Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22
Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi.
Hali hiyo ina athari hasi katika uchumi wa nchi kwa sababu hivi sasa inahitajika shilingi nyingi zaidi ili kupata Dola...
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.
Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
Muhimbili Mpya Inaenda Kuzaliwa,Zaidi ya Bilioni 600 Kutumika,hii ni Bonge la Mradi yaani Sawa na Kujenga Majengo Nusu ya Majengo Yote ya Wizara Pale Dodoma.
---
Uongozi wa Hospitali ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam umesema hospitali hiyo itabomolewa na kujengwa upya.
Mkurugenzi Mtendaji wa...
Wadanganyika mnaitwa huku 🤪🤪
---
Serikali ya Zanzibar na Uingereza zimesaini makubaliano ya mkopo wa bei nafuu wa Euro 400 milioni sawa na Sh1.04 trilioni kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Pemba na zaidi ya kilometa 103 Unguja na Pemba.
Fedha hizo ambazo ni mkopo nafuu...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya mambo aliyoyasema ni kwamba hadi kufikia mwezi Aprili 2023, deni la Serikali lilikuwa shilingi...
Benki ya Dunia imeipatia Tanzania mkopo wa Dola za Marekani milioni 300 za Marekani, sawa na zaidi ya Sh700 bilioni kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuimarisha sekta ya kilimo kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mkopo huo uliotolewa chini ya programu ya matokeo (PforR) ambayo...
Kwa Mujibu wa handle ya Twitter ya Tanzania Business Insight, Tanzania itapokea mkopo wa dharura na haraka wa $153M kwa ajili ya ku support budget yetu.
Katika marejeo ya Shirika hilo la fedha duniani, inaonekana Tanzania inafanya vizur licha ya changamoto kubwa za uchumi duniani .
Sasa...
"Deni la Serikali kufikia June 30,2022 lilikuwa Tsh. Trilioni 71.31 ikilinganishwa na Tsh. Trilioni 64.52 lililoripotiwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kuna ongezeko la Trilioni 6.79 sawa na 10.5%, ambapo kipimo cha deni la Serikali kinachotumia pato la Taifa kinaonesha Deni hili ni himilivu”...
Kuhusu deni la serikali muhimu zaidi ni Elimu kulihusu ili kutoa dhana kwamba serikali huwa inakopa ili kununua V8. Well Kimsingi kabisa deni la serikali hutokana na maeneo makuu 3 ambayo ni.
1. Serikali na idara zake kukopa/kudaiwa.
2. Serikali kudhamini (guarantor) sekta binafsi kukopa.
3...
Bank ya Standard Chartered imeipatia Tanzania Mkopo Nafuu wa Shilingi Bilioni 1.4 Kwa Ajili ya ujenzi wa mradi wa reli ya Sgr kwenye lot 3 na 4..
=======
The Tanzania government has received a grant of 1.4bn/- (approximately $ 596,406) from International Standard Chartered Bank Ltd which will...
Kwakweli sitakuwa tayari kulipa deni kubwa kama hilo wakati halijanisaidia mimi wala taifa langu kwa namna yoyote ile.
Natoa mifano michache;
1) Unapokopa chanjo za mafua za Trillion 2, halafu wanachoma watu 100 tu, faida yake hasa kwangu binafsi na kwa taifa ni lipi kiasi tukamuliwe tozo za...
Kwa heshima zote naomba kila itakapopatikana taarifa ya deni jioya lataifa, tuwe tunapeana taarifa on a step by step basis hadi deni litakapofika Trillion 100.
Pia napendekeza ile siku deni letu linagonga Trillion 100 tuweze kuangalia miradi mbali mbali iliyokamilishwa kwa mikopo iliyosababisha...
MTANGAZAJI Maarufu nchini Maulid Baraka Kitenge amemtaka Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kujitokeza hadharani na kujibu hoja zinazohusu Mikopo kwani sasa Deni limefikia Trilioni 91 na walipaji ni sisi wananchi tunataka majibu
"tunazungumza na wewe Mwigulu kama taifa haya maswali ni...
Kuwa na madeni ya mikopo ni jambo la kawaida sana kwa maendeleo ya mwananchi au taifa lo lote hapa duniani. Msikilize hapa seneta wa USA anavyoelezea ukubwa wa deni la mikopo ya taifa hilo kubwa ulimwenguni.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa.
Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi,
Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu ikiwemo ya reli ya kisasa ya SGR, ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere na barabara za mwendokasi kutoka katikati ya mji wa Dar es Salaam kwenda Mbagala.
Hata hivyo serekali ya Rais Samia imeweza kupata...
Mimi ni layman wa uchumi lakini alichoongea leo Mwigulu Nchemba katika kipindi cha 360 Clouds TV ni Doctorial Rubbish, amesema,
"Hakuna siku Mtanzania atakwenda kugongewa mlango kwamba sasa atoe mbuzi alipe Deni la Taifa. Na hakuna siku Mtanzania ataambiwa alipe Deni la Taifa atoe mchango...
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao.
Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.