dereva

  1. One dead, 13 students injured as bandits attack school buses in Elgeyo Marakwet

    The school bus that was attacked by bandits in Marakwet West (left). Some of the injured students admitted at Kapsowar hospital in Elgeyo Marakwet (right) A driver died and 13 students along with two teachers were injured on Thursday night after bandits attacked a convoy of school buses in...
  2. A

    Dereva wa uber / bolt

    Habari naitwa hussein n dereva wa uber /bolt natafut gari ya kazi iwe hesabu au mkataba na uzoef miak 3 sas kam uko nay nichek 0689588127
  3. M

    Dereva wa Uber na Bolt natafuta kazi

    Habari, mimi ni kijana wa kitanzania na mkazi wa daresalaam tabata, nipo mbele yenu natafuta gari kwa ajili ya biashara ya uber na bolt nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Mawasiliano; 0622570507, 0657715052 au email me mdullanicholous@yahoo.com, mdullanick8@gmail.com Asanteni
  4. K

    Jeshi la Polisi, yupo wapi dereva aliyegonga gari lililobeba mwili wa Injinia wa TCRA?

    Wandugu juzi kati palitokea ajali pale Bunju iliyohusisha basi lilikua linatokea tegeta kwenda kanda ya kaskazini ambapo lilipofoka Boko lilitanua na kusababisha ajali ya msafara wa msiba wa aliyekuwa injinia wa TCRA Nd CHACHA ambaye mwili wake ulikuwa unapelekwa uwanja ndege ili kumpeleka...
  5. Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

    Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini. Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
  6. Dereva Gani ana makosa hapa?

  7. KUMJUA DEREVA MAHILI MPE GALI BOVU AU ZEE.

    Mh. Japho temmbelea highy way zetu uone zilivyochafuliwa na chupa za plastic na mabaki mengine yanayotupwa hovyo na mabasi na watumiaji wengine, utajua hujui na ukiwa mzalendo unaweza uka signoff.
  8. Dereva gari limemzidi uwezo, Leseni ichunguzwe

    Dereva gari limemshindwa kila kukicha ni kumtupia lawama dereva aliyepita eti ubovu huu wa gari ulisababishwa na yeye pamoja na wasaidizi wake amesahau naye alikuwa ni kondokta wa dereva mkuu, alishindwaje kumshauri.Chaajabu anaendesha gari ovyo ovyo bila hata ya umakini hasikilizi abiria ndani...
  9. Dereva Wa uber na Bolt natafuta kazi

    Habari za muda naitwa Ernest mimi ni Dereva wa uber na Bolt Kama awali hapo mimi ni dereva wa Uber natafuta Gari ya hesabu au mkataba nina leseni class C3 na vigezo vyote vya kuendesha gari za Uber ikiwa plate number njano au nyeupe haina shida. Also apart from Uber, pia natafuta nafasi ya...
  10. C

    Tahadhari dereva, tochi Mbezi kwa Msuguri

    Kuna tochi hapo kwa Msuguri. Endesha kwa uangalifu
  11. S

    Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

    Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi. Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli. Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC...
  12. Dereva wa Dangote auawa na Polisi Lindi

    Dereva wa gari la Dangote Ibrahim Said ameuawa na polisi baada ya kutaka kumnyang'anya askari bunduki. Kamanda wa polisi mkoa wa Lindi Mtatiro Kitinkwi anasema dereva huyo alifika eneo la kizuizi cha polisi akiwa kwenye mwendo mkali na hakusimama na alilenga walipokuwa wamekaa askari na askari...
  13. Uganda: Bodaboda wamuua dereva aliyemgonga mwenzao

    Aziz Bashir(40) aliyewahi kuwa dereva wa Umoja wa Mataifa(UN) alipata ajali na muendesha bodaboda ambaye hakufahamika ambaye alikwangua gari lake, Mengo, #Kampala Walitokea bodaboda wengine na mwenye ajali akakimbia, Aziz alivyoenda mbele alimgonga bodaboda mwingine ambapo kundi la bodaboda...
  14. Wamiliki wa daladala Mwanza, dereva muaminifu niko hapa

    Niko Mwanza Dereva muaminifu, nina leseni pia naomba kama kuna mmiliki wa daladala (hiace) tufanye kazi ndugu zangu. Uwa nafanya day worker baadhi ya madereva uwa wananiachia gari mara moja moja. Hivyo naomba kama kuna mtu ana hiace (daladala) tufanye kazi ndugu zangu. Au kwa yoyote mwenye...
  15. F

    Dereva wa uber na bolt nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  16. F

    Dereva wa mtandaoni mwenye uzoefu nahitaji gari

    Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712 Gari iwe sienta...
  17. P

    Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari

    Mimi ni dereva wa uber natafuta gari kwa shuguli za kazi ya Uber ni kila kitu vinavyoitajika kama dereva wa Uber namba yangu ni 0684186585, 0766090933
  18. U

    Dunia haina usawa kwanini muongoza meli/ndege aitwe captain halaf wa basi aitwe dereva

    Ili tuwe na tukae katika usawa basi tuheshimiane , kwanini muongoza chombo meli au ndege anatambulika kama captain na anavaa kofia na nguo za kiaskari wakati muongoza basi anaitwa dereva , hiyo sio haki na wao waitwe madereva, au wa basi aitwe kaptain apewe nguo na kofia ya kijeshi Kama wenzake...
  19. Dereva bajaji mbaroni kwa kubeba wanafunzi 17

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu wa shule ya msingi na dereva bajaji kwa tuhuma za kuvunja sheria za usalama barabarani na kusafirisha wanafunzi 17 kwa wakati mmoja kwa kutumia bajaji. Wanafunzi hao ni kutoka shule za awali tofauti tofauti ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…