dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Azam na Dhambi ya Fei Toto itakayowaandama

    Namna Azam walivyompata Fei Toto kutoka Yanga was unsporting. Ni vigumu Fei Toto kujinasua na upendo aliouchafua. Kafunga goli la penati akaonyesha alama ya kufunga watu midogo, kweeeli! Yanga woooote wafunge mdomo kwakuwa yeye kafunga goli.
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Asema "Kuwatenga Watu Wenye Ulemavu ni Dhambi Kubwa Sana

    Mbunge Martha Mariki Asema "Kuwatenga Watu Wenye Ulemavu ni Dhambi Kubwa Sana WAKAZI wa mkoa wa Katavi wameaswa kutowatenga watu wenye mahitaji maalumu badala yake wawe sehemu ya kuwaelimisha juu ya fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali Kwenye kundi hilo. Wito huo umetolewa na Mbunge wa...
  3. Kichwamoto

    Ni dhambi na nuksi kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kwa mwanaume mwingine na angali huyo mwanaume yu hai

    Habarini nyote, Maarifa na ufahamu ni kitu cha bure, napenda kuwajuza ya kwamba haifai kuoa mwanamke alieachika au kuachwa kama mume alokuwa nae bado yupo. Ni nuksi mbaya na ni dhambi ogopa nuksi. Itoshe kusema hayo chukueni tahadhari. Yangu ni hayo tu.
  4. R-K-O

    Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

    Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ? Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
  5. Dan Zwangendaba

    CHADEMA hamtabaki salama na dhambi hii mnayoitenda-itawarudia kwa kasi ya 5g

    Hakuna ubishi kuwa CHADEMA iliishi maisha ya mateso sana mara baada ya uchaguzi wa Rais 2015. Hakuna rangi ambayo hawakuiona, kuanzia chama chenyewe hadi wanachama na viongozi wake. Tunaopenda na kujali utu, tulisikitishwa sana na mateso waliokuwa wakiyapata CHADEMA. Waswahili wanasema Mungu si...
  6. Emar

    Dhambi hii inaenda kuandikwa Kwa wino wa Chuma

    #1 Kijana Mdogo Mtanzania mwenye kuipenda nchi yangu,........ Kwanza kabisa nimshukuru allah(Mungu) kwa kunipa nafasi ya kuandika uzi huu huku machozi yananitoka? -Vita na Migogoro yote duniani ,chanzo ni mali na haki. *Mfano Dr.Congo chanzo ni Dhahabu, *Libya-mafuta *Israel-ardhi...
  7. Mr Why

    Wataalamu wa Dini tusaidieni kwenye dhambi ya kuzini

    Dini zote duniani zinahubiri kuwa kufanya mapenzi ni dhambi hivyobasi mwanadamu hapaswi kufanya mapenzi na mwanadamu mwezake. Mwanaume kuwa karibu na mwanamke au kujenga urafiki imekua ikiibua maswali mengi kwa watazamaji. Kwahiyo swala la jinsia limekuwa likitafsiriwa vibaya sasa tuelezeni...
  8. S

    Wale wote wanaotumia dildos wanafanya dhambi ya masterbation

    Kutengeneza ama kuamsha hisia za kingono mpk kufikia hatua ya kujiridhisha bila kutumia tupu za jinsia nyingine ndiyo huitwa punyeto (masturbation). Kwahiyo hata wale wanaotumia dildos ama matunda kama matango, ndizi mapapai, n.k kujiridhisha hawa pia wanapiga punyeto. Wanaume watakaonunua...
  9. Boss la DP World

    Ila Kikwete alikuwa na dhambi sana

    Haiwezekani mwanadamu mwenye utu akanunua ambulence ya dizaini hii na kuzigawa vijijini, huu ni uuaji serikali ya awamu ya nne ilifanya. Mara 100 JPM aliyejenga zahanati, vituo vya afya na hospitali kila kona, akaboresha hospitali za kanda zote. Hizi ambulance za pikipiki ukipata dreva...
  10. M

    Kwanini USHIRIKINA ni dhambi kubwa kuliko zote kuwahi kufanyika hapa duniani?

    Habari zenu Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza kwanini amri ya kwanza ya Mungu kwenye Torati imekemea suala la Ushirikina kabla ya kukemea uuaji, uongo, ushoga, uzinzi, wizi n.k? Kwanini iwe ni suala la Ushirikina? Kwanini vilevile kitabu cha Quran kikaja tena kupigilia msumari ww Moto...
  11. tpaul

    Rais Samia ukijiepusha na hizi dhambi utaingia peponi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa. Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
  12. Hold on

    Chokuu atubu dhambi

    😂😂😂😂 nimecheka sana huyu jamaa moto wake mbinguni sijui utakuwaje ase Eti Mungu upo? Ee upo 😂😂😂
  13. J

    Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

    MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako.. hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania...
  14. M

    SoC03 Kuwajibika kwa kiongozi siyo dhambi

    Uwajibikaji ni dhana inayochukuliwa kwa pande mbili katika viongozi mbalimbali wa umma na wale wa siyo wa umma kutokana na mazingira yanayoweza kusababisha viongozi kuingia kwenye hofu ya kuonekana kuwa ni dhambi na ni aibu kufanya hivo. Mosi,wanaona aibu baada ya kufanya makosa katika utendaji...
  15. S

    Simba kujifunza kwa Yanga sio Dhambi

    Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
  16. Nyaputo

    Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

    Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine. Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu? Mithali 6:16-17 inasema 16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
  17. kavulata

    Dhambi ya kikokotoo cha wastaafu ni mbaya kuliko dhambi ya mauti

    Mishahara ya watumishi ni midogo saaana kuliko huduma/jasho wanayoitoa kipindi chote Cha ujana yao. Mishahara ya watumishi haiwatoshi kuishi, kuSomesha, na kujenga nyumba. Kima Cha chini cha mfanyakazi ni shilingi 4000 kwa siku nzima wakati kule Marekani ni dollar 8 (TSH 18,400) kwa saa TU. Hii...
  18. Dr Matola PhD

    Ni makosa na dhambi kubwa chuo cha walemavu kugeuzwa mradi wa watu binafsi

    Nikisema niandike hapa ukurasa hautoshi, Chuo pekee Dar cha walemavu Yombo Kiwalani kinapiga Uturn badala ya kusonga mbele tangu Nyerere alipokijenga na Mzee Mengi akawa anafadhili na akajenga madarasa. Cha kusikitisha kuna mama anaitwa Mariam Chilangai yeye anakaimu ukuu wa Chuo sasa kwa miaka...
  19. Jumanne Mwita

    Pasaka hii tukumbuke kuwa yale tunayowatendea Wadogo na Wasiojiweza ndiyo tunayomtendea yule aliyejitoa kwa ajili ya dhambi zetu

    Kikristo ni kwamba tunapaswa kutendeana kwa upendo na ukarimu kama Kristo alivyotutendea. Kama Wakristo, tunapaswa kufuata mfano wa Kristo ambaye alijitoa kwa ajili ya wengine na kuwa mfano wa upendo, huruma, na unyenyekevu. Kadhalika, tunapaswa kuelewa kuwa kila mmoja wetu ana wajibu wa...
  20. Swahili AI

    Ni kitu gani Biblia haijasema ni dhambi lakini sisi tunaichukulia kama dhambi?

    Kwa uchache wa ujuzi wangu kwenye Biblia sijawahi sikia mahala ikisema kwamba Punyeto ni dhambi. Lakini viongozi wa kidini wanasema ni dhambi. Kipi ni kitu kinaonekana au kusemwa ni dhambi lakini hakipo kwenye Biblia?
Back
Top Bottom