Wakuu habari za mchana?
Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja...
Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo:
1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.
Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.
J3 Ubarikiwe sana.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde la Wami/Ruvu kuainisha maeneo yenye uwezekano wa kupata maji chini ya ardhi na visima vya dharura...
Napendekeza ile menu yake iwe inaboreshwa kutokana na milipuko ili kurahisisha/kutimiza kusudio lake
Mf: kipindi cha janga la korona; kuwe na namba 1> Ukitaka maelezo yoyote kuhusu korona bonyeza moja
na vivyo hivyo kipindi hiki chenye hatari ya Ebola lakini muhimu zaidi IPOKELEWE bila...
Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo.
Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
✍️Mwl. Modest Alphonce
(Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm)
Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
Wataalamu wa Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wamekutana kujadiliana kuona kama kuna ulazima wa kutangaza Monkeypox kuwa hali ya dharura kiafya.
Hicho ni kikao cha pili ambapo inaelezwa kuwa kuna watu zaidi ya 15,400 walioripotiwa kupata maambukizi ya Virusi hivyo katika Nchi 71 tangu...
Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na magenge
Rais Lasso amesema amri ya kutotoka nje itawekwa na maelfu ya Wanajeshi na Maafisa wa...
Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam.
Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema.
Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini.
Hii ni kutoka sufuri hadi 150 .
Best achievment in one year!
CCM HOYEE!
Mimi ni kijana na hadi leo nimetazama nakala ya Cheti changu cha kuzaliwa nitatimiza miaka 31 mapema mwezi March lakini jambo la kushangaza mipango yangu inazunguka nainuka kwa muda kisha narudi tena kuanza moja maisha yangu hayaendi mbele.
Ipo hivi.
Nilihitimu Chuo cha Mafunzo ya ualimu kwa...
Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini.
Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025.
Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo:
1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage.
2...
Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili kuwasaidia, wakasema
1) Wanamazao yao ya biashara wanatakiwa kuyaweka sawa na kuyafikisha sokoni kabla...
Wakuu habari za hapa jamvini?
Nitumbukie kwenye mada yenyewe.
Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...
Kauli hii ni rasmi ya serikali:
Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali:
1. Mahakama si mama yako,
2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka,"
3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama,
4...
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga.
Ukame mbaya umeripotiwa sehemu kadhaa Nchini Somalia, na vifo vya watu panoja na mifugo vimeripotiwa. Takriban Raia Milioni 3.5 tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.