deni

Deni (born 26 July 1989) is an Indonesian weightlifter who competes in the 69 kg division. He placed 12th at the 2012 and 2016 Olympics. He won gold medals at the 2011 Universiade and 2013 and 2017 Southeast Asian Games.

View More On Wikipedia.org
  1. Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) mbona tunaongezeana deni kila mwezi, shida nini?

    Sijaelewa shida nini ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu mwezi uliopita(wa kwanza) deni lilikua milioni 3 mwezi wa pili milioni 3, watu wengi wanalalamika madeni kuongezeka wengine wanamaliza lakini mwezi unaofuata wanakuta ongezeko tena. Shida ni nini? Hakuna taarifa yoyote wala ufafanuzi au...
  2. J

    Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  3. Mwili wa bondia wakwama MOI, deni la Sh milioni 6 latajwa, mabondia wajichangachanga

    Hadi kufikia asubuhi ya leo Ijumaa Februari 11, 2022 mwili wa aliyekuwa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Vincent Mbilinyi umeshindwa kutolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya mazishi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa kuna deni la Sh milioni sita za matibabu yake. Mbilinyi...
  4. Erick Omondi agoma kulipa deni baada ya kula uroda na kidosho

    Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya. Akizungumza na chombo kimoja cha habari, msichana huyu almaarufu manzi wa TRM alisema kwamba alikutana na...
  5. Maajabu: HESLB wamenifutia deni lote lililokuwa limesalia mwezi huu Januari

    Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan board hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu. Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni. Awali mwezi uliopita deni...
  6. H

    Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

    Hivi karibuni, kuna taarifa zilizowekwa wazi kwenye baadi ya vyombo vya habari, juu ya mgawanyo wa mikopo ya nje, kati ya Tanzania bara na Zanzibar. Mkopo wa pesa ya Uviko 19, tunaambiwa Zanzibar ilipata 18%. Mkopo wa kutoka Japan, tunaambiwa Zanzibar imepata 30%. Mkataba wa Muungano kati ya...
  7. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba afafanue kwanini tunakopa kulipa deni

    Binafsi naamini huku mtaani hata mtu binafsi ukifikia hatua ya kukopa Ili kulipa deni unakuwa umefikia point of no return. So how on Earth kama nchi tumefikia hapo . Je hii ni hali ya kawaida? Tushawahi kufika hatua hiyo before? Madeni ni hulka ya mtu, mtaani kuna watu hawaogopi madeni ila...
  8. Kuhusu Deni la Nchi yetu Tanzania

    Ndugu Mheshimiwa Rais, Mama Samia, najua unasomoga humu, au kama husomagi najua wapo wanaokusomeaga comments za humu za watapika nyongo. Niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari hapo juu... 1. Anzisha utaratibu mpya wa ku-service deni la taifa bila kusibiri liive ndio tuanze kutafutana...
  9. Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka" Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
  10. Deni la Taifa la Tanzania kamwe halitalipika wala kupungua, tusidanganyike

    Deni la taifa kila rais anayeingia analiongeza kwa urefu na upana anaotaka. Kama MKAPA trl 23, KIKWETE Trl 20 na MAGUFULI Trl 29 ukijumlisha hao tu unapata 72 na sasa tunaambiwa deni ni maeneo ya 70 huko huko sasa nani atakuja kuwa Rais ambae hatakopa ila atalipa au kupunguza deni kama wote...
  11. Deni la Taifa si stahimilivu kama CCM na wadau wake wanavyodai

    Deni la taifa limekuwa wimbo mpya hasa kwa ccm wenyewe na sasa sisi wapinzani wacha tuimbe chorus maana bila chorus nyimbo huwa hainogi. Deni limefikia trilion 82 wakati watanzania kwa makadirio ya haraka ni milion 60. Ukipiga hesabu za haraka utagundua kila mtanzania anadaiwa trilion 1.3 na...
  12. F

    Kati ya Spika Ndugai, Balile na Gavana Luoga nani mkweli kuhusu deni la taifa?

    Kuna mkanganyiko mkubwa nchini katika utoaji taarifa za deni la taifa. Kuna usemi kuwa miluzi mingi huchanganya mwelekeo wa Mbwa. Ndugai ni Spika, Balile ni Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Luoga ni Gavana, sasa nani ana taarifa sahihi za kutufanya tumuamini? Ndugai amesema deni la taifa ni...
  13. B

    CCM inahusika na deni la Trilioni 70+ au lawama zinabaki kwa Marais tu?

    Watu wanaojadili deni la Taifa hasa baada ya JPM kufariki wanamtupia lawama yeye kwamba alikopa Zaid ya Trilioni 29 kwa miaka mitano tu akiwa ndiye Rais aliyekaa madarakani Muda mfupi Tanzania lakini akiongoza Kwa ukopaji kuliko Marais wore waliokaa miaka kumi na Mwalimu zaidi miaka kumi. Wana...
  14. Deni la Taifa in and out, kinachoumiza sio kukopa ni matumizi ya kinachokopwa

    Hii dhana ya deni la taifa huwa inawapa shida sana watu wengi. Shida kubwa inakuja kwenye usahihi wa upimaji wa deni la taifa. Kuna njia mbili za kuangalia deni la taifa. 1. Absolute term - hii ni kama Ndugai alichofanya leo. Kuangalia deni la taifa kama namba mfano ni kusema deni limefika...
  15. K

    Deni la taifa Rais Samia vs Spika Ndugai

    Huu ni mjadala muhimu kwa taifa. Kama ni kweli Serikali ilikopa $1.5B kujenga reli kwa riba ya 8% kwa miaka 6 huu sio mkopo mzuri kabisa. Riba kwanza ni kubwa kwa serikali kwa sasa . Riba za mikopo ya serikali kwa uchumi huu inatakiwa kuwa 5% tena kwa miaka 20 sio sita. Nitarudi...
  16. S

    Ludovic Utoh aunga mkono hoja ya kukagua deni la Taifa

    Kuna mjadala mzuri ulikua unaendelea kwenye chanel ya UTV ambapo CAG mstaafu Bwana Ludovic Uto ameunga mkono hoja za Wabunge wanaotaka ufanyike ukaguzi kuhusu deni la taifa. Pamoja nae alikua ni Professor Ngowi na Dr Bernie. Ludovic Uto ameenda mbali zaidi na kutaka ifanyike ukaguzi...
  17. Nape na ombi la CAG kukagua mikopo; kuna watu wamepanic!

    CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5. CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu. Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic. Kisirisiri wengi wanajua fedha zilivyoliwa, mitambo nyeti imenunuliwa at inflated prices, na hakuna...
  18. K

    Ushauri wa Wizara kuhusu Deni la Taifa

    Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo Group 1: Mikopo yote yenye riba...
  19. M

    Ukweli Kuhusu Deni la Taifa kwa awamu kuanzia ya Tatu.

    Huu ndo ukweli wa mitiririko wa deni la Taifa watu wasiwadanganye. -Awamu ya tatu deni lilikuwa milion 4$ USD. -Awamu ya nne ikatlitoa kutoka milion 4$ mpaka milion 18$ USD -Awamu ya tano imelitoa kutoka milion 18$ USD mpaka 25$ USD _awamu ya Sita imetoa 25$ USD mpaka 28$ USD bado...
  20. F

    Hoja ya Nape Kuhusu Uchunguzi wa Akaunti ya Deni la Taifa

    Hoja ya Mhe. Nape (MB) Bungeni kuhusu kukaguliwa akaunti ya deni la taifa sina shida na hoja na anazo haki zote kwa mujibu wa Katiba, sheria na kanuni za Bunge, isipokuwa nachelea kuamini kwamba uzito wa hoja hii unaweza kutambuka wigo wa mhimili wa Bunge na kuleta shida kwenye mhimili wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…