Kwema Wakuu!
Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika.
Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%.
Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
Utangulizi
Ni ukweli kuwa swala la nishati safi ya kupikia limekuwa linapigiwa chapuo kwa miaka mingi na serikali pamoja na wadau wengine mbalimbali, yaani watu binafsi na asasi za kiraia. Tangu utawala wa awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius K. Nyerere hadi sasa, swala la nishati safi limekuwa...
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe.
Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato?
Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi
👇
---
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama.
Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
Peace be upon you all,
Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha"
Aina hii ya wanaume ni wanaume dhaifu both mentally and physically oooh wait hata spiritually ni dhaifu na magoi goi. Tangu lini...
Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia.
Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia
Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume...
Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi.
Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6 kwa 6, atakula mate yako, jasho lako, kamasi lako na atalamba hata wayo wako. Hataona kinyaa wala...
Rais wa Zanzibar, Hussein Ali Hassan Mwinyi alipoibeba ajenda ya uchumi wa buluu kwenye kampeni zake za mwaka 2020 kule visiwani na baada ya kukaa madarakani, wengi hatukumelewa.
Tukimshangaa kuona kakomalia shughuli moja tu, nayo ni uvuvi na kidogo kilimo cha mwani
Dhana ya Uchumi wa Buluu...
Habari Wana JF.
Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu.
Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo kuhusu Mungu.
Kwa uzoefu na shuhuda nilizonazo, nimeshuhudia jinsi watu wanavyosaidiwa na...
Hapa nazungumzia majina kama Mheshimiwa, Mstahiki, Daktari (Dr.), Mhandisi (Eng.) Wakili Msomi (Adv.), Mwalimu, Mkadiriaji majenzi (Arch.), Muhasibu (CPA), Mkemia; na mengine mengi kadiri yanavyoongezeka!
Tulipotoka huko zama za Ujamaa, Watanzania wote tuliitana "Ndugu", bila kujalisha wadhifa...
Kuna shule ya Msingi inaitwa Gulukakwalala iliyopo Ilala, kabla mtoto hajaingia darasani lazima atoe Tsh. 1,200 ambayo ni Tsh 1,000 ya chakula na Tsh 200 ya uji kila siku, ambapo kama huna hela hiyo mtoto hawezi kuingia darasani.
Sasa hivi wanasema kila mwezi mzazi atoe Tsh 2,000 ya mpishi na...
Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito.
Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine.
Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito?
Zitaje upate undani wake
Kuna huu Uongozi wa Kifalme,
Inasemekana hata Afrika zilikuwepo Tawala lukuki zilizokuwa na nguvu za Himaya za Kifalme na kwingineko Ulimwenguni pia.
Kwa Afrika, Tawala za Kifalme ingawa unaaminika kuwa zilikuwa nzuri zikiishi kwa Utulivu na amani zilikuja kuvurugwa na kutokomezwa na...
Kumekua na hii dhana kwa mda mrefu sana kwamba waafrika ni wavivu ni uongo kwa sababu zifuatazo;
Waafrika wengi wamekatishwa sana tamaa mfano mzuri kuna wazee wengi sana wamestaafu wako katika majuto makuu wamefanya kazi kwa uamunifu mkubwa sana lakini wanastaafu hawana kitu wanajuta wengi...
Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo.
1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
Habari zenu wakuu.
Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile.
Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo...
Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake".
SABABU ZA UTATA
(i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k.
(ii) Kutozingatia alama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.