Wapendwa wa jf mambo zenu ,
Sisi hatujambo nipo okay,sasa kulikuwa na mwanadada tumuite Love , Alipata mimba ya X wake .
Halafu alipo mwambia ex wake x wake akamwambia amuoe kiserikali, akawaza akaona since mama yake kamshauri kulea familia ni watu wenye dini moja akaona bora awe muislam...