“Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia”, Mt 3:2 SUV.
Toba maana yake ni “kugeuka”, kugeuka kutoka katika njia mbaya za uovu na kumgeukia Yesu Kristo, na kwa kupitia yeye, unamgeukia Mungu (Yn 14:1, 6; Mdo 8:22, 26:18).
Uamuzi wa kugeuka kutoka katika dhambi na kugeukia wokovu katika...
Halafu mlivyo Wapuuzi yaani Watu mmeshawaumiza halafu mnawaomba tena eti kama kuna aliyeumizwa kama inavyoenezwa ajitokeze ili mkamtibie Hiospitalini kwani Serikali hii ni Sikivu. Hivi kama Serikali ingekuwa Sikivu Wananchi hao Wangenyanyasika hivyo kwa Vipigo, Kujeruhiwa na hata Kuuwawa...
Kwa mujibu wa Biblia Mfalme Suleiman alipenda sana Wanawake
1 Wafalme 1-25 "Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo"
Naomba mtujuze je aliyofanya Suleiman ni dhambi pia according to vitabu vingine ukiachana na Biblia?
Namaanisha Biblia...
Tumehubiriwa sana kuhusu dhambi ya zinaa,ngono uzinzi,na uasherati.Wachungaji wengi hawafundishi kwa kina dhambi hii kwa sababu wao wenyewe inawagusa. Matokeo yake Wakristo hupata ufahamu mdogo na wa juu juu na kujiona wako salama na kumbe wamepotea km watu wa mataifa. Ndio maana kuna msemo "...
Wazee wetu hawa wastaafu katika kumkamata sharubu kambale Mambo hawa kukaa kimya Lakin waliyapata mateso na misukosuko pamoja na kutokaa kimya kwao!
Watanzania uwa wanadhani ni Nchi special saaaana kuzidi zingine hivyo matatizo kadhaaa yayayowakabili wao lawama zinaenda Kwa Viongozi sawa! Ila...
Habari!
Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana.
Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
Dhambi ni dhambi tu.
Kwa wale wenye imani zetu hapa JF,
Ni jambo jema kiimani unapomkosea mtu.
Kukashifiana ni dhambi.
Sasa unapomtukana mtu hapa JF hakuna tofauti na kumtukana mtu huko mtaani.
Kwa kua tunatumia fake ID basi hatufahamu umri halisi wa kila member.
Unaweza tukana mzazi bila...
Miaka 61 baada ya kuwa na Tanganyika huru leo tunashuhudia kampeni kubwa na ya aina yake katika taasisi mbali mbali hapa nchini ya kuwataka wamasai ambao wamekuwa wakiishi katika maeneo hayo kwa zaidi ya miaka 60 kutakiwa kuya hama makazi yao ambayo vizazi na vizazi wamekua wakiita nyumbani...
Mara moja kwa week huwa natumia mkaa kung'arishia meno. Nina meno meupe na napenda yaendelee kuwa meupe maana mademu pia wanayafagilia sana. Ila yananifanya niweze tabasamu muda wote hata ukiniudhi.
Juzi kuna mt alinikuta natumia mkaa kufanya jambo hilo. Akanambia kwa mujibu wa dini yetu ya...
Hii mada niliikuta sehemu imezua mjadala mkali sana baina ya mtoto (mwanafunzi) na mama yake wakati wakifanya manunuzi ya stationery za kwenda shule Januari hii.
Mama anashikilia kwamba hela ni hatari kwa mtoto (hasa wa bweni) kwamba yeye mama enzi zake kama mwanafunzi hakupewa hela ambazo...
Kuwepo kwa vyama imara vya upinzani nchini na wabunge wengi wa upinzani bungeni ndiko kunakowaunganisha wanachama na wabunge wa CCM na kujiona ni kitu kimoja dhidi ya vyama na wabunge wa upinzani. CCM kwa kufanya dhambi ya kuviua vyama vya upinzani na kuwa na bunge la Chama kimoja kunasababisha...
Ukisoma kwenye kitabu cha Injili ya Yohana sura ya pili, Kuna kisa kinasiimuliwa ambacho kilitokea katika Kana ya Galilaya.
Katikati ya harusi divai ikaisha, Mama Maria Mtakatifu akamfuata Yesu, akamwambia kuwa mzigo wa gambe umeisha.
Yesu akamjibu muda wangu bado, basi akawaagiza Vijana...
Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume
Tuanze na
MAUMBILE
Mwanamke
Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
Hivi nani katuroga?
Hawa watoto tunaoenda kuwajaza maelfu na maelfu kwa pesa za msaada huku tukijipiga vifua na kutembelea vidole kana kwamba tumetoa mfukoni mwetu,
Kuna ugumu Gani angalau kuweka nyumba mbili mbili kila shule Ili kurahisisha na kuongeza morali kwa walimu?
Siamini kama akili...
SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!.
Na, Robert Heriel.
Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
Hello bosses,
Nimejikuta nafikiria tu nikiwa nafanya tafakuri yangu ya kufunga mwaka huu. Hivi kwa nn starehe nyingi (kama sio zote) ni dhambi aidha dhidi ya dini, serikali au maadili ya kijamii (social ethics & values).
Nini maana ya maisha bila kujistarehesha. Ukiwa mlevi kosa, mvuta unga...
Habari za wakati huu wakuu..
Hebu leo tujifunze kidogo Juu ya dhambi.
Toka kuumbwa kwa ulimwengu halikuwa kisudi la MUNGU watu wake aliowaumba kwa sura na mfano wake(ambayo ni roho) wateseka iwe kwa maradhi, magonjwa ama Vita.
Asili ya MUNGU ni wema, hivyo Kila atendalo ni jema.
Sasa dhambi...
Na wengine kila Maamuzi ya Awamu ya 5 yalipokuwa yakifanywa mkialikwa Ikulu mkipewa muda wa Kuzungumza na Hadhira mlikuwa mkiyaafiki tena na mpaka Kupongeza leo mpo katika Awamu yenu hii ya 6 mmeyabadili bila hata Aibu ya Unafiki uliowajaa kutoka Bara mpaka Visiwani.
Kwangu Mimi KEROZENE Mchawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.