“Kuhusu hoja ya deni la Taifa Nafikiri kama watanzania tuanze kuwaza tofauti juu ya dhana ya mkopo Kwanza tukubaliane mkopo ni maendeleo sio Kwa sababu nyinginezo kama kusema hata nchi tajiri zinakopa bali ni ukweli ili ufanye maendeleo Kwa wakati na ukubwa wake lazima Uwe na fedha nyingi za...
Moja kwa moja kwenye uzi.
Ile dhana ya kuwa wanaume ndiyo wanao endeleza ukoo na mwanamke anakuza ukoo wa kwa mwanamme bado ingali ipo au tulishavuka karne hizo?
Kuna umuhimu wa kuwa na watoto wa kiume walau watatu ili wakuze ukoo wako mwanaume au hata usipokuwa nao watoto wako wa kike nao...
Hii ni dhana potofu na ni tatizo.
Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
Kuna hii dhana ya kumsifia kiongozi fulani eti anaifungua nchi, kitu ambacho hata mwenyewe bila hata yeye mwenyewe anashangaa!!nchi ilifungwaje? nani aliifunga? maana serikali haijabadilika! Ilani ya uchaguzi inayotekelezwa haijabadilika!! Tatizo ni watu kujaribu kujikomba bila aibu...
Kinyaa ni hisia mbaya apatayo mtu anapoona uchafu, mtu asie na kinyaa ni mtu wa hovyo sana.
Kuona kinyaa yaweza enda mbali zaidi,
Mtu anaeweza kufanya mchezo wowote katika tupu ya nyuma kwa lengo la kujifurahisha huyo hana kinyaa,
Kuna vichaa ambao hadi wanaweka ulimuli, huu ni ugonjwa wa...
Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja,
Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya watu kutekeleza majukumu yao husika katika wakati sahihi na hivyo kurahisisha ufikiwaji wa malengo...
UTAWALA BORA
Ni vizuri tukaanza kwa kuangazia maana ya utawala bora, japo sio kwa tafsiri rasmi. Utawala bora ni dhana inayohusisha ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi yanagusa maisha au maslahi yao kwa namna moja au nyingine. Maamuzi hayo yanaweza kuwa yanagusa nyanja za kisiasa, kijamii...
Salaam wanajukwaa
Naomba ufikirie, ujitazame, ujipime na usome hadi mwisho penye mapungufu jazia, penye kosa kosoa, na maoni au mtazamo wako ni muhimu.
Hili neno kuridhika katika sex ni jukumu la kila mshiriki? na ili mtu aridhike ni dhana tegemezi au shirikishi? Mwenye kipimo Cha mridhiko ni...
Hali ilivyo:-
1.Watanzania waishio nje.
Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
Ndugu wasomaji, salaamu.
Elimu ni zana muhimu sana katika kupigana na adui ujinga. Elimu inatupatia maarifa ambayo hasa ndicho kila mtu hukitafuta.
Elimu inapatikana katika mifumo rasmi na ile isiyo rasmi. Mifumo rasmi ni kwa maana ya shule ambako kunakuwa na mihutasari na miongozo mbalimbali...
Yesu na Jobless: Dhana ya Janga la Ukosefu wa Ajira; Kuwahi sio Kufanikiwa
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanafalsafa.
Kuwahi kupata ajira au kazi haimaanishi utawahi kufanikiwa, maisha hayapo hivyo. Na kuchelewa kupata kazi au ajira haimaanishi ndio utachelewa kupata mafanikio au hautafanikiwa...
Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively.
Imekua kama jambo la kawaida kwa...
Nimependelea kuandika mada hii kutokana na baadhi yetu kuteswa na mapenzi kiasi kwamba tunasahau kuna mambo mengi muhimu Sana ya kufanya katika hii dunia. Mume wako au mke wako kutopokea Simu si tatizo,au kutopatikana hewani Kwa kipindi flani si tatizo Bali tatizo ni mtazamo wako juu ya...
Nliwahi waambia watu flani Nape wala Makamba hawajawahi kuwa smart. Ila waliokuwa wanadhani hao watu ni smart wao ndo hawakuwa smart.
Ilishangaza sana kuna watu kabisa wakaanza na kumpigia debe Makamba kuwa Rais....nikaona hii nchi mnadhani sisi sote ni MAZUZU so mnataka tuishi kwa akili zenu...
Tatizo kubwa ni kwamba wakristo wanafata wanachoambiwa na viongozi wa kidini na sio maandiko yanavyosema. Hakuna sehemu imeandika mwanaume aoe mke moja tu.
Kuna huu mstari wa "Nao wawili watakuwa mwili mmoja." i hutafsiriwa vibaya kwa kudhani kwamba mwanaume inabidi awe na mke moja, La hasha...
JINSI WANAWAKE WANAVYOCHUKULIA DHANA YA "KUTONGOZWA"
Anaandika, Robert Heriel.
Asali ya Warembo!
Wanawake wapo complicated ukitumia akili ya kiume kuwatafakari, lakini ukitumia akili ya kike utawatambua vyema Kabisa na wala hawatakusumbua kuwaelewa.
Kama hauna akili ya kuwaelewa wanawake basi...
Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba..
i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge..
Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
Pamoja na mambo mazuri ambayo viongozi wetu wamekuwa wakifanya wawapo katika madaraka yapo mengi mabaya pia wanafanya, ikiwa ni pamoja na vitendo au mipango mibaya ambayo haina tija kwa jamii au inayoumiza wananchi.
Kiongozi anayefuata dhana ya utawala bora hataona kero au kakosewa heshima kwa...
Wanazengo, Asalaam Aleikhumu, katika mabandiko mengi humu ndani hususani katika jukwaa hili kumekuwa na na tabia ambayo kwa mtazamo wangu duni naona haya mambo ya kuitana majina ya kebehi hayana mantiki Kwa masilahi mapana ya Demokrasia ya nchi yetu hususani ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la...
Wazungu wanaipa dunia tabu sana, wanaamini kila wanachoanzisha kinapaswa kufuatwa na kutekelezwa kokote duniani.
Dunia ya sasa imeharibika sababu ya demokrasia. Demokrasia ni nzuri lakini imesababisha matatizo sana.
Hivi kweli serikali yenye kila zana inawezaje kushindwa au kuangushwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.