Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa?
Rais hawezi kumwambia Waziri...
Nachokoza hii mada naomba tuchangie Kwa weledi na ustaarabu. Kulingana na masimulizi ya Biblia kitabu cha Mwanzo, binadamu wa kwanza Adamu na Eva waliumbwa na kuishi wakiwa uchi mpaka walipotenda dhambi ndipo walipoona soni maumbile yao ya uzazi kutokufunikwa.
Najiuliza kama hawangehalifu...
Habari zenu ndugu zangu, naombeni ufafanuzi
Mungu alishakataza pombe agano la kale na hata Yesu katika ile sala ya baba yetu ulie mbinguni kuna sehemu ya kuomba tuepushwe na majaribu ili tuepuke uovu.
Sasa inakuwaje tena kwamba hii pombe inabidi tuwe wanywaji na sio walevi?
Pombe ni dawa ya...
DSTV waheshimiwe sana. Haka kamvua kidogo tu AZAM haioneshi. Yaani imekata matangazo kabisa.
Kwa manyunyu tu. Tuwaheshimu sana. Miaka yote natumia DSTV hawajawahi kuwa waduanzi hata kidogo.
Itifaki izingatiwe - Mimi ni mkristo
Kuna dem nimempangia sehem hivi karibuni sasa kwa bahati mbaya tumekuja kugundua kuwa nilipompangia ni pemben ya kanisa (haya ya kilokole ambayo ibada ni kila siku)
Sasa shida inakuja wakati wa kuzagamuana unakuta ibada inaendelea hapo au nyimbo ndio...
Habari wakuu!! Leo kuna madhehebu na dini zinadanya watu kuhusu kubagua vyakula mfano nguruwe nk kuwa ukila ni dhambi! Naomba niwatoe hofu kuwa sio dhambi wewe kuleni tu chochote kile kiwekacho mbele yako labda uwe hautumii tu lakini sio kwa maana ya kwamba ukitumia ni dhambi!! Uthibitisho kuwa...
Mi naamini kila dhambi lazima uilipie, ulipaji unaweza chelewa ila lazima muda ufike uwajibike.
Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio. Usipende kuvuruga amani ya moyo ya MTU Mwingine kwa kumkomoa tu huku wewe ukiendelea kuenjoy.
Unadanganya kibiashara, kifedha, kifamilia, kijamii na...
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja.
Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa dhambi.
Mbona sasa maovu, maasi na dhambi ndio kwanza zinazidi kuongezeka. Au aliyekuja na kufa sio...
Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya.
Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa.
Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya msingi kuikataza zinaa.
Kama kitendo cha watu kukutana kimwili kingekuwa kibaya. Mbona watu walio...
1. Godfrey Nyange Kaburu alishtakiwa kwa Tuhuma nzito za Ubadhirifu ndani ya Klabu ya Simba.
2. Godfrey Nyange Kaburu nae alishawahi Kuishtaki Klabu ya Simba SC baada ya kutokubaliana na Maamuzi fulani
Tayari 99.9% ya wana Simba SC ( GENTAMYCINE nikiwemo ) kwa mapungufu yake haya walishakosa...
Duniani kuna mzaha na utani mwingi sana, utakuta mtu yaani mlimwengu mzinifu, msherati,mlevi, mla rushwa, mbea, muongo, mwizi, mnafiki, mfitini, mtu wa dhuluma,muuaji.
Hivi hawa watu wanapata wapi nguvu ya kusema oooh Mungu atakulipia, Mungu yupi huyo anaekuongoza kwenye hizo dhambi zako zote...
Mungu yupo na sababu za kuamini zipo. Sababu zimeandikwa mbinguni na duniani kwa herufi kubwa kiasi kwamba kila aaminiye aweza kuzisoma; nimesema, kila aaminiye aweza kuzisoma. Nikwambie mapema, sina ushahidi wa kumthibitishia asiyeamini uwepo wa Mungu hata asiweze kuutafsiri vinginevyo; kama...
Na kama ni dhambi, ni nani alithibitisha hilo na alitumia vigezo vipi vya kisayansi?
Wapo wanao amini ni dhambi, au wengine wanakuwa na hofu ya kuachwa, au wengine wanakuwa na ile hali ya kutokujiamini kwa kujiuliza, atanionaje baada ya kuona utupu wangu n.k.
Kwa upande wangu nina ushuhuda wa...
Nchini China, baadhi ya makosa ya jinai yanayostahiki adhabu ya kifo na marejeleo ni kama ifuatavyo:
1. Usaliti wa Nchi (Kifungu cha 102)
3. Kushirikiana na adui na usaliti (Kifungu cha 108)
4. Upelelezi au ujasusi (Kifungu cha 110)
5. Kuiba, kupeleleza, kununua na kutoa siri za serikali na...
Warumi 6:23 “Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.”
Shalom Mtu wa Mungu karibu tujifunze Maneno ya Mungu wetu, kama wengi wetu tunavyojua hakuna maisha nje ya Yesu Kristo, yeye pekee ndio sababu ya sisi kuendelea kuishi leo...
Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.