dhambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda...
  2. GENTAMYCINE

    Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  3. P

    Wahudumu na Uongozi wa Fish Market mnaishiriki dhambi mbaya ya ubaguzi pasipo kujua malipo ni hapa hapa

    Video moja inatembea mtandaoni kuanzia leo mchana, kinadada watatu wamejirekodi wakiongelea kwa uchungu namna walivyobaguliwa na kuletewa pozi na wafanya kazi wa mgahawa maarufu wa Fish Market. Kwamba wateja wakija weusi na kinadada wanaletewa maringo ya kuchelewa kuhudumiwa, ya kuchelewa...
  4. Afrocentric view

    Mungu anaweza kutenda dhambi?

    Wakulungwa vipi? Kuna swali huwa linanitatisha. Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu. Na mungu ana free will. Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
  5. kimsboy

    Waziri Makamba unachokifanya kwenye Bwawa la Nyerere, hii dhambi itakutafuna milele

    Hivi mnafanya hivi kumkomoa mwendazake au kunufaisha mabeberu? Mimi sikuwahi kumpenda mwendazake hadi leo na sitokuja kumpenda ila kwenye suala la madini, SGR na Bwawa la Nyerere nilimuunga mkono maana huo ni utaifa na ni suala la utaifa. Ila kwakweli kwenye Bwawa la Nyerere mnayoyafanya...
  6. Robert S Gulenga

    John Mnyika wakabidhi chama chao, si dhambi kurudi CCM. Ukishindwa kabisa nenda kaungane na Zitto Kabwe kuendeleza Siasa za Upinzani

    Ndugu yangu John Mnyika, umekitumikia CHADEMA toka ukiwa Mwanachama wa kawaida, Mbunge hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama. Hakuna anayeweza kupinga kuwa muda wako mwingi umetumia kutetea Chama chako kwa nguvu zako zote na kwa uadilifu mkubwa kwenye chama chako. John Mnyika, kwa namna ulivyo...
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    Hata uwe deep zaidi kwenye dini hizi dhambi za asili huwezi kuziacha

    Dini/madhehebu yapo kwa ajili ya kutufanya tuishi kwa amani na kutokutenda madhambi. Lakini kuna vitu hata uwe deep kwenye dini huwezi kuviacha kwa wepesi yaani ni ngumu sana. UZINZI Aisee kuchomoka hapa sio rahisi unaweza ukatoka masjid au umetoka kwenye mfungo wa siku nzima lakini ukafanya...
  8. M

    Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  9. AbuuMaryam

    Watu kuachana siyo dhambi, talaka siyo dhambi

    Ndugu zangu habari, kichwa cha habari hapo juu chahusika. Huwa kwenye harakati zangu za ulinganiaji wa dini ya kiislamu nikiwa mimi ni mwalimu, mwanafunzi na mlinganiaji wa dini kwa Quraan na Sunna katika njia ya waja wema waliotangulia, ninakutana na kesi nyingi za ndoa ambazo mimi ninapewa...
  10. Chizi Maarifa

    Huyu Mchezaji Hafai, na Ataenda Motoni kwa Dhambi hii. Subirini tu muone

    Clatous Chotas Chama. Jamani huyu mchezaji ni muongo, ni muongo sijapata kuona. Muongo sana. Na uongo ni dhambi ambayo katika amri kumi ipo. Usiseme Uongo. . Chama anaweza kukudanganya kuwa anaenda mbele kumbe haendi. Anarudi nyuma. Anaweza kukudanganya kuwa anapiga kumbe hapigi. Anaweza...
  11. P

    Maiti bado zinaokotwa ndani ya viroba, tutubu dhambi ya kumsingizia Hayati JPM la sivyo itaendelea kututafuna

    Watanzania tunapenda sana kutengeneza habari za uongo. Ni kipaji fulani kisichofaa kuwa sifa ya mtu lakini ndio ukweli kwamba tunacho na tunapenda kukiendeleza. Uvumi unaweza kusambaa haraka sana mpaka mhusika anapokuja kukanusha tayari habari zinakuwa zimeshambaa kila kona na uongo wa kutungwa...
  12. kavulata

    Waziri Prof. Mkenda dhambi hii ya udahili vyuoni isisubiri tamko la Rais Samia

    Elimu ndio chombo pekee kinachoweza kuwakutanisha mtoto wa tajiri na mtoto wa maskini katika ofisi moja na mgahawa mmoja. Takwimu zinaonyesha kuwa shule binafsi za msingi na sekondari nchini ni ghali kuliko za serikali lakini ndizo zenye mazingira mazuri ya kujifunzia na kutoa ufaulu mkubwa kwa...
  13. S

    Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

    Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake. Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.
  14. Frumence M Kyauke

    Utakwendaje mbinguni wakati unaishi dunia iliyotawaliwa na dhambi?

    Ikiwa mbinguni/peponi wanaingia watakatifu! Tujiulize swali hili kuwa mtu atakwendaje mbinguni wakati anaishi dunia iliyojawa na dhambi? Tunatumia vitu vingi vinavyopatikana kwa njia zisizo sawa kama watu wa imani wanavyodai. Inawezekana mtu akajihisi anatenda mema na ni mchamungu lakini...
  15. TODAYS

    Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

    •••••••••• NB. Mdau unataja maeneo ya huko kwenu kuwa yanafanana na hapo juu, tatizo hautupii na kapicha kwa kumwaminisha Tomaso. • Usiseme Marangu, Lushoto, Bukoba, Kyera au sijui wapi huko, please tuwekee na picha wengine tupo serious tukaishi eneo hilo.
  16. Tomaa Mireni

    Kwa sasa MIMBA ni hatari kuliko DHAMBI

    Ulimwengu wetu uko kasi sana, ukiangalia tulikotoka na tunakoelekea utashuhudia mwenyewe. Kwa sasa kuna matangazo mengi sana ya jinsi ya kutumia uzazi wa mpango na matangazo elimu kwa vijana juu ya njia za kujikinga na kupata mimba. Kwanini elimu hii isitolewe kwa wanandoa? Unamfundisha mtoto...
  17. T

    Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
  18. M

    Kama Tanzania ina amani kwanini viongozi mnatuweka foleni mpite?

    Jana nikiwa nimetoka zangu katika mihangaiko mida ya saa nane hivi kufika pale uwanja wa ndege gari zikawa foleni tumekaa hapo weee nikaona madereva wanazima magari mara konda kakaa mlangoni miguu ikiwa chini ya lami tukawa tunajiuliza kuna nini? Kama nusu saa hivi tukasikia Wioo wiooo wiooo...
  19. Komeo Lachuma

    Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

    Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo. We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie. Hizo za doggie...
  20. Samson Ernest

    Namna ya kumshinda Shetani anapotumia neno la Mungu kukushawishi kutenda dhambi

    “Akamwambia, Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu jitupe chini; kwa maana imeandikwa, Atakuagizia malaika zake; Na mikononi mwao watakuchukua; Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe”, Mt 4:6 SUV Shetani alitumia Neno la Mungu kumjaribu Kristo kutenda dhambi. Pia lilikuwa ni jaribio la kumshawishi Yesu...
Back
Top Bottom