Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo
Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo
Group 1: Mikopo yote yenye riba...
Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye.
-Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD.
-Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD
-Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD
_awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado...
Hoja ya Mhe. Nape (MB) Bungeni kuhusu kukaguliwa akaunti ya deni la taifa sina shida na hoja na anazo haki zote kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanuni za Bunge, isipokuwa nachelea kuamini kwamba uzito wa hoja hii unaweza kutambuka wigo wa mhimili wa Bunge na kuleta shida kwenye mhimili wa...
Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri
Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba...
DIASPORA NA DENI LA TAIFA
Hakuna takwimu kamili, lakini inaaminika watanzania tuliopo ughaibuni tunafika milioni mbili.
Aidha wengi tunaoishi ughaibuni, tunajua nchi yetu ina deni la nje na la ndani japo wengi hawajui kiuhakika ni kiasi gani.
Leo ningependa kuja na ushauri ambao kwa wale...
Vitu vingine ni rahisi tu, Mkopo hauwi deni hadi pale utakapoiva na labda kushindwa kulipika.
Mikopo ya Magufuli iliitwa fedha za ndani kwa sababu ilikwenda direct kwenye miradi ambayo upembuzi yakinifu uliofanywa na wakopeshaji ulionyesha italipika ndani ya muda wa mkataba.
Kwahiyo tembeeni...
Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals
Twin towers forming part of the complex that is the headquarters of the Bank of Tanzania in the heart of Dar es Salaam. A July central bank report shows that Tanzania’s debt stock rose by $3.9...
Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi.
----
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB).
Waziri wa Fedha na...
Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri.
Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo...
Mwenyekiti wa NCCR, Mageuzi Mh. Mbatia amehoji inakuwaje leo tunaambiwa deni la taifa limefika tsh 71 trilioni? Kwa miradi gani mbona hatuioni?
Mbatia amedai mbona serikali ilikuwa inatuambia haikopi ila inatumia fedha zetu za ndani?
Mbatia ameitaka serikali iombe radhi wananchi kwa...
Mbunge Viti Maalum, Josephine Genzabuke: Naomba niishukuru serikali ya CCM inayoongozwa na Jemedari, Mheshimiwa Rais, mama yetu Samia Suluhu kwa kufanikisha mkopo wenye Masharti nafuu kutoka benki ya maendeleo ya Afrika tukaweza kuahidiwa pesa dola za Kimarekani 140 sawa na shilingi laki tatu...
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion.
Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points.
Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo.
Ngoja...
Wanabodi,
Moja ya ugonjwa mkubwa na mbaya kuliko magonjwa yote yanayolikabili taifa letu, ni ugonjwa wa kukua kwa deni la taifa, ambalo linakuwa kwa kasi kubwa kuliko uchumi wetu. Ukuaji wa uchumi wetu wa taifa ni wastani wa asilimia 7% kwa mwaka, wakati ukuaji wa deni la taifa ni asilimia 20%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.