dharura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa SADC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  2. S

    Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  3. M

    Kinachohitaji maandalizi usisubiri mpaka kiwe dharura

    KINACHOHITAJI MAANDALIZI USISUBIRI MPAKA KIWE DHARURA. Hili linatugharimu wengi kujikuta tunafanya dharura ambayo haikupaswa kuwa kama maandalizi yangefanyika vilivyo kabla. Yapo mambo mengi ambayo tunayafanya kama DHARURA ilihali tulikuwa na muda wa kutosha kujiandaa kwayo na siku zote...
  4. C

    KERO Kuharibika kwa miundombinu ya umeme na ucheleweshwaji wa utatuzi wa dharura Bagamoyo

    Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au je, hawajui umuhimu wa kurekebisha tatizo kama hili haraka? Ushauri wangu: Si busara kusubiri...
  5. Roving Journalist

    Shilingi Bilioni 45.6 kutumika kukamilisha Miradi ya Dharura Mkoani Kagera

    Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia kupitia mpango dharura ( CERC PROJECTS), imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 45.6 kutekeleza miradi mitano (5). Miradi hiyo ni pamoja na Daraja la Kyanyabasa...
  6. Stephano Mgendanyi

    Miradi ya Dharura Ijengwe kwa Kasi na Ubora - Waziri Ulega

    MIRADI YA DHARURA IJENGWE KWA KASI NA UBORA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kuhakikisha miradi ya dharura inajengwa kwa viwango, kasi na kuzingatia thamani ya fedha. Ameyasema hayo leo katika...
  7. Stephano Mgendanyi

    Ulega Atoa Wiki Mbili (Siku 14) Wakandarasi Miradi ya Dharura Wawe Site

    ULEGA ATOA WIKI MBILI WAKANDARASI MIRADI YA DHARURA WAWE SITE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja. Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya...
  8. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Kuwapima Mameneja kwa Uwezo wa Kutatua Changamoto Wakati wa Dharura

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amesema atawapima mameneja wa Wakala wa barabara nchini (TANROADS ), kwa uwezo wa kutatua changamoto wakati wa dharura ili kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika wakati wote. Ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wananchi wa wilaya za Handeni na...
  9. A

    Kukosekana kwa jenerata jengo la dharula Hospitali ya mkoa wa Morogoro ni aibu

    Leo Usiku nilipata Dharura ya Kuuguliwa na Mke wangu majira ya saa 6 usiku ikabidi nimkimbize hospitali ya Nunge kisha hapo Tukapewa Rufaa kuelekea Hospitali Ya Mkoa wa Morogoro Baada ya Kuwepo kwa nusu saa kwenye Jengo la mapokezi na Dharura ambalo ni jipya na zuri umeme ukakatika, basi ndugu...
  10. Roving Journalist

    Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  11. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC

    Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa...
  12. chiembe

    Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  13. L

    Rais Mwinyi Kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na serikali wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi anatarajiwa kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi jasiri muongoza njia na shujaa wa Afrika Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika mkutano wa dharura...
  14. Inside10

    Yanga Yaitisha Kikao Cha Dharura Usiku Huu, Gamondi Kikangaoni

    Saa chache baada ya Yanga kupoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya Tabora United, kimeitishwa kikao kizito cha Kamati ya Utendaji cha pili kwa siku kikimjadili kocha wa timu hiyo Miguel Gamondi. Mapema leo asubuhi Yanga ilikuwa na kikao cha Kamati ya Utendaji lakini kimelazimika kurudiwa tena usiku kwa...
  15. JanguKamaJangu

    Madereva wanaotumia lugha chechefu kwa abiria waonywa, wasio na sanduku la dharura wapigwa faini

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na kuongea nao kabla ya safari kuanza huku likiwapiga faini madereva ambao hawana sanduku la dhalula...
  16. kimsboy

    Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  17. Lycaon pictus

    Hili suala la dola kupaa litafutiwe ufumbuzi wa dharura

    Kwa tunaofanya malipo kwa dola ya Marekani hali imekuwa tete sana. Hata bajeti huwezi kupanga maana hujui kesho itakuwa Tsh ngapi. Tufanye kitu ikae sawa. Wenzetu Kenya waliwezaje kuokoa pesa yao iliyokuwa kwenye free fall?
  18. Stephano Mgendanyi

    Tanzania Yaunga Mkono Mkakati wa Kikanda wa Usalama wa Afya na Dharura (2022-2030)

    TANZANIA YAUNGA MKONO MKAKATI WA KIKANDA WA USALAMA WA AFYA NA DHARURA (2022-2030) Tanzania inaunga mkono mkakati wa kikanda wa usalama wa afya na dharura kwa kipindi cha 2022–2030 kupitia hatua za utekelezaji wa miradi muhimu, kuanzisha mpango wa wafanyakazi wa afya ya jamii ulio jumuishi na...
  19. D

    Serikali chukueni hatua za dharura na haraka dhidi ya Kiboko ya Wachawi kinachoendelea hapa buza mtalaumiwa

    Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti? Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
  20. GoldDhahabu

    Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

    "Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama! Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
Back
Top Bottom