Huwaga nashindwa kuelewa.
Mtu kwa kujitoa kuwahudumia wananchi, wengine wanaenda mbali kusema wanawahudumia wanyonge, halafu anaacha kulipa kodi kwa miamala anayolipwa.
Mbaya zaidi akikosea kisheria hata akiua, asishitakiwe.
Miye napataga kigugumizi kuwatetea hawa watu.
Najua Naweza kushambuliwa na ambao wanahisi matusi kwamba ndio hoja. Badala ya kutumia ukosoaji Kama SoMo lakini.Naomba kuwauliza.
Hivi Mheshimiwa Mbowe, Hana washauri.Na hii ni kupitia kauli yake ya kushauri Serikali kutoa chanjo kwa Lazima badala ya msimamo wa Serikali kwamba chanjo Ni hiari...
Nawasalimuni kwa jina la JMT?
Kama kichwa kinavyoeleza je ni kweli mtoto akizaliwa kuna kipindi wazazi wake wanatakiwa kukutana kimwili(kufanya ngono) ili kumzibua masikio?
Kama hawajakutana je kuna madhara kwa mtoto?
Kama ni kweli ni baada ya siku ngapi baada ya kujifungua?
Kwa singomaza...
Muda ni moja ya dhana muhimu ya kujadiliwa katika mtazamo wa Kiafrika juu ya maendeleo. Dhana ya Kiafrika ya muda inafunua njia kamili za maisha kati ya Waafrika katika kutazama hali halisi. Hii inadhihirisha nguvu nyuma ya mwenendo wa waafrika.
Inaonyesha mawazo na imani kati ya Waafrika...
Katiba ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ambayo mh rais aliapa kuilinda inatoa nafasi ya vyama vyote kufanya mikutano ya hadhara kuzungumza na wanachama wao.
Kauli ya mama ya kwamba mikutano ya hadhara kwa sasa hapana na inaruhusiwa kwa mbunge au diwani afanyie Jimboni kwake...
Note: Andiko hili lilitolewa May 16, Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume Duniani.
Kuanzia mwaka 2018, Dr Jerome wa Trinidad and Tobago alifanikiwa kuitambulisha tarehe 16 May ya kila mwaka kama siku maalum ya kutambua mchango wa mtoto wa kiume katika jamii. Tangu mwaka 2012 UN ilipotambulisha...
Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga.
Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli?
Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania...
Habari za wakati huu wana JF?
Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku.
Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.