilioni 5 za Deni la Taifa zimeongezeka kutokana na kushuka kwa Thamani ya Shilingi

    Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka. Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la taifa ni kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola. Amesema suala hilo limetokea...
  2. Nehemia Kilave

    Najaribu kuwaza, kwa kasi hii ukubwa wa Deni la Taifa 2030 litakuwaje? Je, kuna haja ya kuhofu?

    Binafsi sipingi kukopa ila mambo mawili tu ndiyo ya msingi yananifanya niwaze 1. Je pesa tunakopo zinakwenda sehemu sahihi. 2. kwa rasilimali tulizonazo tunasitahili kukopo kwa kiasi hiki? Je, kwa hii kasi tuko kwenye uelekeo sahihi? ======== Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Deni la Taifa kufikia trilioni 91, nchi imekaribia kuuzwa?

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia March 2024, deni la Serikali lilikuwa shilingi bilioni 91,708.3 (Tsh. trilioni 91.7) ikilinganishwa na shilingi bilioni 77,010.4 (Tsh. trilioni 77.) katika kipindi kama hicho mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 19.1...
  4. The Sunk Cost Fallacy 2

    Prof. Mkumbo: Deni la Taifa lafikia Trilioni 91.7

    Akisoma taarifa ya Hali ya Uchumi wa Nchi kwa mwaka 2023/24 na matarajio ya 2024/25 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema, hadi mwezi machine deni la Serikali limefikia takribani Shilingi Trilioni 91.7. Deni hilo linajumuiaha deni la ndani na deni la nje. Amesema ongezeko...
  5. Etwege

    Prof. Lipumba: Rais Samia anaelekea kumpiku Kikwete kwa kusafiri nje ya nchi

    Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya Baraza la Wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia anampiku Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa u Vasco dagama wa kusafiri nje ya nchi kukopa kwa...
  6. Mwande na Mndewa

    10% ya mikopo ya nchi yetu huwa anachukua nani?

    Wakristo wa Ulaya walitusamehe nusu ya deni la taifa mwaka 2000, ila hivi sasa tunaelekea kuvunja rekodi ya kukopa kama vile nchi inaisha kesho. Tukumbuke tuna watoto na wajukuu watakaohitaji kuishi katika nchi hii. Mikopo tunayokopa leo huku Waziri wa Fedha akitabasamu akiwa na afya tele...
  7. M

    Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

    David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa. Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona...
  8. Sijali

    Tanzania na laana ya mikopo

    Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina, Lebanon, Venezuela. Tena kwa kasi hii, hilo laweza kutokea ndani ya miaka mitano ijayo. Kuwa katika...
  9. The Sunk Cost Fallacy 2

    "Africa-Korea Summit" Korea Kusini Yasaini Mikataba 50 na Nchi za Afrika, Yaahidi Kutoa Misaada ya Dola Bilioni 10

    Korea Kusini imesaini mikataba 50 ya biashara,mikopo na sekta za Rasilimali na Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Rais wa Korea amesema anaendesha sera ya ushirikiano wenye faida kwa.pande Mbili huku akisema Nchi yake itaongeza Msaada Kwa Nchi za Afrika Hadi Dola Bilioni 10 ndani ya miaka 5...
  10. Manyanza

    Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

    "If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
  11. The Sunk Cost Fallacy 2

    Korea yaikopesha Tanzania Shilingi Bilioni 400 za kujenga Hospitali ya Rufaa Zanzibar

    Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. --- Serikali ya Tanzania imepokea mkopo wa Dola za Marekani 163.6 milioni (Sh427.8 bilioni) kutoka Benki ya...
  12. BARD AI

    Ghamara za kulipa Deni la Serikali zimepanda kufikia Tsh. Trilioni 13.13 kutoka Tsh. Trilioni 10.48

    Kiwango cha Fedha zinazotumika kulipa Madeni likiwemo Deni la Serikali kimeongezeka kutoka Tsh. Trilioni 10.48 za mwaka 2023/24 hadi kufikia Tsh. Trilioni 13.13 mwaka 2024/25 Kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Fedha, Serikali imetenga kiasi hicho cha Fedha kwa mwaka huu ikiwa ni...
  13. BARD AI

    Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

    Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 31, 2024 nchini Korea Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu Tanzania, mkopo huo utakuwa wa miaka 5...
  14. R

    Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa? Baada ya Mwigulu...
  15. kavulata

    Kumbukumbu ya Sokoine na ongezeko la deni la Taifa

    Hayati Sokoine alikuwa Waziri Mkuu wetu kwenye awamu ya Kwanza ya uongozi wa taifa letu. Alikufa miaka 40 iliyopita lakini mwaka 2024 serikali inashiriki kikamilifu kwenye kumbukumbu yake kutimiza miaka 40 toka kuondoka duniani. Maswali kichwani mwangu ni mengi, hasa yanayotokana na umaskini...
  16. P

    Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
  17. M

    Deni la taifa Afrika Kusini limefika dola za kimarekani billion 300

    Mzuka Wanajamvi. Deni la taifa linaloongoza kwa uchumi duniani imefika dola za kimarekani billion 300. Inasikitisha sana Taifa hili kubwa Afrika kiuchumi kufikia hii hatua ambapo ajira zimeshuka, utawala mbovu, ufisadi, uchumi kudorora, uhalifu habari wa umeme etc. Je wataweza kulipunguza...
  18. ChoiceVariable

    WB: Nchi 5 zinazokopa zaidi Mikopo ya riba nafuu kupitia dirisha la IDA. Tanzania ya 3

    Kiufupi WB Imetoa taarifa ya Nchi 5 Zinazokopa Zaidi Mikopo ya Riba nafuu Kupitia Dirisha La kusaidia Nchi maskini IDA ambalo ni mahsusi Kwa Nchi 75 Duniani kote.Kwa.mujibu wa Data za mwaka 2022/2023 Tanzania ni mkopaji namba 3. Nchi zingine Kwa mujibu wa takwimu za WB ni ; 1. Pakistan 2...
  19. N

    Ripoti mpya ya Benki ya Dunia yaonesha Tanzania inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa kulipa madeni

    Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imetoa taswira inayohusu nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zinazokabiliana na kuongezeka kwa mzigo wa kulipa madeni. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania na nchi zingine walitumia kiasi cha dola bilioni 443.5 kulipia deni la nje mwaka...
  20. N

    African Development Bank yaidhinisha mkopo wa zaidi ya trilioni 1.4 kujenga reli itakayounganisha Burundi na Tanzania

    Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya Tanzania-Burundi- DR Congo Standard Gauge (SGR). Awamu hii itashuhudia ujenzi wa kilomita 651 za reli ya njia...
Back
Top Bottom