Duniani kote kuna hii dhana ya mihimili ya mahakama, bunge na serikali kutokuingiliana (separation of powers) na kugawana madaraka bila kuathili mawasiliano kwa maana ya coordination baina yao kwa uendeshaji mzuri wa nchi. Ni kwa kiasi gani dhana hii inafanya kazi hapa kwetu?
Je, kiuhalisia/in...
Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
Wote tumeona spika alivyoshushiwa spana na wakuu wa dola pamoja na wale wengine kwenye chama. Hebu tujiulize kidogo, mnapomuondoa spika kwa kutimiza wajibu wake mnapeleka ujumbe gani kuhusu bunge kuwa mhimili huru wa kuishauri na kuisimamia serikali, je, bunge litabaki kuwa kikaragosi cha...
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo against na hii dhana. Naichukulia kama dhana ya mtu aisiyejua jinsi gos tracker zinavyofanya kazi...
Mzee Warioba na Butiku wanaweza wakashindwa kutumia heshima waliuyopewa na Mwenyenzi Mungu kuwajaalia afya njema lakini pia na Taifa Kwa hekima na busara zao.
Wazee Hawa wamekuwa wakitumika mara kwa mara pale CCM inapolikoroga,utumika kuwa njia ya maridhiano na kwa miaka yote walioshirikishwa...
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Amani iwe nanyi wadau!
Leo napenda nitoe Elimu kwa watanzania juu ya propaganda za wana CCM kuwa yeyote anayempinga Raisi Magufuli ni kibaraka wa Mabeberu. Wanasema haya wakitaka kujenga picha kwa watanzania ( wadanganyika) kuwa ubeberu ni kama dhambi au jambo fulani ambalo halifai. Najua kwa...
Habari wakuu !!!leo nimetafakari sana dhana nzima ya uzalendo! Hizi ndo Tabia za mtu mzalendo
1: Ni mwaminifu na mwadilifu kwenye kazi yake na majukumu yake
Mithali 14:5
Shahidi mwaminifu hatasema uongo; Bali shahidi wa uongo, pumzi zake ni uongo.
2: Ni kiongozi ambaye hana upendeleo kwa...
KASSIM MAJALIWA: SERIKALI IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA DHANA YA UCHUMI JUMUISHI KWA VITENDO
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kutekeleza dhana ya uchumi jumuishi kwa vitendo kwa kuweka vipaumbele...
Moja ya kosa kubwa ambalo limefanyika kwa muda mrefu toka dhana ya Ujasiriamali ianze kupigiwa chapuo, ni kusahau na kushindwa kuambatanisha dhana hiyo na elimu ya uwajibikaji kwa jamii, sera madhubuti za uwezeshaji kwa wafanyabiashara wa kati na elimu ya maadili ya biashara (business ethics)...
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.
Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.
Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po.
Kwa namna wanavyotepeta basi tuamini kuwa msingi wa uhuru wa mahakama upo kwa kasi ya 4g hapa Tanzania.
JINSI DHANA YA MFUMO DUME INAVYOWATAFUNA WANAUME
Wahenga walipata kusema kikulacho kinguoni mwako na hivi ndivyo ninavyoweza kuamua na kuhawilisha tafakuri yangu katika maisha ya mfumo tunaoutamania kuishi kwa kuzingatia kuwa binadamu wote ni sawa na tunapoutafuta usawa wa kijinsia ni kwamba...
Habari wakuu,
Huu mjadala ni mpana sana na upo tangu miaka mingi sana, nitaeleza nadharia ya uwepo wa mbingu na Mungu jinsi ulivyoibuka, nitatumia mifano ya sasa na ya kale ili niweze kueleweka,
Nitaanza na concept ya mbingu. Fikiria maisha jinsi yalivyo magumu, fikiria changamoto za kimaisha...
Siku chache zilizopita, niliongelea swala la kuwataka CHADEMA kujiepusha na matumizi ya neno "chama kikuu" cha upinzani nchini kwasababu mbalimbali mojawapo ni katika kuimarisha upinzani nchini na kuondoa inferiority complex miongoni mwa vyama vingine vya upinzani.
Katika dhana hiyo hiyo ya...
Kamanda Sirro amekuwa akijinasibu kuhamasisha watu na ulinzi shirikishi. Sirro amekuwa akihimiza kuwa:
"ushirikishwaji watu katika maeneo yao ndiyo njia pekee ya kuumaliza kabisa uhalifu katika maeneo husika."
Kamanda Sirro amekuwa akieleza zaidi kuwa, wahalifu wote wanajulikana katika jamii...
Wasalaam.
Kama taifa tutafakari ugaidi uliotokea Tanzania ukiongozwa na mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Freeman Mbowe ambae yupo jela kwa tuhuma zinazomkabili za ugaidi. Ni vema kujua maana halisi ya ugaidi wakati tunaendelea kutafakari maana inaoyesha hata police wetu hawajui ugaidi ni nini...
CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia.
Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
Na Ibrahim Rojala
Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga!
Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini,Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa...
Ondoka, nenda kwenu, mwanamke gani wewe, beba mizigo yako na watoto wako, sipendi ujinga!
Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini. Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa imevunjika, kidudu mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.