Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond lakini nadhani kimziki amemzidi faza, labda ndio maana akamsaliji coz alikuwa anajua huyu ana kauwezo...