dharura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Helkopta ndio "imetonesha" majeraha ya Lissu? Namshauri ashughulikie afya yake, asifanye Urais jambo la dharura kwake

    Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni? Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
  2. Teslarati

    DHARURA: Naitisha kikao cha wanaume usiku huu tujadili bei elekezi ya mahali kwa mchumba

    Leo naingia ofisini nimemkuta kijana wangu mmoja ana manung'uniko sana na nilitegemea awe na furaha sababu alitujulisha anaenda kuchumbia. Kummuliza shida nini akasema story ile ile inayotaka kufanana na nilichokiona humu jf Sikutegemea nilichokikuta ukweni Dogo kaenda kule wamemwambia mahali...
  3. Makirita Amani

    Hatua Tano (05) Za Kupata Pesa ya kutatua Dharura za Maisha

    Rafiki yangu mpendwa, Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana. Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
  4. Deogratias Mutungi

    SoC04 Ujenzi wa vituo vya dharura bararani ili kutoa huduma kwa majeruhi wa ajali itasaidia kupunguza idadi ya vifo hapa nchini

    Eneo la mada Miundombinu ya Usalama barabarani. Mada: UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI. Uwepo wa vituo vya dharura barabarani ni msaada mkubwa wa kuokoa maisha ya binadamu wenzetu pale inapotokea ajali...
  5. BARD AI

    LATRA yaruhusu Mabasi ya Dar - Mtwara yapite Barabara ya Songea, Makambako, Iringa kwa dharura

  6. J

    Spika Tulia naomba kutoa hoja ili tujadili suala la dharura kuhusu mvua zinazoendelea nchini

    Mh Spika, nasimama kwa kanuni inayoruhusu mbunge kuomba bunge lisitishe shghuli zake na kujadili jambo la dharura linaloendelea nchini. Mh Spika, mvua zinazoendelea nchini zimesababisha madhara makubwa kwa wananchi ambapo takwimu za leo zinaonyesha watu 160 wamepoteza maisha huku nyumba kws...
  7. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Wanafunzi Wapewe Elimu ya Matukio ya Dharura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Viongozi na Wasimamizi wa Shule za Serikali na binafsi kutoa elimu kuhusu matukio ya dharura yanayoweza kutokea katika mazingira ya shule ikiwa ni pamoja na elimu juu ya majanga ya moto ambayo yamekuwa yakitokea...
  8. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Anaendelea Kuwezesha Fedha za Dharura Kukarabati Barabara Zilizoharibiwa

    RAIS SAMIA ANAENDELEA KUWEZESHA FEDHA ZA DHARURA KUKARABATI BARABARA ZILIZOHARIBIWA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuipatia Wizara ya Ujenzi fedha za dharura ili kusaidia kufanya...
  9. T

    Mkutano wa dharura waitishwa NEC, Makonda atatenguliwa rasmi Uenezi, Mwenyekiti alivunja Katiba ya chama kumwengua

    ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI TOLEO LA 2022 IBARA YA 102 Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa zitakuwa zifuatazo:- KIFUNGU CHA 12 Kuchagua Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa wa Itikadi na Uenezi KIFUNGU CHA 21 Kumwachisha au kumfukuza Uongozi kiongozi...
  10. JanguKamaJangu

    Makamu wa Rais, Dkt. Mpango kumwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Dharura wa SADC Nchini Zambia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Utatu wa Asasi mbili za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)...
  11. Ojuolegbha

    Dkt. Tax ashiriki Hafla ya Kufunga Mafunzo ya Utayari Dhidi ya Dharura za Kemikali na Mionzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Machi 14, 2024 ameshiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya utayari dhidi ya dharura za kemikali na mionzi, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Sambamba na Ufungaji...
  12. DR Mambo Jambo

    Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

    Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali.. Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.
  13. Suley2019

    Muhimbili yaja na mpango wa dharura kuwahudumia Wanachama wa NHIF

    Kutokana na baadhi ya hospitali binafsi kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia leo Machi mosi, 2024, uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa kuwahudumia. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wawe na mwendelezo wa huduma...
  14. Kingsmann

    Muhimbili yaja na mpango wa dharura wa kuwahudumia wanachama wa NHIF watakaokosa huduma hospitali za binafsi

    Kufuatia baadhi ya Hospitali kusitisha huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuanzia Machi 1, 2024, Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) umekuja na mpango wa dharura wa kutoa huduma kwa wanachama hao ili waweze kuwa na mwendelezo wa huduma hizo. Mkurugenzi...
  15. R

    Marais wa nchi za SADC wakutana kwa dharura kujadili Kipindupindu.

    Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya? Kwamba na umaskini wetu ambao ndio chanzo cha kushindwa kukabiliana na maradhi kama haya tunawasha ndege marais wa SADC...
  16. Influenza

    Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
  17. profesawaaganojipya

    Naomba namba ya dharura ya LATRA/SUMATRA

    wadau naomba msaada namba ya dharura ya latra au sumatar mkoa wa dar es salaam,makondakta wanatukomesha sana..
  18. B

    Mahakama Kuu yasitisha Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS)

    15 December 2023 Mahakama Kuu ya Tanzania imeagiza kusitishwa kwa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika TLS uliopangwa kufanyika kesho jumamosi tarehe 16 December 2023. Amri hiyo imeyolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Dar es Salaam kwenye maombi madogo no...
  19. Miss Zomboko

    Rais wa Ushelsheli atangaza hali ya dharura kufuatia mafuriko na mlipuko

    Rais Wavel Ramkalawan wa Ushelsheli ametangaza hali ya tahadhari Alhamisi, akiwaamuru raia wote isipokuwa wafanyakazi muhimu kubaki nyumbani, baada ya mlipuko katika duka moja la vilipuzi na mafuriko kutokana na mvua kubwa. Taarifa ya Ikulu mjini Victoria, imetolewa kufuatia mlipuko mkubwa...
  20. FRANCIS DA DON

    Dharura! Kuna mlipuko mkubwa wa wadada kuota sharubu ma ndevu

    Kumetokea mlipuko wa ghafla sana wa wanawake kuota sharubu kwenye mashavu na ndevu jijini Dar. Hali hii tuliizoea kwa wamama waliosogea umri, hasa 50’s na kuendela. Ila sasa inatokea kwa wadada wadogo tu. Wizara ya afya, mmeanza kuchanganyia wadada homoni za testerone kwenye vidonge vya uzazi...
Back
Top Bottom