Waziri anayehusika atoe amri ya ukaguzi wa dharura na kutumia vyombo vya usalama na TAKUKURU kwa kuwa kuna viashiria vikubwa ya matumizi mabaya ya fedha na utoaji mikopo mwaka huu licha ya serikali kusema kuwa imetenga bajeti kubwa zaidi kuliko miaka mingine.
1. Idadi ya wanafunzi walioomba...
Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambayo mojawapo wataangalia sheria ya tozo ya kodi ya mazao ambayo anataka iondolewe.
Kamati ya Bunge...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika Jimbo jirani la Ahmara.
Waasi hao wa Kaskazini mwa Ethiopia ambao wamekuwa wakipigana na vikosi vya...
Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
Huduma ya dharura katika hospitali zetu imekuwa sio dharura tena badala yake kumfanya mgonjwa asubiri hali ambayo ni hatari kwa afya na usalama wa mgonjwa anayehitaji huduma hiyo
Binafsi mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya ya uzorotaji wa huduma ya dharura katika hospitali nyingi...
Taifa hilo limeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna kwa Watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 hadi 17. Kwa mujibu wa takwimu za WHO, Ufilipino imerekodi maambukizi 2,020,484
Mamlaka ya Chakula ya Dawa Nchini humo imesema kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Delta...
Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024.
Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mwaka 1963 miaka miwili baada ya nchi yetu kupata uhuru wake mwaka...
Salaam wakuu.
Nchi hii ni yetu sote, matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa rasimali kidogo tulizonazo. Hapa Tanzania suala la Ambulance hata hatuelewi linafanyaje kazi. Mara nyingi ambulance zinasafirisha referred patient (Wagonjwa pendekezwa kwenda hospital nyingine).
Kwa matatizo ya dharura...
Wakuu habari.
Nchi nyingi za wenzetu, mfano Marekani tunaona kwenye movie na tukigoogle kwamba wana emergency call 911 ambayo ikitokea issue unapiga hafu wanatuma mtu kutoa msaada kama ni ambulance, polisi au zima moto.
Mfano, 911 ilianzishwa USA mnamo 1968 na hadi sasa ipo na imefikia ukipiga...
Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa.
Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida.
Kilichotokea kwa mumewe Flora...
Nimejikuta naandika hapa kwa namna nilivyojionea mwenyewe kwenye mahusiano. Unakuta uko kwenye mahusiano na mtu...unamsaidia mambo hata kama si kuyamaliza ila yale ya dharura unayapa kipaumbele, ikumbukwe kila mmoja anashughuli inayomuingizia kipato.
Sasa inafikia mwanamme kazi zako zimesimama...
Salaam kwenu wana JF, hususani jukwaa la biashara, chumi na ujasiriamali.
Mwenzenu nimetingwa na nimekwama kidogo kwenye biashara yangu. Naombeni kujua ni sehemu gani nawezakupata mkopo wa dharura (ndani ya masaa 24 au 48) kwa riba nafuu. Mkopo ninaohitaji ni laki7 na nitarejesha ndani ya...
Katika maisha ya sasa hivi ni kawaida mtu kuweka PASSWORD kwenye simu yake ili kulinda na kudhibiti matumizi asiyopenda watu wafanye bila idhini yake.
Hivyo basi ni vema kuweka taarifa za muhimu sana kama namba za simu za kuwasiliana nazo hata kama simu iko LOCKED. Unaweza kuhifadhi namba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.